DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Duh!Kwa hii hii take home ya laki tano?
Na Hana chanzo kingine Zaid Cha mapato?[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh!Kwa hii hii take home ya laki tano?
Hapa na mkuu
Mkuu sina jipya hapo kabisa
Suala lake limenigusa Sana,Jamaa umempa madini mno huyu dada. Sasa kazi kwake
Mi Mbona huwa unanishaur vizur Sana,Mkuu sina jipya hapo kabisa
Nimegundua papuchi yako ilikuwa bwawa au muozoHabari wakuu,
Leo nami ngoja nitoe ya moyoni nipate ushauri. Nimeolewa na ndoa yangu ina miaka sita sasa na tumejaaliwa watoto wawilj wakike na wa kiume.
Nlikutana na mume wangu akiwa na tatizo, hakuwa anasimisha uume yaan alikuwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume, ktk uchumba wetu tulikuwa tukijaribu Mara kwa Mara lakini inashindika uume ilikuwa hauwezi kusimama na ukisimama akaingiza unasinyaa hapohapo, mm nlikuwa nkimwonea huruma sana nikafikia hatua nikasema labda nimuache maana kuishi na mwanaume mwenye tatizo hilo inahitaji uvumilivu lakin nikapata huruma nikajitoa kumsaidia ili awe sawa, nikawa najitahd kumuhimiza na kumwelekeza vyakula vya kumsaidia na nligundua hayuko sawa kimawazo n.k
Basi tukaenda hvyoo, akawa anapata nafuu nlijitahd sana kumpa amani, kumchangamsha kumfanya ajiskie comfortable asione kama ni issue kubwa akapata woga na akajihisi inferior, ni kweli ilisaidia sana, maana alianza kusimamisha tukiwa ktk romance lakin akiingiza basi inakuwa inalegea baada ya dakika kama tatu tofauti na mwanzo.
Aliendea kutumia juice na vyakula vya kumsaidia had akaweza kuwa inasimama lakin kwa muda kidogo na tukifanya basi ni dakika tano nyingi lakini nlimvumilia, na hapo hapo akawwza kupata kazi then tukakaa mwaka mmoja baada ya yeye kupata kazi akatangaza ndoa tukaoana. Kilichonifanya kuomba ushauri ni kwamba sina hisia tena na Mme wangu, najiskia kutompenda tena na nimejitahd sana kuweka mazingira ya kumpenda tena lakin wapi sababu anachepuka sana yaan ile hamu yakuwa nae na ninajua anachepuka halaf sasa mchepukaji mwenyewe ndo huyo inanikera, kibaya zaidi anachepuka saa nyingine na wanawake wa mtaani naona aibu sana.
Tumejaribu kusuruhishwa na wazazi lakin hata akikiri na kuomba msamaha haachi, naishi nae sababu ya watoto wetu lakin kwakweli sina hisia nae tena, nlijaribu kutafta uhamisho labda nikae nae mbali uhamisho nimekosa, ndani inaonekana ipo aman tunacheka, tunaongea, maendeleo ya familia tunafanya lakin kwakweli simpendi nawaza ntaenda na hii hali hadi lini? Ikiwa ndo Mme wangu kufa kuzikana?
Nashindwa kupona sababu nimekuwa nkimfumania mara kwa mara lakini baada ya muda anachepuka tena imefika muda basi namwacha afanye atakavyo lakin roho linauma. Kuhusu kupona hajapona vizuri miaka yote hii 6 maana anaenda dakika hazizidi tano na hajawahi kurudia tendo mara mbili nisijue huko anakochepukia, labda anawapoza na vihela maana anabebaga wanawake wa hadhi za chini sana maana ye kipato chake ni cha chini au niseme ni cha kawaida tu.
Nifanyeje mimi binafsi niwe na amani ya moyo, nimpende tena? Maana yote nafanya, tendo la ndoa tunashiriki kwa uchache tunaweza kukaa hata miezi miwili hatujashiriki mpaka mimi nijisogeze bila hivyo hawezi hata kuomba au kunipapasa ili tufanye tendo, mimi ndo huwa naanza.
Kuna ukweli hapa[emoji38]Wanaume wenye ka gegedo kalegevu hawavaagi condom so anavyochepuka ukimwi utakuhusu........kama wewe huchepuki omba talaka' ,kama unachepuka vumilia
Ipi hiyo inayowezekana? Show ya kibabe?Ndyo hii inawezekana
Mkuu mleta uzi umeuleta ki utu uzima sana...weka mazingira ya kupewa unachohitaji
Tuwasiliane 0758 594 358Habari wakuu,
Leo nami ngoja nitoe ya moyoni nipate ushauri. Nimeolewa na ndoa yangu ina miaka sita sasa na tumejaaliwa watoto wawilj wakike na wa kiume.
Nlikutana na mume wangu akiwa na tatizo, hakuwa anasimisha uume yaan alikuwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume, ktk uchumba wetu tulikuwa tukijaribu Mara kwa Mara lakini inashindika uume ilikuwa hauwezi kusimama na ukisimama akaingiza unasinyaa hapohapo, mm nlikuwa nkimwonea huruma sana nikafikia hatua nikasema labda nimuache maana kuishi na mwanaume mwenye tatizo hilo inahitaji uvumilivu lakin nikapata huruma nikajitoa kumsaidia ili awe sawa, nikawa najitahd kumuhimiza na kumwelekeza vyakula vya kumsaidia na nligundua hayuko sawa kimawazo n.k
Basi tukaenda hvyoo, akawa anapata nafuu nlijitahd sana kumpa amani, kumchangamsha kumfanya ajiskie comfortable asione kama ni issue kubwa akapata woga na akajihisi inferior, ni kweli ilisaidia sana, maana alianza kusimamisha tukiwa ktk romance lakin akiingiza basi inakuwa inalegea baada ya dakika kama tatu tofauti na mwanzo.
Aliendea kutumia juice na vyakula vya kumsaidia had akaweza kuwa inasimama lakin kwa muda kidogo na tukifanya basi ni dakika tano nyingi lakini nlimvumilia, na hapo hapo akawwza kupata kazi then tukakaa mwaka mmoja baada ya yeye kupata kazi akatangaza ndoa tukaoana. Kilichonifanya kuomba ushauri ni kwamba sina hisia tena na Mme wangu, najiskia kutompenda tena na nimejitahd sana kuweka mazingira ya kumpenda tena lakin wapi sababu anachepuka sana yaan ile hamu yakuwa nae na ninajua anachepuka halaf sasa mchepukaji mwenyewe ndo huyo inanikera, kibaya zaidi anachepuka saa nyingine na wanawake wa mtaani naona aibu sana.
Tumejaribu kusuruhishwa na wazazi lakin hata akikiri na kuomba msamaha haachi, naishi nae sababu ya watoto wetu lakin kwakweli sina hisia nae tena, nlijaribu kutafta uhamisho labda nikae nae mbali uhamisho nimekosa, ndani inaonekana ipo aman tunacheka, tunaongea, maendeleo ya familia tunafanya lakin kwakweli simpendi nawaza ntaenda na hii hali hadi lini? Ikiwa ndo Mme wangu kufa kuzikana?
Nashindwa kupona sababu nimekuwa nkimfumania mara kwa mara lakini baada ya muda anachepuka tena imefika muda basi namwacha afanye atakavyo lakin roho linauma. Kuhusu kupona hajapona vizuri miaka yote hii 6 maana anaenda dakika hazizidi tano na hajawahi kurudia tendo mara mbili nisijue huko anakochepukia, labda anawapoza na vihela maana anabebaga wanawake wa hadhi za chini sana maana ye kipato chake ni cha chini au niseme ni cha kawaida tu.
Nifanyeje mimi binafsi niwe na amani ya moyo, nimpende tena? Maana yote nafanya, tendo la ndoa tunashiriki kwa uchache tunaweza kukaa hata miezi miwili hatujashiriki mpaka mimi nijisogeze bila hivyo hawezi hata kuomba au kunipapasa ili tufanye tendo, mimi ndo huwa naanza.
Inavyoonekana wewe ni mcha Mungu, na upendo wako wa kwanza kwake haukuwa na mawaa kwanini nasema hivi?. Ni kwa sababu upendo wa kweli huvumilia yote, hauhesabu mabaya husamehe, haujivuni wala kutakabali. Sasa maadamu ulimkubali alivyo tangu mwanzo regardless ya madhaifu yake yote, na wala haupo tayari kumwasi Mungu na kumkosea heshima mumeo basi usiache kumpenda kama awali, usiyahesabu mabaya yake bali omba Mungu akusaidie kumbadilisha, pray very hard. Mungu hajawahi kushindwa jambo lolote. Mpende Mungu, penda Mumeo na penda familia yako.Hii wala haipo kwenye mpango wangu, sitachepuka kwa hali yoyote ile mimi haya boyfriend tu sijawahi kumsaliti itakuwaje mume?
Sasa huyu dada mume alikotoka na mume kuanzia u..b..o..o huaimami hadi akamponya, lwo hii jamaa kapona anakula kila kitu utamahauri nini mkuu?Mi Mbona huwa unanishaur vizur Sana,
Au I'd yako huwa inakua imedukuliwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mara nyingi ninaposuluhisha issue za namba hii. Wanaume wengi wenye kasoro hupenda kuchepuka ili waiaminishe jamii kwamba wao hawana shida. Hivyo sidhani kama hamtamani mkewe. Namshauri mwanandoa aje inbox tumsaidie. Huduma hii ni bure.Kwa Maelezo yako navyoona yeye ndiyo hana hisia na wewe na alishajua hilo ndiyo maana anachepuka ,kagundua akiwa na wewe "Mashine" haisimami ila akienda nje "Mandonga Mtu kazi Show Show".