Nifanyeje sina hisia nae kabisa

Nifanyeje sina hisia nae kabisa

Habari wakuu,

Leo nami ngoja nitoe ya moyoni nipate ushauri. Nimeolewa na ndoa yangu ina miaka sita sasa na tumejaaliwa watoto wawilj wakike na wa kiume.

Nlikutana na mume wangu akiwa na tatizo, hakuwa anasimisha uume yaan alikuwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume, ktk uchumba wetu tulikuwa tukijaribu Mara kwa Mara lakini inashindika uume ilikuwa hauwezi kusimama na ukisimama akaingiza unasinyaa hapohapo, mm nlikuwa nkimwonea huruma sana nikafikia hatua nikasema labda nimuache maana kuishi na mwanaume mwenye tatizo hilo inahitaji uvumilivu lakin nikapata huruma nikajitoa kumsaidia ili awe sawa, nikawa najitahd kumuhimiza na kumwelekeza vyakula vya kumsaidia na nligundua hayuko sawa kimawazo n.k

Basi tukaenda hvyoo, akawa anapata nafuu nlijitahd sana kumpa amani, kumchangamsha kumfanya ajiskie comfortable asione kama ni issue kubwa akapata woga na akajihisi inferior, ni kweli ilisaidia sana, maana alianza kusimamisha tukiwa ktk romance lakin akiingiza basi inakuwa inalegea baada ya dakika kama tatu tofauti na mwanzo.

Aliendea kutumia juice na vyakula vya kumsaidia had akaweza kuwa inasimama lakin kwa muda kidogo na tukifanya basi ni dakika tano nyingi lakini nlimvumilia, na hapo hapo akawwza kupata kazi then tukakaa mwaka mmoja baada ya yeye kupata kazi akatangaza ndoa tukaoana. Kilichonifanya kuomba ushauri ni kwamba sina hisia tena na Mme wangu, najiskia kutompenda tena na nimejitahd sana kuweka mazingira ya kumpenda tena lakin wapi sababu anachepuka sana yaan ile hamu yakuwa nae na ninajua anachepuka halaf sasa mchepukaji mwenyewe ndo huyo inanikera, kibaya zaidi anachepuka saa nyingine na wanawake wa mtaani naona aibu sana.

Tumejaribu kusuruhishwa na wazazi lakin hata akikiri na kuomba msamaha haachi, naishi nae sababu ya watoto wetu lakin kwakweli sina hisia nae tena, nlijaribu kutafta uhamisho labda nikae nae mbali uhamisho nimekosa, ndani inaonekana ipo aman tunacheka, tunaongea, maendeleo ya familia tunafanya lakin kwakweli simpendi nawaza ntaenda na hii hali hadi lini? Ikiwa ndo Mme wangu kufa kuzikana?

Nashindwa kupona sababu nimekuwa nkimfumania mara kwa mara lakini baada ya muda anachepuka tena imefika muda basi namwacha afanye atakavyo lakin roho linauma. Kuhusu kupona hajapona vizuri miaka yote hii 6 maana anaenda dakika hazizidi tano na hajawahi kurudia tendo mara mbili nisijue huko anakochepukia, labda anawapoza na vihela maana anabebaga wanawake wa hadhi za chini sana maana ye kipato chake ni cha chini au niseme ni cha kawaida tu.

Nifanyeje mimi binafsi niwe na amani ya moyo, nimpende tena? Maana yote nafanya, tendo la ndoa tunashiriki kwa uchache tunaweza kukaa hata miezi miwili hatujashiriki mpaka mimi nijisogeze bila hivyo hawezi hata kuomba au kunipapasa ili tufanye tendo, mimi ndo huwa naanza.
Kama ni muislam kaombe talaka maisha ni zawadi usikubali kingwendu mmoja akufanye uishi kwa tabu ikiwa yeye ana raha zake
 
Shetani yuko job.

Kwa ushauri wangu, haya uliyoyasema humu yaweke vizuri halafu umwambie. Mwambie kila kitendo kinachokukera. Mwambie na hatua unazotaka kuchukua.
 
Uandishi wako unaonhesha wazi wewe umemzidi kipato.
Kuna mtu mwingine anakugegeda nje ya ndoa.
Ushauri wangu: Mpe talaka 3 tuu
 
Ni fedheha kubwa sana yaani anaiacha familia yake uchi. Na wanawake wa mitaani wasivyo na siri watakuwa wanamsema sana dada wa wa watu kwa ujinga wa mume.

Ila nimeamini JF bado kuna watoto wengi sana kiumri au eidha umri mkubwa lakini akili ndogo. Mtu mzima kabisa anauliza "kama anaenda dakika 5 hao watoto wawili umewapataje??

Serious kabisa kwani inahitaji dakika ngapi ili mimba itunge? Kisayansi hata yale majimaji ya uume kabla ya kumwaga yanatosha kabisa kutungisha mimba.

Mimba inatungwa hata kama mmesex kwa dakika moja akamwaga as long as shahawa zake zina nguvu ya kutungisha.Haihitajiki nusu saa au dk 45 kutungisha mimba hata sekunde 30 inatosha kabisa.

Watu tungejikita kujifunza mambo mbalimbali instead of umbea, matusi na mapambio humu JF tungekuwa mbali sana. Ndio maana tunaitwa vijana wa hovyo.
Wengine wanajitambua tu,
Lengo wanatafta kumstress mtoa mada,
Nampongeza kwa upole wake, comment za ajabu anazipotezea
 
Hivi watu mnakuwaje?
Kuna wakati wazazi kuachana ni ukombozi kwa watoto.

Ni bora watoto kulelewa na mzazi mmoja kuliko kushuhudia wazazi wakigombana kila siku wakitukanana. Hiyo inawaathiri watoto kuliko kulelewa na mzazi mmoja.
Upo sahihi ,kama maridhiano yakikosekana Bora kuachana japo either way matokeo kwa watoto ni mabaya hasa kama watoto wanajitambua
 
Mumeo anakupenda sana ndo maana kawaacha Mchepuko na kukuoa wewe.

Mkuu huyo mwanaume hampendi huyu dada na kuoa isiwe kigezo cha upendo...

Sababu kubwa huyo jamaa kamuoa huyu dada, ni kwamba AMESITIRIKA kutokana na udhaifu alionao...

Hana tofauti na wale wanaume wanaopigwa mbupu, lakini bafo wana wake na watoto, nao pia sababu yao kubwa ya kuoa huwa ni kusitiri siri na udhaifu wao...
 
Hao watoto umezaa nae yeye ndiye Baba wa kibaolojia?

Kumbe Mwanaume anaweza kuwa hasimamishi lakini akaweza kuzalisha kutoa sperms?
 
Inawezekena na yeye Hana hisia na wewe

Mwambie aache kuangalia porn na punyeto...vyakula ni part ndogo sana ya tatizo..

Halafu huko nje usidhan ana performance mbovu

Wanaume wengi sijui kutokana na makwazo na mazoea uwaga Wana under perform ndani wana over perform nje...

Unakuta mke anakukwaza kwazA mda wote,hisia zinashuka,mke yupo yupo tuna km dada hisia zinashuka,mke Hana hisia anakuambukiza,mke ana tumia sex km fimbo hisia zinashuka .

Huyo wako ni chaputa muangalia porn sasa kwako wewe sababu ame underperform mda mrefu basi ana performance anxiety ila akienda kwingine anafanya vizuri zaidi ya kwako atleast.

Na ukweli mchungu ni kwamba ili apone hilo tatizo sharti awe malaya hivyo hivyo ILa tu na nyumbani napo agonge asipaache hivi hivi ile confidence ya kuperform vzr nje ahamishie nyumbani,kosa lake ni kuogopa mechi za nyumbani...
 
Back
Top Bottom