Niffah; msema kweli mpenzi wa Mungu

Toka hapa! Mtu hujui hata kuandika stori ya Sungura na fisi ungemshindaje jiniaz The Bold? Shem anapendaga watu wa talent za aina ile mkuu!
Ahsante mkuu.
 
Kwa namna ulivyotiririka...salute
 
Binadamu wengi wana hulka ya wizi. nifah angekua single wala msingemuanzishia nyuzi za kumsifia ila kisa yupo na boss wa stories baasi mnatamani kumuiba. Hapo kaweka kichwa tu mnahangaika je angeweka hii avatar uwiii server ingejaa.

Conglats nifah upo vizuri
 
Hahahaaaaaa asante mwaya.
 
Acha kuongea pumba, unamjua Inna ww huyo manzi ni mrembo balaa

Kwa ' Shemela ' la Kilimanjaro Nifah huyo uliyemtaja ' anasubiri ' Mkuu. Ukiona Kitu hadi GENTAMYCINE anakisifia basi jua hata kwa Mwenyezi Mungu kimeshapitishwa na kubarikiwa. JF Mwanamke ' Mnyange / Mrembo ' ni Nifah peke yake na waliobaki ni ' Makatuni ' tupu hutaki ' Kajiteke ' mwenyewe Ununio kisha ' Jitese ' halafu tuje tukuokote Mahaba beach.
 

Kwa ' utiririkaji ' huu kama namuona vile The bold ' mbichwa ' ulivyoongezeka ukubwa kutoka Tegeta hadi Mbagala.
 
Mkuu usijaribu kutaka kumfahamu maana utamharibia shemeji yangu the Bold, dadangu ni chombo cha ukweli.

Tunafahamiana vizuri tu ila hatuwahi kupeana ' ushirikiano ' wa ukaribu ambao ungepelekea sisi ' kubanduana ' mubashara.
 
achen maneno kila mtu aonyshe ushaid ili na ss tuwe na la kusema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…