Niffah; msema kweli mpenzi wa Mungu

Niffah; msema kweli mpenzi wa Mungu

Nimetumia muda mrefu nikiwaza ni maneno gani ya kukuambia ndugu Dam55
Na hii yote ni sababu ya tone iliyopo ktk maandishi yako,umeandika kwa uchungu sana [emoji17]

Well,sina cha zaidi ya kukupa pole. Naweza kuyahisi maumivu yako kabisa.
Lakini hili lisiishie ktk maumivu pekee,naomba hili liwe fundisho kwako.
Huwa napenda msemo mmoja "Wakati mwingine subira ni kupoteza fursa"
Nikiwa na maana ya kwamba sio kila jambo linahitaji subira.

Kwanini nimesema iwe fundisho basi? Usirudie makosa uliyoyafanya juu yangu kwingine,sema...fikisha ujumbe wako kwa muhusika bila kusubiri.

Hata hivyo,usisikitike. Kila jambo hutokea au hata lisipotokea basi kuna sababu zake na kwetu sisi tunaoamini ktk Mungu tunasema huenda Mungu kakuepusha na jambo ambalo wewe hulijui.

Who knows?Huenda in real life nisingekupendeza kama ulivyopendezwa nami kupitia mwandiko wangu.

Baada ya kuyasema yote hayo basi,nikutakie kila la kheri.
Na nakuombea Mungu akupe aliye mbora zaidi ya Nifah,usisikitike wala kuhuzunika...amini Mungu ana mipango iliyokuwa bora juu yako,kila la kheri,

Nifah.
Duh, kumbe kuna crash za kweli humu jf eeh!
 
Yote mimi namjua kwa sura na tabia, hata wewe siku ukipata bahati ya kumuona hutokua na shaka juu ya urembo wake, labda tu akili yako iendane na Kipozeo kwenye kuangalia uzuri wa mwanamke.
mkuu unataka kutuambia ni flat screen (hana[emoji196] [emoji196] )?
 
mkuu unataka kutuambia ni flat screen (hana[emoji196] [emoji196] )?
She is beautifully, kila kitu anacho kwa kiasi kinachotakiwa, hajazidisha wala hajapunguza, sura nzuri, rangi ya mtume, hips huulizi, hiyo kwenye emoji zako imekaa muundo fulani amaizing, goti akivaa kimini na wewe ndio mme wako akakatisha sebuleni huku umekaa, ukiona lile goti hata kama alikua anawahi mazishi utamrudisha kitandani mmalizane kwanza,mguu anao wa Wine pamoja na Whisky. Inshort ni msichana anayeweza kumvutia kila mwanaume bila kujali anaakili timamu au chizi.
 
[emoji23][emoji23] inaonekana unamkubali sana mtoto Nifah nina wasi wasi The bold akiiona hii comment yako atashawishika kuongeza idadi ya bunduki
 
sijui ni uelewa wangu mfupi ila nahsi hii ni kutangaza cold war na mkuu the bold na strategy inayotaka kutumika hapa favourite storyteller wangu ni mbaya sana!

ujanani nilikuwa nikitumia mbinu hii kuwaingia wasichana wa marafiki zangu

NB:sidhan kama mtoa mada ana nia mbaya lakini
 
Sikulaumu kwa hivyo ulivyonielewa ukweli wa Mungu ni kwamba Mimi sikuwa na lengo kama unavyodhani wewe mkuu.

Ila kama hapa nimefanya kosa kubwa sana basi nisamehewe tu.

Ikiwezekana hata Uzi nitaufuta ili kuondoa tatizo kabisa.
 
Niffah ni mrembo na upstairs kuko vizuri, hapo mkuu the bold ameokota Diamond ni juu yake kuitunza...she's " Iron Lady", ukiwa nae na ww mpambanaji lazima utawin tu.. hongereni.
 
Back
Top Bottom