Nifanyeje sina hisia nae kabisa

Alikuwa hasimamishi vizur ila alipopata kazi ukaona utaweza kuivumilia hiyo hali ushauri wangu kwako rudisha hisia kwake na urudishe upendo na nadhan utapata time nzur ya kuzungumza nae na kumuambia aache hizo tabia, ukiona habadiliki chukua maamuzi utakayo ambiwa na nafsi yako
 
Down in the broken heart , touched by loving caring hand! Chords that are broken will vibrate once more!
 
Script kali hii, aya siuondoke basi.
 
tendo la ndoa tunashiriki kwa uchache tunaweza kukaa hata miezi miwili hatujashiriki mpaka mimi nijisogeze bila hivyo hawezi hata kuomba au kunipapasa ili tufanye tendo, mimi ndo huwa naanza.[emoji848][emoji25]
 
Sijaichoka mkuu, ndo maana natafuta namna ya kuweza kumpenda tena ili niishi na mpendwa wangu
Kwa umri wa kuanzia 30 na kuendelea tunatakiwa kuwaza zaidi kuhusu watoto na Sio sisi. Imagine watoto walelewe na mzazi mmoja .....hapana usifanye maamuzi yoyote yale yatakayoumiza watoto.
 
Je ulivyokuwa naishi naye mwanzo na mambo uliyokuwa unamfanyia unayafanya tena? Au ndiyo umeshamzoea mengine hayana umuhimu?

Unachotakiwa kufanya ni kuhakikisha kila siku anakuona wewe mpya na endelea kupambana naye hilo tatizo akae sawa kwa kuhakikisha anafanya mazoezi sana ya kawaida na hasa ya kegel yanayohusika kuimarisha misuli ya uume

Kabla ya kuanza kulaumu nakushauri angalia ni wapi unakosea, usichukulie mambo yote ni kawaida kisa mshakaa muda mrefu. Huyo jamaa anachepukia tamaa hakikisha hiyo haimpati tena, bado anakupenda ndiyo maana kakuweka wewe ndani na si hao unaomkuta nao. Unachotakiwa kufanya kuwa kipa imara kuzuia wengine wasitikise nyavu za goli lako
 
anachepuka halaf sasa mchepukaji mwenyewe ndo huyo inanikera, kibaya zaidi anachepuka saa nyingine na wanawake wa mtaani naona aibu sana.
🤣🤣🤣

Nilichokuelewa anapochepuka na wewe unaaibika maana mumeo ikizama dk 5 nyingi inalegea. Shoo inakata

Lazima wanawake wa mtaani ambao mume wako anachepuka nao watahoji mwenzetu kawezaje kuvumilia kuwa na mume kama huyu na hadi wamezaa watoto

Hilo linakukosesha amani
 
Sijaichoka mkuu, ndo maana natafuta namna ya kuweza kumpenda tena ili niishi na mpendwa wangu
Pole sana dear,jitahidi kujipenda weye kabla ya kupenda mwingine kwanza
Huyo anahaha tu ajione kidume weye kama waitaka ndoa usimfatilie kabisa
 
Kama kero kwako ni kuchepuka na ushahidi unao, msingi wa talaka tayari unao UZINZI

Hapo kwenye kutalikiana hakuna anayeshauriwa ni maamuzi ya mtu mwenyewe binafsi
 
Nifanyeje mimi binafsi niwe na amani ya moyo, nimpende tena?
Vumilia
Jishushe
Kua wewe

Hapo mtaenda sawa, namaanisha kua wewe yule aliekupenda mwanzo jiulize mwanzo wakati mnaanza alikupendea nini? kisha rudi kule km alikupendea chuchu konzi chuchu mwiba tafuta mafuta ya kusimamisha chuchu zisimamishe,
 
Jifunze kuwa na furaha yako mwenyewe na tena una watoto hamishia nguvu huko kwa watoto, na yeye mwache apambanie furaha yake huko kwa michepuko yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…