Nifanyeje sex hainisisimui kama zamani

Nifanyeje sex hainisisimui kama zamani

Angalia mkuu akili isije i ikakuelekeza ukafanya kinyume chake ili upate huo msisimko 😂😂😂😂😂😂
 
Sijui siku hizi nimekuwaje wakuu.

Yaani ngono hainipi ule utamu niliokuwa naupata zamani kwanzia 2023 kurudi nyuma yaani kwanzia mwezi wa 10 hadi huu wa 11 nimesex mara 22 lakini niliyoifurahia ni hizo 1-4 basi kwanzia 5-22 ile raha ya mshindo na mwili kusisimka sina kabisa asee sasa sijui ni mwili kuzoea hili tendo au ni nn sijui hata

Usiku huu nimepiga kimoja ila sijasisimka kiivyo yaani ni kawaida tu kwangu ubaya wa hii hali inataka nitafute kitu kingine kitachakonipa furaha(dopamine) japo situmii pombe au sigara. sijui ni kitu gani kitanipa raha tena!

Naombeni ushauri wanaume wenzangu hili lishawahi kukutokea?
View attachment 3144750
Mimi nimeamua kuacha kabisa kufanya ngono mpaka pale hali itakapoimarika tena.
 
Sijui siku hizi nimekuwaje wakuu.

Yaani ngono hainipi ule utamu niliokuwa naupata zamani kwanzia 2023 kurudi nyuma yaani kwanzia mwezi wa 10 hadi huu wa 11 nimesex mara 22 lakini niliyoifurahia ni hizo 1-4 basi kwanzia 5-22 ile raha ya mshindo na mwili kusisimka sina kabisa asee sasa sijui ni mwili kuzoea hili tendo au ni nn sijui hata

Usiku huu nimepiga kimoja ila sijasisimka kiivyo yaani ni kawaida tu kwangu ubaya wa hii hali inataka nitafute kitu kingine kitachakonipa furaha(dopamine) japo situmii pombe au sigara. sijui ni kitu gani kitanipa raha tena!

Naombeni ushauri wanaume wenzangu hili lishawahi kukutokea?
View attachment 3144750
Kijana kama una nia ya kupona hilo tatizo, nione inbox, baada ya wiki mbili tu utapona. Tatizo la kutosikia raha ya tendo kwa mwanaume linatibika Kabisa..
 
Ninafikiria kufanya hivyo chief. Japo physically sioni kama ni dalil zozote za kuwa mgonjwa 😂
Hiyo ya kula j4 na alhamis mara 1, ni kutokana kwamba Mwez July we had church fasting and prayers program sasa toka tumemaliza nimejikuta am living that way till now. And am comfrtable tu.
But nitakwenda kuchek afya pia
Yaani wewe unakwenda Church kwa prayers na kufunga huku unazini?Hujui Mwenyezi Mungu amekataza zinaa?Au unakwenda kupoteza muda?
 
Fanya mambo mengine.
Tena itakusaidia kuepukana na mengi kama hadi sasa utakuwa salama kiafya.
 
Back
Top Bottom