Niffer amchangia Najjath million 2 ambae figo zote mbili zimefeli

HIzi energy drinks , majuice ya kusindikwa viwandani, masoda na mavyakula ya kisasa yanayozalishwa kwa makemikali hatarishi yameongewza sana hili tatizo kwa vijana wadogo

Mungu atunusuru kwakweli....
Sijui tutaponea wapi maana hata mboga mboga na matunda navyo vinajazwa midawa ya viwandani, samaki wanafugwa kwa madawa, kuku ndo usiseme!

Kwakweli ni kudra za mwenyezi Mungu ndo zaweza kutunusuru
 
we acha kabisa, isiwe kwako au hata kwa ndugu yako ndio utajua hiyo Dialysis nini
Kuna mzee mmoja jirani yetu, alikuwa anafanya hii dialysis. KCMC Hospital.

Baada ya kuona gharama za dialysis zimekuwa kubwa sana mpaka kufikia hatua ya mali nyingi za familia kuuzwa, lakini bado hakuwa na tumaini la kupona.

Yule mzee bwana aliamua kujilipua na akajimaliza mwenyewe.

Siku moja baada ya kumaliza kusafisha figo Hospitali na kurudishwa nyumbani. Usiku wake yule mzee aling'ofoa ile mipira ambayo inakuwa imewekwa hapa upande wa kifuani.

Bwana, damu zilitapakaa chumba kizima. Maana aliivuta ile mipira ikatoka hadi ni vimishipa vya damu!

Akafia palepale.

Niliogopa sana asee!
 
Sijui tutaponea wapi maana hata mboga mboga na matunda navyo vinajazwa midawa ya viwandani, samaki wanafugwa kwa madawa, kuku ndo usiseme!

Kwakweli ni kudra za mwenyezi Mungu ndo zaweza kutunusuru
NI kumwomba Mungu tu maana....

Na pia ni kujitahidi kubadili mitindo ya maisha. Kuachana na haya masumu ya viwandani. Na kama umebahatika kaeneo kadogo waweza kujipandia vimboga vya majani na kujifugia vikuku vyako

1789484470983.png

1789484529786.png
 
Kuna mzee mmoja jirani yetu, alikuwa anafanya hii dialysis. KCMC Hospital.

Baada ya kuona gharama za dialysis zimekuwa kubwa sana mpaka kufikia hatua ya mali nyingi za familia kuuzwa, lakini bado hakuwa na tumaini la kupona.

Yule mzee bwana aliamua kujilipua na akajimaliza mwenyewe.

Siku moja baada ya kumaliza kusafisha figo Hospitali na kurudishwa nyumbani. Usiku wake yule mzee aling'ofoa ile mipira ambayo inakuwa imewekwa hapa upande wa kifuani.

Bwana, damu zilitapakaa chumba kizima. Maana aliivuta ile mipira ikatoka hadi ni vimishipa vya damu!

Akafia palepale.

Niliogopa sana asee!
Umenikumbusha schoolmate wangu. Naye baada ya kuona magharama makubwa na anasumbua watu kumchangia, akaamua kufanya maamuzi magumu.

Katuita marafiki akatukalisha nyumbani na mkewe akituambia kwamba anatuaga. Pamoja na kumsihi na kumbembeleza aligoma kabisa kwenda kufanyiwa dialysis mpaka akajifia kitandani usiku akiwa amelala

RIP Richard
 
Hapa Afrika kwa ujumla, Ukipata tatizo la figo kufeli, unakuwa tayari umeanza safari ya kifo.

Maana hata familia iuze nini, bado dialysis ni endelevu na gharama ni nonstop.

Unajua bora kuingia gharama kwa kitu ambacho unajua utapona.

Kuliko kuingia gharama ambazo ni nonstop kwa kitu ambacho hakiponi.
 
Kwakweli, tuendelee kuomba kudura za mwenyezi Mungu
 
Kuna mzee mmoja jirani yetu, alikuwa anafanya hii dialysis. KCMC Hospital.

Baada ya kuona gharama za dialysis zimekuwa kubwa sana mpaka kufikia hatua ya mali nyingi za familia kuuzwa, lakini bado hakuwa na tumaini la kupona.

Yule mzee bwana aliamua kujilipua na akajimaliza mwenyewe.

Siku moja baada ya kumaliza kusafisha figo Hospitali na kurudishwa nyumbani. Usiku wake yule mzee aling'ofoa ile mipira ambayo inakuwa imewekwa hapa upande wa kifuani.

Bwana, damu zilitapakaa chumba kizima. Maana aliivuta ile mipira ikatoka hadi ni vimishipa vya damu!

Akafia palepale.

Niliogopa sana asee!
Dah aise noma sana
Inasikitisha haya mambo
Uyasikie tu
Sasa utakuta huyo mzee kauza mali nyingi na bado haoni matumaini

Ova
 
Hapa Afrika kwa ujumla, Ukipata tatizo la figo kufeli, unakuwa tayari umeanza safari ya kifo.

Maana hata familia iuze nini, bado dialysis ni endelevu na gharama ni nonstop.

Unajua bora kuingia gharama kwa kitu ambacho unajua utapona.

Kuliko kuingia gharama ambazo ni nonstop kwa kitu ambacho hakiponi.
Hatari

Ova
 
Back
Top Bottom