Niffer amchangia Najjath million 2 ambae figo zote mbili zimefeli

Jannatul Firdaus

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2026
Posts
446
Reaction score
1,113
Masaa sita yaliyo pita alijitokeza huyu binti akiomba msaada wa matibabu, Binti anaitwa Najath Ibrahim ana umri wa miaka 20 ni Mwanafunzi wa chuo Cha CBE.

Binti amepata changamoto ya Figo zake zote mbili zime Feli, na anahitajika apate milioni 40 Kwa ajili ya matibabu.

Kwa Sasa Kila wiki inahitajika laki sita Kwa ajili ya kufanya Dialysis.

Sasa habari njema ni kwamba nusu saa iliyo pita Niffer amemchangia Najath Milion Mbili ya kitanzania mara tu baada ya kuona video ya huyu binti akiomba msaada.

Mbali na hivyo pia, Binti anahitaji mtu wa kumpa Figo Moja.

Hongera Sana Niffer wewe ni mtu maarufu ambaye kwakweli unatoa sana misaada.
 
Safi sana Niffer kwa CSR ,giving back to the society.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…