Nifanyeje sina hisia nae kabisa

Nifanyeje sina hisia nae kabisa

Hivi watu mnakuwaje?
Kuna wakati wazazi kuachana ni ukombozi kwa watoto.

Ni bora watoto kulelewa na mzazi mmoja kuliko kushuhudia wazazi wakigombana kila siku wakitukanana. Hiyo inawaathiri watoto kuliko kulelewa na mzazi mmoja.
Malezi ya pande mbili ni bora zaidi kuliko malezi ya pande moja, malezi ya pande moja ndio yanayoongeza wimbi la Malaya, Mashoga na wasagaji
 
Mmeanza kumjaza ujinga sasa angekua hampendi angekua analala nae chumba kimoja angekua hampendi angezaa nae watoto angekua hampendi angehudumia familia angekua hampendi angeweza kurudi kwake?

Jiulize kwanza kabla hujageneralize mambo
Wewe nawe sijui umekuja mjini lini. Hivi unadhani kila mtu ameoa na kuolewa na watu wanaowapenda?

Kwahiyo kulala chumba kimoja na kuzaa na mtu ndio kumpenda mtu? OK, kama anampenda kweli kwanini alikuwa hasimamishi?[emoji1]
 
Hata sijaelewa kwakwel, alikuwa mchumba wako alikuwa hasimamishi kabisa ukamuonea huruma na ukamsaidia akaanza kusimamisha ila iliingiia inanywea, haya katika hali hiyo hiyo mna watoto watatu, hebu sema ukweli hao watoto ni wa kwake?? Haya turudi kwenye mada mwanaume ambaye hasimamishi anachepukaje tena, wakat mwanaume kutosimamisha ni ugonjwa ambao unamuondolea uanaume wake yaani anadhalilika mbele ya mwanamke, sasa mwanaume gani yuko tayari kudharirika kiasi ulichozingumza mpaka mtaani??
 
Hata sijaelewa kwakwel, alikuwa mchumba wako alikuwa hasimamishi kabisa ukamuonea huruma na ukamsaidia akaanza kusimamisha ila iliingiia inanywea, haya katika hali hiyo hiyo mna watoto watatu, hebu sema ukweli hao watoto ni wa kwake?? Haya turudi kwenye mada mwanaume ambaye hasimamishi anachepukaje tena, wakat mwanaume kutosimamisha ni ugonjwa ambao unamuondolea uanaume wake yaani anadhalilika mbele ya mwanamke, sasa mwanaume gani yuko tayari kudharirika kiasi ulichozingumza mpaka mtaani??
Yaan unajua wanawake waliopitia wanaume tofauti tofauti wanakua wamehifadhi mafaili ya kile walichokua wanafanyiwa na watu wao wa hapo kabla kisha wanalinganisha na waliekua nae kwa kipindi husika, kwa nilivyomuelewa yeye alishazoea kupigwa mabao mengi hivyo bao 1 kwake ni changamoto kwa hio anataka wadau wamsaidie mbinu itakayo mfanya jamaa yake ampige mabao mengi hata km anachepuka Ila yeye ampige mabao mengi kuanzia matatu na kuendelea, je mbinu hio ni ipi?
 
Jipe muda wa kufanya Mambo yako zaidi kuliko kumuwaza yeye. Kuwa bize kwa angalau miezi 3 hivi, ukiona hajajirekebisha ndio uchukue hatua nyingine.
 
Yaan unajua wanawake waliopitia wanaume tofauti tofauti wanakua wamehifadhi mafaili ya kile walichokua wanafanyiwa na watu wao wa hapo kabla kisha wanalinganisha na waliekua nae kwa kipindi husika, kwa nilivyomuelewa yeye alishazoea kupigwa mabao mengi hivyo bao 1 kwake ni changamoto kwa hio anataka wadau wamsaidie mbinu itakayo mfanya jamaa yake ampige mabao mengi hata km anachepuka Ila yeye ampige mabao mengi kuanzia matatu na kuendelea, je mbinu hio ni ipi?
Huruma saizi imeishaa?? Maana alikuwa anamuonea huruma Sasa hivi haoni umuhimu wa kumuonea huruma, hapo anachotaka ni kupata sababu ya kuchepuka tu lakin sababu yake haina mashiko maana huyo mume wake tatizo aliliona mapema, akaamua kufunga ndoa hivyo hivyo, na pale kwenye ndoa Kuna kiapo Cha shida na Raha.
 
Mazazi ya pande mbili ni bora kwa wazazi wanaojua kulea au wanaojitambua.
Hata mmoja akiwa na mapungufu watoto walele pande mbili pande moja inazaa madudu, mmoja hawezi kusimamia vilivyo bila usaidizi wa mwingine
 
Kuna mwanamke ukiwa nae mashine inakosa hamu alafu kuna mwanamke ukiwa nae kila wakati unataka uwe unamtia tu so emu jaribu kutofauti yeye yupo kwenye kundi lipi?

Ni kweli kama jamaa anachepuka hovyo means mashine ipo vizuri ,sometimes wanawake wanakupa stress hadi unakuwa huna hamu naye! Coz mapenzi ni hisia ,hisia huja kwa mtu ambaye una mfeel kama haum-feel huawezi kuwa na hisia then kwa me mashine haiwezi kudeflect au kama ke basi utelezi hauji.
 
Hata mmoja akiwa na mapungufu watoto walele pande mbili pande moja inazaa madudu, mmoja hawezi kusimamia vilivyo bila usaidizi wa mwingine

Wazazi wakiwa wawili mmoja akiwa anawalea vibaya basi mwingine atawarekebisha unless wawe Pipa na mfuniko.
 
Sasa unataka tukufundishe kumpenda tena?

Wewe sepa zako, maana kifuatacho aitiviii, unaweza ukaifyeka hiyo mashine na kisu..
 
Habari wakuu, leo nami ngoja nitoe ya moyoni nipate ushauri. Nimeolewa na ndoa yangu ina miaka sita sasa na tumejaaliwa watoto wawilj wakike na wa kiume.
Nlikutana na mume wangu akiwa na tatizo, hakuwa anasimisha uume yaan alikuwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume, ktk uchumba wetu tulikuwa tukijaribu Mara kwa Mara lakini inashindika uume ilikuwa hauwezi kusimama na ukisimama akaingiza unasinyaa hapohapo, mm nlikuwa nkimwonea huruma sana nikafikia hatua nikasema labda nimuache maana kuishi na mwanaume mwenye tatizo hilo inahitaji uvumilivu lakin nikapata huruma nikajitoa kumsaidia ili awe sawa, nikawa najitahd kumuhimiza na kumwelekeza vyakula vya kumsaidia na nligundua hayuko sawa kimawazo n.k

Basi tukaenda hvyoo, akawa anapata nafuu nlijitahd sana kumpa amani, kumchangamsha kumfanya ajiskie comfortable asione kama ni issue kubwa akapata woga na akajihisi inferior, ni kweli ilisaidia sana, maana alianza kusimamisha tukiwa ktk romance lakin akiingiza basi inakuwa inalegea baada ya dakika kama tatu tofauti na mwanzo.

Aliendea kutumia juice na vyakula vya kumsaidia had akaweza kuwa inasimama lakin kwa muda kidogo na tukifanya basi ni dakika tano nyingi lakini nlimvumilia, na hapo hapo akawwza kupata kazi then tukakaa mwaka mmoja baada ya yeye kupata kazi akatangaza ndoa tukaoana. Kilichonifanya kuomba ushauri ni kwamba sina hisia tena na Mme wangu, najiskia kutompenda tena na nimejitahd sana kuweka mazingira ya kumpenda tena lakin wapi sababu anachepuka sana yaan ile hamu yakuwa nae na ninajua anachepuka halaf sasa mchepukaji mwenyewe ndo huyo inanikera, kibaya zaidi anachepuka saa nyingine na wanawake wa mtaani naona aibu sana.

Tumejaribu kusuruhishwa na wazazi lakin hata akikiri na kuomba msamaha haachi, naishi nae sababu ya watoto wetu lakin kwakweli sina hisia nae tena, nlijaribu kutafta uhamisho labda nikae nae mbali uhamisho nimekosa, ndani inaonekana ipo aman tunacheka, tunaongea, maendeleo ya familia tunafanya lakin kwakweli simpendi nawaza ntaenda na hii hali hadi lini? Ikiwa ndo Mme wangu kufa kuzikana? Nashindwa kupona sababu nimekuwa nkimfumania mara kwa mara lakini baada ya muda anachepuka tena imefika muda basi namwacha afanye atakavyo lakin roho linauma. Kuhusu kupona hajapona vizuri miaka yote hii 6 maana anaenda dakika hazizidi tano na hajawahi kurudia tendo mara mbili nisijue huko anakochepukia, labda anawapoza na vihela maana anabebaga wanawake wa hadhi za chini sana maana ye kipato chake ni cha chini au niseme ni cha kawaida tu.
Nifanyeje mimi binafsi niwe na amani ya moyo, nimpende tena? Maana yote nafanya, tendo la ndoa tunashiriki kwa uchache tunaweza kukaa hata miezi miwili hatujashiriki mpaka mimi nijisogeze bila hivyo hawezi hata kuomba au kunipapasa ili tufanye tendo, mimi ndo huwa naanza.
HUYO AMEATHIRIWA SANA NA PUNYETO UJANANI, ALIPIGA SANA PUNYETO KWAHIYO MISULI IMELEGEA MTAFUTIE DAWA INAITWA MSAMITU NI YA UNGA INAPATIKANA KWENYE MADUKA YA DAWA ZA ASILI AWE ANACHANGANYA NA MAFUTA LAINI MFANO MAFUTA YA NAZI ANAPAKA USIKU WAKATI WA KULALA, ATUMIA KWA MUDA WA WIKI MOJA TU ITASIMAMA KULIKO MLINGOTI.

PIA UNAWEZA KUNICHEKI PM KAMA UTAHITAJI SHOO YA KIBABE.
 
Back
Top Bottom