Afcon kinanuka
JF-Expert Member
- Apr 5, 2026
- 1,623
- 4,213
Ili jamii ijue kwa manufaa ya baade.anaweza baadae kugombea uongozikulikua na haja gani kutangazia?
Ili jamii ijue kwa manufaa ya baade.anaweza baadae kugombea uongozikulikua na haja gani kutangazia?
Kwa umri wa huyu binti labda matumizi yasiyo sahihi ya dawa za hospital au matumizi ya dawa za kenyeji au matumizi ya energy drinks kwa wingi.Siku hizi magonjwa sijui yanatokea wapi Ya Rabbi!
Hakuna kilicho bora hayo yote mtihani ni kuomba tu Mungu atuepushe na haya majanga.Figo zinatesa.bora ukimwi
Kuna muda mtu unafikiria hupati jibu.Kwa umri wa huyu binti labda matumizi yasiyo sahihi ya dawa za hospital au matumizi ya dawa za kenyeji au matumizi ya energy drinks kwa wingi.
Mungu ambariki sana. Ni bora kutafuta kiki ukiokoa uhai wa mtu kuliko kutafuta kiki kwa kwenda kwenye misiba ya wakubwa na kupiga nao picha ili jamii ikupe kiki...Huyu binti uwa anajitoa sana japo kuna watu uwa wanaona kama anatafuta Kiki
Watu wapombe ishu za Figo tunasingiziwa sanaLabda!
HIzi energy drinks , majuice ya kusindikwa viwandani, masoda na mavyakula ya kisasa yanayozalishwa kwa makemikali hatarishi yameongewza sana hili tatizo kwa vijana wadogoKuna muda mtu unafikiria hupati jibu.
Magonjwa ambayo tulikuwa tnasikia wanaugua watu wazima, sasa hivi wanaugua watoto na vijana.
Sijui tufanyeje tu kwakweli
Baba angu anakunywa pombe hata sijazaliwa anakata crate unamuona, jd anakunywa kama ilivyo na sijawahi kusikia kesi yoyote ile kuhusu figo wala maini!Watu wapombe ishu za Figo tunasingiziwa sana
Japo ukiinywa mno ni shida ila ni nadra sana ,kesi za Figo kwa watu wasiotumia pombe ninyingi kuliko za wapombeBaba angu anakunywa pombe hata sijazaliwa anakata crate unamuona, jd anakunywa kama ilivyo na sijawahi kusikia kesi yoyote ile kuhusu figo wala maini!
Nahisi kila mtu ana figo yake! My dad anakunywa mno na sijawahi kusikia hata ana malaria!Japo ukiinywa mno ni shida ila ni nadra sana ,kesi za Figo kwa watu wasiotumia pombe ninyingi kuliko za wapombe
we acha kabisa, isiwe kwako au hata kwa ndugu yako ndio utajua hiyo Dialysis niniDialysis isikie tu kwa wenzako!
Isikukute wewe au ndugu yako.
Mtauza kila kitu, kugharamia.
Lakini at the end, mgonjwa atakufa tu. Kama hatopata mtu wa kujitolea kumpa figo.
Na vijana wadogo siku hizi sijui kwa nini figo zao zinafeli mapema hivi?
Yule bibi yangu mpaka leo unajua yupo? Now kahamia kwenye safari lager 😁Nahisi kila mtu ana figo yake! My dad anakunywa mno na sijawahi kusikia hata ana malaria!
Team ulevi🤣Yule bibi yangu mpaka leo unajua yupo? Now kahamia kwenye safari lager 😁
Timu kujilamba😋Team ulevi🤣
Yule ndugu yako kule haelewi ni anashusha tu namba aokote chcochote kitu! Kapewa kazi ya shamba hataki kusikia!Timu kujilamba😋
😁😁 ananyota ya ombaomba hataki kujituma , alinde tu futa , wahuni wasije kula asali ya nyuki wadogoYule ndugu yako kule haelewi ni anashusha tu namba aokote chcochote kitu! Kapewa kazi ya shamba hataki kusikia!