Nifanyeje sina hisia nae kabisa

Nifanyeje sina hisia nae kabisa

Habari wakuu, leo nami ngoja nitoe ya moyoni nipate ushauri. Nimeolewa na ndoa yangu ina miaka sita sasa na tumejaaliwa watoto wawilj wakike na wa kiume.
Nlikutana na mume wangu akiwa na tatizo, hakuwa anasimisha uume yaan alikuwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume, ktk uchumba wetu tulikuwa tukijaribu Mara kwa Mara lakini inashindika uume ilikuwa hauwezi kusimama na ukisimama akaingiza unasinyaa hapohapo, mm nlikuwa nkimwonea huruma sana nikafikia hatua nikasema labda nimuache maana kuishi na mwanaume mwenye tatizo hilo inahitaji uvumilivu lakin nikapata huruma nikajitoa kumsaidia ili awe sawa, nikawa najitahd kumuhimiza na kumwelekeza vyakula vya kumsaidia na nligundua hayuko sawa kimawazo n.k

Basi tukaenda hvyoo, akawa anapata nafuu nlijitahd sana kumpa amani, kumchangamsha kumfanya ajiskie comfortable asione kama ni issue kubwa akapata woga na akajihisi inferior, ni kweli ilisaidia sana, maana alianza kusimamisha tukiwa ktk romance lakin akiingiza basi inakuwa inalegea baada ya dakika kama tatu tofauti na mwanzo.

Aliendea kutumia juice na vyakula vya kumsaidia had akaweza kuwa inasimama lakin kwa muda kidogo na tukifanya basi ni dakika tano nyingi lakini nlimvumilia, na hapo hapo akawwza kupata kazi then tukakaa mwaka mmoja baada ya yeye kupata kazi akatangaza ndoa tukaoana. Kilichonifanya kuomba ushauri ni kwamba sina hisia tena na Mme wangu, najiskia kutompenda tena na nimejitahd sana kuweka mazingira ya kumpenda tena lakin wapi sababu anachepuka sana yaan ile hamu yakuwa nae na ninajua anachepuka halaf sasa mchepukaji mwenyewe ndo huyo inanikera, kibaya zaidi anachepuka saa nyingine na wanawake wa mtaani naona aibu sana.

Tumejaribu kusuruhishwa na wazazi lakin hata akikiri na kuomba msamaha haachi, naishi nae sababu ya watoto wetu lakin kwakweli sina hisia nae tena, nlijaribu kutafta uhamisho labda nikae nae mbali uhamisho nimekosa, ndani inaonekana ipo aman tunacheka, tunaongea, maendeleo ya familia tunafanya lakin kwakweli simpendi nawaza ntaenda na hii hali hadi lini? Ikiwa ndo Mme wangu kufa kuzikana? Nashindwa kupona sababu nimekuwa nkimfumania mara kwa mara lakini baada ya muda anachepuka tena imefika muda basi namwacha afanye atakavyo lakin roho linauma. Kuhusu kupona hajapona vizuri miaka yote hii 6 maana anaenda dakika hazizidi tano na hajawahi kurudia tendo mara mbili nisijue huko anakochepukia, labda anawapoza na vihela maana anabebaga wanawake wa hadhi za chini sana maana ye kipato chake ni cha chini au niseme ni cha kawaida tu.
Nifanyeje mimi binafsi niwe na amani ya moyo, nimpende tena? Maana yote nafanya, tendo la ndoa tunashiriki kwa uchache tunaweza kukaa hata miezi miwili hatujashiriki mpaka mimi nijisogeze bila hivyo hawezi hata kuomba au kunipapasa ili tufanye tendo, mimi ndo huwa naanza.
Wanaume vibamia,single goal,dhaifu na goigoiii wanaongoza kuchepuka maana wanahisi wakifanya hivo wanaficha madhaifu yao!!!!
 
Dah! Pole Sana aisee,
Suluhisho sio nawe kuchepuka,
Hakuna mwanamke anasifiwa uzinzi,
Utajiharibia na kuachika kabisa kwny ndoa yako

Uyo mumeo,mkalishe chini,
Kaa ongea nae vizur tatzo nn,anataka afanyiwe nn ili aweze kuenjoy tendo.

Nnachoamini
Mwanaume Huwez kua na tatzo la nguvu za kiume, ukawa na guts za kuchepuka nje, uko nje utaaibika zaidi na kutangaziwa Siri yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo hana shida ya nguvu za kiume ni mchepukaji,kwahiyo akirudi nyumbani anakuwa hana nguvu tena,atawezaje kuwa mchepukaji na hana nguvu za kiume...?
Hili pia nmejiuliza Sana,
Kinachoonekana mumewe kawekeza Sana Kupiga nje, ndani kapasahau.

Huenda mtoa mada hajabarikiwa kunako 6x6, wanawake Hii sekta wametofautiana Sana uwezo[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah! Pole Sana aisee,
Suluhisho sio nawe kuchepuka,
Hakuna mwanamke anasifiwa uzinzi,
Utajiharibia na kuachika kabisa kwny ndoa yako

Uyo mumeo,mkalishe chini,
Kaa ongea nae vizur tatzo nn,anataka afanyiwe nn ili aweze kuenjoy tendo.

Nnachoamini
Mwanaume Huwez kua na tatzo la nguvu za kiume, ukawa na guts za kuchepuka nje, uko nje utaaibika zaidi na kutangaziwa Siri yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana kaka mkubwa
 
Hapo usikute tatizo la kuchepuka limeanzia kwa rafiki zake na mumeo,

Walimshaur akajaribu kutest mitambo nje aone Hali uko nako itakuaje,

Sasa muneo katest kakutana na wanawake mafundi type za kina mamaJ,

Yaan mumewe kanogewa hata kile kidg alichokua anafaidi ndani kanyang'anywa[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa Maelezo yako navyoona yeye ndiyo hana hisia na wewe na alishajua hilo ndiyo maana anachepuka ,kagundua akiwa na wewe "Mashine" haisimami ila akienda nje "Mandonga Mtu kazi Show Show".
Tokea ananiapproach, hadi ndoa inamaana hajawah kiwa na hisia na mimi? Halaf vipi alivyo anza kusimamisha hata kwa dakika chache hizo hakuwa na hisia na mm? Maana nlikuta mnara hausomi kabisa, huwa anadai halali nao anajifurahisha tu lakini hainiingii akilini mwanaume kuchepuka halaf asilale nao
 
Hakuna huyo mume unayemtafuta asiyechepuka, ila tatizo ni kwamba mumeo baada ya kupona kaamua kutembeza fimbo kilimbukeni zaidi 😂😂😂

Kuna kuchepuka kwamba umekutana na mtu unayempenda kiukweli so inabidi tu uchepuke naye maana huwezi kumwoa tena bcoz una familia tayari, na mara nyingi unakuwa na mahusiano na huyo mmoja tu zaidi ya mkeo.

  • Mara nyingi huu uhusiano huwa mgumu kufa labda mchepuko uamue wenyewe kujichenga na mwanaume hutulia na mchepuko wake mmoja tu unaomliwaza.

Kuna kuchepuka kwamba wewe ni mbovu wa wanawake wa aina fulani mfano wenye "mizigo" 😂😂 kwamba wewe shida yako ni uwavue tu ch**i zao uone walichopewa na mama zao.
  • Huyu mtu huwa anatulia tu anapopigika kiuchumi ila akizipata yeye kama kawa hata akiwa mzee 😂😂

Halafu kuna kuchepuka huko kwa mumeo kwamba ni tabia yake kwamba chochote kipitacho mbele ye twende yaani huyu ni "fisi" yaani anaweza kubadili uelekeo wa safari yake kisa kufuatilia mzoga aliopishana nao 😂😂.
  • Huyu huwa hanaga michepuko permanent, yaani unaweza kuta anajisahau mpaka kutongoza upya mzoga wake badala ya kuomba kupasha kiporo tu 🙆🏽‍♂️

Halafu kuna kule kuchepuka kwa "emergency" yaani upo safarini mara unakutana tu mtu kwenye basi au treni mkifika safari yenu mnadangiana halafu kila mtu na 50 zake, au mpo pamoja kazini au kwenye kisherehe fulani mara masihara yanazidi kimatanimatani tu mara "pwaah!" 😂😂 yaani hizi zinaitwa "loose balls" au "mipira iliyokufa"😂😂.. Ila hizi hazitokeagi mara kwa mara na hazinaga formula...
  • Hapa hakunaga uhusiano wala mawasiliano ya kudumu unless shoo iwe imeeleweka, na ikija kuzaa ndoa ndo hizi ambazo hata mwezi hazijafika watu wanapeana talaka 😂😂

Sasa huyo mumeo ni "fisi" ambao kuacha au kupunguza tu hiyo kitu ni ngumu kweli kweli, yaani hapo we uamue moja tu kati ya kuendelea kumvumilia mlee watoto huku ukiendelea kumwombea hilo pepo limtoke.... au uanze maisha mapya ambayo unayaogopa maana kuanza upya kazi ukihesabu miaka na hisia ambayo umeshawekeza kwenye huo uhusiano wenu 😂😂
 
Kakosea tu kuandika sio kwamba hana hisia nae Ila anataka awe anamjunja 24/7 sasa hajui anafanyaje anahitaji mtu anaejua mbinu, mstari wa mwisho ndio umetoa summary ya paragraph nzima kwamba jamaa hapigi Mambo hadi bidada aombe na anapigwa kamoja tu

Sasa yeye anataka apigwe round 8 9 hadi 10 anashangaa mashoga zake wanamsimulia wao wanapigwa round 3 4 mpaka 5 yeye anapigwa round moja tu, hicho ndio kinamuuma hamwagi maji akipigwa kimoja basi itamlazimu kujimaliza mwenyewe maana anakua hajafika popote
Shida siyo kunjunjana shida ni nimpende tena kama mwanzo yaan ile doa aliloliweka la kunisaliti liishe
 
Huyo ni limbukeni wa Papuchi hilo tatizo inaelekea lilimtesa sana kwenye balehe yake ni sawa na kipofu aliyepona cha msingi ni kuachana nae hakuna usalama tena hapo maradhi ni mengi
 
Wanaume vibamia,single goal,dhaifu na goigoiii wanaongoza kuchepuka maana wanahisi wakifanya hivo wanaficha madhaifu yao!!!!
Sio kweli aisee,
Huwez kua huna nguvu za kiume ukachepuka sana nakuapia mkuu.

Hamna kitu kinashusha heshima Kama kupiga show mbovu, zile feelings zakumpaka shombo mwanamke zinakata sana nyege za kufanya nae Mara kwa mara. Automatically akikuhitaji utamkwepa maana hujiamini[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu, leo nami ngoja nitoe ya moyoni nipate ushauri. Nimeolewa na ndoa yangu ina miaka sita sasa na tumejaaliwa watoto wawilj wakike na wa kiume.
Nlikutana na mume wangu akiwa na tatizo, hakuwa anasimisha uume yaan alikuwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume, ktk uchumba wetu tulikuwa tukijaribu Mara kwa Mara lakini inashindika uume ilikuwa hauwezi kusimama na ukisimama akaingiza unasinyaa hapohapo, mm nlikuwa nkimwonea huruma sana nikafikia hatua nikasema labda nimuache maana kuishi na mwanaume mwenye tatizo hilo inahitaji uvumilivu lakin nikapata huruma nikajitoa kumsaidia ili awe sawa, nikawa najitahd kumuhimiza na kumwelekeza vyakula vya kumsaidia na nligundua hayuko sawa kimawazo n.k

Basi tukaenda hvyoo, akawa anapata nafuu nlijitahd sana kumpa amani, kumchangamsha kumfanya ajiskie comfortable asione kama ni issue kubwa akapata woga na akajihisi inferior, ni kweli ilisaidia sana, maana alianza kusimamisha tukiwa ktk romance lakin akiingiza basi inakuwa inalegea baada ya dakika kama tatu tofauti na mwanzo.

Aliendea kutumia juice na vyakula vya kumsaidia had akaweza kuwa inasimama lakin kwa muda kidogo na tukifanya basi ni dakika tano nyingi lakini nlimvumilia, na hapo hapo akawwza kupata kazi then tukakaa mwaka mmoja baada ya yeye kupata kazi akatangaza ndoa tukaoana. Kilichonifanya kuomba ushauri ni kwamba sina hisia tena na Mme wangu, najiskia kutompenda tena na nimejitahd sana kuweka mazingira ya kumpenda tena lakin wapi sababu anachepuka sana yaan ile hamu yakuwa nae na ninajua anachepuka halaf sasa mchepukaji mwenyewe ndo huyo inanikera, kibaya zaidi anachepuka saa nyingine na wanawake wa mtaani naona aibu sana.

Tumejaribu kusuruhishwa na wazazi lakin hata akikiri na kuomba msamaha haachi, naishi nae sababu ya watoto wetu lakin kwakweli sina hisia nae tena, nlijaribu kutafta uhamisho labda nikae nae mbali uhamisho nimekosa, ndani inaonekana ipo aman tunacheka, tunaongea, maendeleo ya familia tunafanya lakin kwakweli simpendi nawaza ntaenda na hii hali hadi lini? Ikiwa ndo Mme wangu kufa kuzikana? Nashindwa kupona sababu nimekuwa nkimfumania mara kwa mara lakini baada ya muda anachepuka tena imefika muda basi namwacha afanye atakavyo lakin roho linauma. Kuhusu kupona hajapona vizuri miaka yote hii 6 maana anaenda dakika hazizidi tano na hajawahi kurudia tendo mara mbili nisijue huko anakochepukia, labda anawapoza na vihela maana anabebaga wanawake wa hadhi za chini sana maana ye kipato chake ni cha chini au niseme ni cha kawaida tu.
Nifanyeje mimi binafsi niwe na amani ya moyo, nimpende tena? Maana yote nafanya, tendo la ndoa tunashiriki kwa uchache tunaweza kukaa hata miezi miwili hatujashiriki mpaka mimi nijisogeze bila hivyo hawezi hata kuomba au kunipapasa ili tufanye tendo, mimi ndo huwa naanza.
Pole sana ... Sada na wewe sii utafute wakukupoza minyege jamani.
 
Kuna mwanamke ukiwa nae mashine inakosa hamu alafu kuna mwanamke ukiwa nae kila wakati unataka uwe unamtia tu so emu jaribu kutofauti yeye yupo kwenye kundi lipi?
Hajanikuta bikra hvyo najijua niko vzuri yeye tu ndo aliamua kuchepuka na sikutegemea kwa hali yake kama atafanya hvyo, kwahyo usiseme kwamba simvutii au labda siko vzuri, kwanza kanifanya niwe na style moja maana ukiweka style nyingine inalala sekunde zero kwahyo mnakuwa na style moja ili msogeze dakika
 
Nnachokiona kwa mumeo,
Sio kwamba ana tatizo la nguvu za kiume
Mumeo Yuko fit, coz anaweza kukitembeza nje

Sema mazingira yako wewe mkewe huenda hayako vizur sn kumhamasisha kulipenda na kufurahia lile tendo.

Tukubaliane tukatae,
Wanawake mmetofautiana Sana uwezo kitandani, na huu ndo ukweli KE wengi hawataki kuambiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom