Nifanyeje sina hisia nae kabisa

Nifanyeje sina hisia nae kabisa

Sio kweli aisee,
Huwez kua huna nguvu za kiume ukachepuka sana nakuapia mkuu.

Hamna kitu kinashusha heshima Kama kupiga show mbovu, zile feelings zakumpaka shombo mwanamke zinakata sana nyege za kufanya fanya Mara kwa mara.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mzee mie mzee wa dakika mbili lakini mbususu nazisaka kweli kweli. Cha muhimu naenjoy mie huyo mwanamke akatafute wakumridhisha.
 
Je ulivyokuwa naishi naye mwanzo na mambo uliyokuwa unamfanyia unayafanya tena? Au ndiyo umeshamzoea mengine hayana umuhimu?

Unachotakiwa kufanya ni kuhakikisha kila siku anakuona wewe mpya na endelea kupambana naye hilo tatizo akae sawa kwa kuhakikisha anafanya mazoezi sana ya kawaida na hasa ya kegel yanayohusika kuimarisha misuli ya uume

Kabla ya kuanza kulaumu nakushauri angalia ni wapi unakosea, usichukulie mambo yote ni kawaida kisa mshakaa muda mrefu. Huyo jamaa anachepukia tamaa hakikisha hiyo haimpati tena, bado anakupenda ndiyo maana kakuweka wewe ndani na si hao unaomkuta nao. Unachotakiwa kufanya kuwa kipa imara kuzuia wengine wasitikise nyavu za goli lako
Sahii kabisa Mumewe Ni nyege TU,
Angekua hampendi angemtimua na kuoa Michepuko. Jamaa anafata nyege TU nje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmeanza kumjaza ujinga sasa angekua hampendi angekua analala nae chumba kimoja angekua hampendi angezaa nae watoto angekua hampendi angehudumia familia angekua hampendi angeweza kurudi kwake?

Jiulize kwanza kabla hujageneralize mambo
Anahudumia familia vzuri, na hatuna ugomvi wa hapa na pale changamoto ni kwamba alivyokazana kuchepuka ndo nakereka na hisia nae zinaisha
 
Hajanikuta bikra hvyo najijua niko vzuri yeye tu ndo aliamua kuchepuka na sikutegemea kwa hali yake kama atafanya hvyo, kwahyo usiseme kwamba simvutii au labda siko vzuri, kwanza kanifanya niwe na style moja maana ukiweka style nyingine inalala sekunde zero kwahyo mnakuwa na style moja ili msogeze dakika
Duh...hapo ni missionary tuu🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hata sijaelewa kwakwel, alikuwa mchumba wako alikuwa hasimamishi kabisa ukamuonea huruma na ukamsaidia akaanza kusimamisha ila iliingiia inanywea, haya katika hali hiyo hiyo mna watoto watatu, hebu sema ukweli hao watoto ni wa kwake?? Haya turudi kwenye mada mwanaume ambaye hasimamishi anachepukaje tena, wakat mwanaume kutosimamisha ni ugonjwa ambao unamuondolea uanaume wake yaani anadhalilika mbele ya mwanamke, sasa mwanaume gani yuko tayari kudharirika kiasi ulichozingumza mpaka mtaani??
Hili pia limenitafakarisha Sana[emoji848]

Alianza kusimamisha na tunafanya at least dakika tano anamwaga, sijawahi hata kuchepuka tokea nimjue, watoto wote ni wake maana hata wa kike kafanana nae achana na wale wa kiume maana wao ndo copy yake kabisa
 
Hakuna huyo mume unayemtafuta asiyechepuka, ila tatizo ni kwamba mumeo baada ya kupona kaamua kutembeza fimbo kilimbukeni zaidi [emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna kuchepuka kwamba umekutana na mtu unayempenda kiukweli so inabidi tu uchepuke naye maana huwezi kumwoa tena bcoz una familia tayari, na mara nyingi unakuwa na mahusiano na huyo mmoja tu zaidi ya mkeo.

  • Mara nyingi huu uhusiano huwa mgumu kufa labda mchepuko uamue wenyewe kujichenga na mwanaume hutulia na mchepuko wake mmoja tu unaomliwaza.

Kuna kuchepuka kwamba wewe ni mbovu wa wanawake wa aina fulani mfano wenye "mizigo" [emoji23][emoji23] kwamba wewe shida yako ni uwavue tu ch**i zao uone walichopewa na mama zao.
  • Huyu mtu huwa anatulia tu anapopigika kiuchumi ila akizipata yeye kama kawa hata akiwa mzee [emoji23][emoji23]

Halafu kuna kuchepuka huko kwa mumeo kwamba ni tabia yake kwamba chochote kipitacho mbele ye twende yaani huyu ni "fisi" yaani anaweza kubadili uelekeo wa safari yake kisa kufuatilia mzoga aliopishana nao [emoji23][emoji23].
  • Huyu huwa hanaga michepuko permanent, yaani unaweza kuta anajisahau mpaka kutongoza upya mzoga wake badala ya kuomba kupasha kiporo tu [emoji2303]

Halafu kuna kule kuchepuka kwa "emergency" yaani upo safarini mara unakutana tu mtu kwenye basi au treni mkifika safari yenu mnadangiana halafu kila mtu na 50 zake, au mpo pamoja kazini au kwenye kisherehe fulani mara masihara yanazidi kimatanimatani tu mara "pwaah!" [emoji23][emoji23] yaani hizi zinaitwa "loose balls" au "mipira iliyokufa"[emoji23][emoji23].. Ila hizi hazitokeagi mara kwa mara na hazinaga formula...
  • Hapa hakunaga uhusiano wala mawasiliano ya kudumu unless shoo iwe imeeleweka, na ikija kuzaa ndoa ndo hizi ambazo hata mwezi hazijafika watu wanapeana talaka [emoji23][emoji23]

Sasa huyo mumeo ni "fisi" ambao kuacha au kupunguza tu hiyo kitu ni ngumu kweli kweli, yaani hapo we uamue moja tu kati ya kuendelea kumvumilia mlee watoto huku ukiendelea kumwombea hilo pepo limtoke.... au uanze maisha mapya ambayo unayaogopa maana kuanza upya kazi ukihesabu miaka na hisia ambayo umeshawekeza kwenye huo uhusiano wenu [emoji23][emoji23]
Ha ha ha ...wee jamaa Ni mchambuz mzur wa Michepuko. Ha ha a....nmecheka balaa[emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanaume atakua anaenjoy na kuperform better show za nje sasa akija kwako duduwasha lageuka utambi...

Kama chakula cha hotelini anaridhika usitegemee atakula home vzr!

Pole!
 
Mwanaume atakua anaenjoy na kuperform better show za nje sasa akija kwako duduwasha lageuka utambi...

Kama chakula cha hotelini anaridhika usitegemee atakula home vzr!

Pole!
Sahii kabisa,
Kinachowadanganya wanawake wanadhani wote uwezo kitandani umelingana, mtoa mada awacheck makungwi wamsaidie awe fundi kitandan

Hawajiulizi kwann tafiti zinaonesha wanunuaji wakubwa wamakahaba Hapa mjini Ni wanaume waliooa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauri usiokuwa na chembe ya unafki. Tafta Mwana humu kwa makubaliano flani, akunjunje, maana Ukwasu kwa miaka6 sio mchezo utadata, tafta mtu akupe unachotaka umwage mpaka Ubongobalafu rudi katulie na mmeo. Sikutumi ukaziniwe, ila kwa maelezo yako unatamani upate mtu akupige mashine kisawa sawa sababu umesema hutaki kumwacha mpendwa wako..cheat japo mara moja, ila usibet Tafta mtu mwenye Afya zake. Mkaziniane kisha ukatulie ulee familia
 
Alianza kusimamisha na tunafanya at least dakika tano anamwaga, sijawahi hata kuchepuka tokea nimjue, watoto wote ni wake maana hata wa kike kafanana nae achana na wale wa kiume maana wao ndo copy yake kabisa
Pole Sana aisee,
Pia hongera kwa uvumilivu,
Ushaur wangu nakusihi, usije thubutu kumcheat mumeo, utaharibu kila kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauri usiokuwa na chembe ya unafki. Tafta Mwana humu kwa makubaliano flani, akunjunje, maana Ukwasu kwa miaka6 sio mchezo utadata, tafta mtu akupe unachotaka umwage mpaka Ubongobalafu rudi katulie na mmeo. Sikutumi ukaziniwe, ila kwa maelezo yako unatamani upate mtu akupige mashine kisawa sawa sababu umesema hutaki kumwacha mpendwa wako..cheat japo mara moja, ila usibet Tafta mtu mwenye Afya zake. Mkaziniane kisha ukatulie ulee familia
Yaan unamuelekeza akagongwe,
ila bado unasema hujamtuma akazini[emoji38]

Back
Top Bottom