Nifanyeje sina hisia nae kabisa

Nifanyeje sina hisia nae kabisa

Yaan issue ni kwamba hakukosa nguvu za kiume sahv au tukiwa tushaingia kwenye ndoa, issue ni kwamba sikumkuta nazo yaan hata hiki kidogo sahv hakuwa nacho alikuwa kalegea kabisa kama ni umeme ulikuwa umekatika kabisa nikajifanya kiherehere kumbebea madhaifu yake atengamae lakin naona ndo ananilipa
Mpo mkoa gani?
 
Sahii kabisa,
Kinachowadanganya wanawake wanadhani wote uwezo kitandani umelingana, mtoa mada awacheck makungwi wamsaidie awe fundi kitandan

Hawajiulizi kwann tafiti zinaonesha wanunuaji wakubwa wamakahaba Hapa mjini Ni wanaume waliooa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi wanawake wote aliodate nao walikuwa hawajiwezi kitandani kiasi cha mimi kumkuta amelegea kiasi kile? Tatizo lingeanza ndoani sawa lakin kuanzia mwanzo, Yale mapenzi motomoto ya wapenzi wapya yangemfanya basi asimamishe au awe na nguvu za kueleweka
 
Imagine ndo tupo honeymoon jamaa anachati na michepuko
Dah! Inaumiza Sana,
Sema nikutoe wasiwasi dada angu,
Si mumeo anachepuka ukaconclude hakupendi

Mumeo anakupenda sana ndo maana kawaacha Mchepuko na kukuoa wewe.

You are wife material and good wife kuliko hao anaolala nao, that's why Anafanya Maendeleo na wewe kwny familia.

Pia kwa miaka yote umemvumilia pamoja na kumfishia madhaifu yake kwa Muda wote huo.

Jamaa anatambua thaman yako that's why hathubutu kukuacha Wala kuwekeza Nje.

Hapa tafuta ushaur wa kuijenga ndoa yako na sio kuibomoa, bado naaamini mumeo bado Ni mme Bora kwako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauri usiokuwa na chembe ya unafki. Tafta Mwana humu kwa makubaliano flani, akunjunje, maana Ukwasu kwa miaka6 sio mchezo utadata, tafta mtu akupe unachotaka umwage mpaka Ubongobalafu rudi katulie na mmeo. Sikutumi ukaziniwe, ila kwa maelezo yako unatamani upate mtu akupige mashine kisawa sawa sababu umesema hutaki kumwacha mpendwa wako..cheat japo mara moja, ila usibet Tafta mtu mwenye Afya zake. Mkaziniane kisha ukatulie ulee familia
Hii wala haipo kwenye mpango wangu, sitachepuka kwa hali yoyote ile mimi haya boyfriend tu sijawahi kumsaliti itakuwaje mume?
 
Tupo baadhi ya wanaume tunafanya maisha ya kifamilia kuwa magumu na ya wasiwasi sana!

Unaonekana ni mwanamke mwenye ufahamu mkubwa ktk wachache unfortunately mumeo hajitambui umedondokea kwenye mikono mibaya.
 
Dah! Inaumiza Sana,
Sema nikutoe wasiwasi dada angu,
Si mumeo anachepuka ukaconclude hakupendi

Mumeo anakupenda sana ndo maana kawaacha Mchepuko na kukuoa wewe.

You are wife material and good wife kuliko hao anaolala nao, that's why Anafanya Maendeleo na wewe kwny familia.

Pia kwa miaka yote umemvumilia pamoja na kumfishia madhaifu yake kwa Muda wote huo.

Jamaa anatambua thaman yako that's why hathubutu kukuacha Wala kuwekeza Nje.

Hapa tafuta ushaur wa kuijenga ndoa yako na sio kuibomoa, bado naaamini mumeo bado Ni mme Bora kwako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana deep
 
Tokea ananiapproach, hadi ndoa inamaana hajawah kiwa na hisia na mimi? Halaf vipi alivyo anza kusimamisha hata kwa dakika chache hizo hakuwa na hisia na mm? Maana nlikuta mnara hausomi kabisa, huwa anadai halali nao anajifurahisha tu lakini hainiingii akilini mwanaume kuchepuka halaf asilale nao

Kama ni hivyo inawezena kweli halali nao ,kwa maelezo yako kwamba hata wewe ulivyoanza naye alikuwa mashine haisimami means hata kwa hao wapya mwendo ni ule ule.

Na pia umesema kamba mnaweza kukaa miezi miwili bila ku-do nahisi huko nje inawezekana labda anajaribu kutest kama mashine inaweza kuamka sana kwa mademu tofauti.

Aisee kwa huyo usiwe na wasiwasi ,nadhani hiyo situation imemuathiri kisaikolojia ndiyo maana anajribu kutest huko nje kama "Mandonga" atainuka.

Endelea kumpeti peti hivyo hivyo ,halafu usisibiri mpaka mwezi upite ,jaribu kufanya naye kila week ,i hope hiyo shida itaisha.
 
Basi wanawake wote aliodate nao walikuwa hawajiwezi kitandani kiasi cha mimi kumkuta amelegea kiasi kile? Tatizo lingeanza ndoani sawa lakin kuanzia mwanzo, Yale mapenzi motomoto ya wapenzi wapya yangemfanya basi asimamishe au awe na nguvu za kueleweka
Hili suala ntaliongea kwa upande wangu,
ili upate picha kamili nn namaanisha.

Kama umenifatilia, Nmeoa na na Mchepuko nje anaitwa mamaJ.

Kabla sijakutana nae nilikua nafanya kawaida TU Kama wengine, ila baada ya kuanza kuchepuka nae, nowdays naweza kufanya nae for hours bila ttzo lolote. Na imekua normal.

Ila nikiwa kwa wife au mwanamke mwingine, ile Nguvu inakosa kwasababu Hawa wengine hawawez au hawajui Cha kunifanyia ili niweze kulast for hours bila kuchoka.

Wengine huwa nawaambia wanapuuza,
Wengine ujeuri TU hawataki kunifanyia,
Wengine maumbile yao hayaruhusu kunifanyia vile, nawapotezea maana siwez kukosoa uumbaji wa MUNGU.

Tukija kwa wife,
Utaratibu Ni ule ule niloelezea hapo juu,
japo sio vizur sn kumlinganisha wife na Mchepuko (niwie radhi),ila moyoni najua kabisa wife wangu mamaG kazidiwa ufundi kitandani na Mchepuko wangu mamaJ.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu, leo nami ngoja nitoe ya moyoni nipate ushauri. Nimeolewa na ndoa yangu ina miaka sita sasa na tumejaaliwa watoto wawilj wakike na wa kiume.
Nlikutana na mume wangu akiwa na tatizo, hakuwa anasimisha uume yaan alikuwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume, ktk uchumba wetu tulikuwa tukijaribu Mara kwa Mara lakini inashindika uume ilikuwa hauwezi kusimama na ukisimama akaingiza unasinyaa hapohapo, mm nlikuwa nkimwonea huruma sana nikafikia hatua nikasema labda nimuache maana kuishi na mwanaume mwenye tatizo hilo inahitaji uvumilivu lakin nikapata huruma nikajitoa kumsaidia ili awe sawa, nikawa najitahd kumuhimiza na kumwelekeza vyakula vya kumsaidia na nligundua hayuko sawa kimawazo n.k

Basi tukaenda hvyoo, akawa anapata nafuu nlijitahd sana kumpa amani, kumchangamsha kumfanya ajiskie comfortable asione kama ni issue kubwa akapata woga na akajihisi inferior, ni kweli ilisaidia sana, maana alianza kusimamisha tukiwa ktk romance lakin akiingiza basi inakuwa inalegea baada ya dakika kama tatu tofauti na mwanzo.

Aliendea kutumia juice na vyakula vya kumsaidia had akaweza kuwa inasimama lakin kwa muda kidogo na tukifanya basi ni dakika tano nyingi lakini nlimvumilia, na hapo hapo akawwza kupata kazi then tukakaa mwaka mmoja baada ya yeye kupata kazi akatangaza ndoa tukaoana. Kilichonifanya kuomba ushauri ni kwamba sina hisia tena na Mme wangu, najiskia kutompenda tena na nimejitahd sana kuweka mazingira ya kumpenda tena lakin wapi sababu anachepuka sana yaan ile hamu yakuwa nae na ninajua anachepuka halaf sasa mchepukaji mwenyewe ndo huyo inanikera, kibaya zaidi anachepuka saa nyingine na wanawake wa mtaani naona aibu sana.

Tumejaribu kusuruhishwa na wazazi lakin hata akikiri na kuomba msamaha haachi, naishi nae sababu ya watoto wetu lakin kwakweli sina hisia nae tena, nlijaribu kutafta uhamisho labda nikae nae mbali uhamisho nimekosa, ndani inaonekana ipo aman tunacheka, tunaongea, maendeleo ya familia tunafanya lakin kwakweli simpendi nawaza ntaenda na hii hali hadi lini? Ikiwa ndo Mme wangu kufa kuzikana? Nashindwa kupona sababu nimekuwa nkimfumania mara kwa mara lakini baada ya muda anachepuka tena imefika muda basi namwacha afanye atakavyo lakin roho linauma. Kuhusu kupona hajapona vizuri miaka yote hii 6 maana anaenda dakika hazizidi tano na hajawahi kurudia tendo mara mbili nisijue huko anakochepukia, labda anawapoza na vihela maana anabebaga wanawake wa hadhi za chini sana maana ye kipato chake ni cha chini au niseme ni cha kawaida tu.
Nifanyeje mimi binafsi niwe na amani ya moyo, nimpende tena? Maana yote nafanya, tendo la ndoa tunashiriki kwa uchache tunaweza kukaa hata miezi miwili hatujashiriki mpaka mimi nijisogeze bila hivyo hawezi hata kuomba au kunipapasa ili tufanye tendo, mimi ndo huwa naanza.
My mom once told
Usivumilie usaliti
 
Yaan issue ni kwamba hakukosa nguvu za kiume sahv au tukiwa tushaingia kwenye ndoa, issue ni kwamba sikumkuta nazo yaan hata hiki kidogo sahv hakuwa nacho alikuwa kalegea kabisa kama ni umeme ulikuwa umekatika kabisa nikajifanya kiherehere kumbebea madhaifu yake atengamae lakin naona ndo ananilipa
Hakuwa na nguvu na akakuapproach mpaka ukawa demu wake, ila huamini anaposema anachukua brand nyingine kwa ajili ya kuziangalia mipododo tu na kushika shika!!! Inakuwaje unakuwa mbishi hivyo kuamini wakati una mfano halisi kabisa wa wewe mwenyewe?
 
Ogopa Sana wanaojitangaza kukuuzia madawa ya kumpa mumeo,

Siku ukinaswa unamkorogea mumeo madawa, usije ukaachika kwa kusingiziwa ushirikina.

Nnachokiona Ni tatzo la kisaikolojia Zaid kwa mumeo, kwann nje apige na kwako asipige. Fikiri kwa makini Hilo suala sista.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan mm sitahangaika kumtaftia madawa maana mimi cyo muumini wa madawa hayo
 
Asante sana deep
Kwa maelezo yako,
Ungekua wanawake Hawa wa nje vichwa maji,Sidhan kama ungemvumilia mumeo.

Nna Mchepuko wangu mmoja mamaJ,
Tukigombana MDA mrefu nyege zikimpanda anaanza kuwatafta maex wake.

Nikiangalia kwa jicho la pemben naona kabisa hafai kua wife material.

That's why,
Namlala yeye kila siku,
Ila maswala ya Maendeleo naenda kufanya na wife.
Na siwez kumuacha wife kwa Hali yoyote ile japo kitandani siwez kukuficha kwa mamaJ bado sana.

MamaJ Ni fundi kitandani,
Ila ufundi wa ngono hakikjawahi kua kigezo Cha mwanaume kumuoa mwanamke.

Ingekua hivyo,
Makahaba wengi wangeshaolewa
Maana wale ndo fani Yao kuwaburudisha wanaume.

NAKUPONGEZA SANA MTOA MADA,
JAPO JAMAA ANA MADHAIFU YAKE,
ILA KAPATA MKE BORA KABISA MAISHAN MWAKE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni hivyo inawezena kweli halali nao ,kwa maelezo yako kwamba hata wewe ulivyoanza naye alikuwa mashine haisimami means hata kwa hao wapya mwendo ni ule ule.

Na pia umesema kamba mnaweza kukaa miezi miwili bila ku-do nahisi huko nje inawezekana labda anajaribu kutest kama mashine inaweza kuamka sana kwa mademu tofauti.

Aisee kwa huyo usiwe na wasiwasi ,nadhani hiyo situation imemuathiri kisaikolojia ndiyo maana anajribu kutest huko nje kama "Mandonga" atainuka.

Endelea kumpeti peti hivyo hivyo ,halafu usisibiri mpaka mwezi upite ,jaribu kufanya naye kila week ,i hope hiyo shida itaisha.
Sahii kabisa,
Asisubiri miez ipite,
Awe mtundu kuamsha hisia,

Ntatoa ushuhuda binafs,
Wife nakutana nae Mara Moja kwa wiki au wiki mbili, ila kwa mchepuko mamaJ hazipiti siku mbili hatujafanya.

Sometimes nakua nmechoka sihitaji,
Ila yule mwanamke Ni mhuni Sana, atanichokoza Sana liwalo na liwe Hadi nifanye.

Tena Huwa anajisemea mapema kabisa...
"Leo wee mwanaume nakubaka, utajua hujui, siwez kulala na nyege mimi..."[emoji1787] Huku anacheka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom