Hulda-Tamarri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 2,714
- 4,074
Sijui tutaponea wapi maana hata mboga mboga na matunda navyo vinajazwa midawa ya viwandani, samaki wanafugwa kwa madawa, kuku ndo usiseme!HIzi energy drinks , majuice ya kusindikwa viwandani, masoda na mavyakula ya kisasa yanayozalishwa kwa makemikali hatarishi yameongewza sana hili tatizo kwa vijana wadogo
Mungu atunusuru kwakweli....
Huyo wala hawamcheleweshi!😁😁 ananyota ya ombaomba hataki kujituma , alinde tu futa , wahuni wasije kula asali ya nyuki wadogo
Anaonekana, kazi halitaki ni kuomba tuHuyo wala hawamcheleweshi!
Ka lijinga!Anaonekana, kazi halitaki ni kuomba tu
Kuna mzee mmoja jirani yetu, alikuwa anafanya hii dialysis. KCMC Hospital.we acha kabisa, isiwe kwako au hata kwa ndugu yako ndio utajua hiyo Dialysis nini
NI kumwomba Mungu tu maana....Sijui tutaponea wapi maana hata mboga mboga na matunda navyo vinajazwa midawa ya viwandani, samaki wanafugwa kwa madawa, kuku ndo usiseme!
Kwakweli ni kudra za mwenyezi Mungu ndo zaweza kutunusuru
Umenikumbusha schoolmate wangu. Naye baada ya kuona magharama makubwa na anasumbua watu kumchangia, akaamua kufanya maamuzi magumu.Kuna mzee mmoja jirani yetu, alikuwa anafanya hii dialysis. KCMC Hospital.
Baada ya kuona gharama za dialysis zimekuwa kubwa sana mpaka kufikia hatua ya mali nyingi za familia kuuzwa, lakini bado hakuwa na tumaini la kupona.
Yule mzee bwana aliamua kujilipua na akajimaliza mwenyewe.
Siku moja baada ya kumaliza kusafisha figo Hospitali na kurudishwa nyumbani. Usiku wake yule mzee aling'ofoa ile mipira ambayo inakuwa imewekwa hapa upande wa kifuani.
Bwana, damu zilitapakaa chumba kizima. Maana aliivuta ile mipira ikatoka hadi ni vimishipa vya damu!
Akafia palepale.
Niliogopa sana asee!
Hapa Afrika kwa ujumla, Ukipata tatizo la figo kufeli, unakuwa tayari umeanza safari ya kifo.Umenikumbusha schoolmate wangu. Naye baada ya kuona magharama makubwa na anasumbua watu kumchangia, akaamua kufanya maamuzi magumu.
Katuita marafiki akatukalisha nyumbani na mkewe akituambia kwamba anatuaga. Pamoja na kumsihi na kumbembeleza aligoma kabisa kwenda kufanyiwa dialysis mpaka akajifia kitandani usiku akiwa amelala
RIP Richard
Kwakweli, tuendelee kuomba kudura za mwenyezi MunguHapa Afrika kwa ujumla, Ukipata tatizo la figo kufeli, unakuwa tayari umeanza safari ya kifo.
Maana hata familia iuze nini, bado dialysis ni endelevu na gharama ni nonstop.
Unajua bora kuingia gharama kwa kitu ambacho unajua utapona.
Kuliko kuingia gharama ambazo ni nonstop kwa kitu ambacho hakiponi.
Ukimwi unaweza kukaa nao miaka hata 20 unakula ARV NA maisha yanaendelea .hivi kati ya kuuliwa Figo na ukimwi kipi kina gharama?ukimwi wengi tunaweza tukawa nao na tusijulikane Leo Wala kesho Figo unaweza?Hakuna kilicho bora hayo yote mtihani ni kuomba tu Mungu atuepushe na haya majanga.
Hii nzuri sanaNI kumwomba Mungu tu maana....
Na pia ni kujitahidi kubadili mitindo ya maisha. Kuachana na haya masumu ya viwandani. Na kama umebahatika kaeneo kadogo waweza kujipandia vimboga vya majani na kujifugia vikuku vyako
View attachment 3671285
View attachment 3671286
Dah aise noma sanaKuna mzee mmoja jirani yetu, alikuwa anafanya hii dialysis. KCMC Hospital.
Baada ya kuona gharama za dialysis zimekuwa kubwa sana mpaka kufikia hatua ya mali nyingi za familia kuuzwa, lakini bado hakuwa na tumaini la kupona.
Yule mzee bwana aliamua kujilipua na akajimaliza mwenyewe.
Siku moja baada ya kumaliza kusafisha figo Hospitali na kurudishwa nyumbani. Usiku wake yule mzee aling'ofoa ile mipira ambayo inakuwa imewekwa hapa upande wa kifuani.
Bwana, damu zilitapakaa chumba kizima. Maana aliivuta ile mipira ikatoka hadi ni vimishipa vya damu!
Akafia palepale.
Niliogopa sana asee!
HatariHapa Afrika kwa ujumla, Ukipata tatizo la figo kufeli, unakuwa tayari umeanza safari ya kifo.
Maana hata familia iuze nini, bado dialysis ni endelevu na gharama ni nonstop.
Unajua bora kuingia gharama kwa kitu ambacho unajua utapona.
Kuliko kuingia gharama ambazo ni nonstop kwa kitu ambacho hakiponi.
Huenda ndio dawa yake ya malariaNahisi kila mtu ana figo yake! My dad anakunywa mno na sijawahi kusikia hata ana malaria!
Duhh noma!Huenda ndio dawa yake ya malaria
Kuna jamaa nafanya nae kazi,yeye akiumwa akinywa maziwa mzima kabisa
Laki sita kila wiki sio mchezo.Dah aise noma sana
Inasikitisha haya mambo
Uyasikie tu
Sasa utakuta huyo mzee kauza mali nyingi na bado haoni matumaini
Ova
HatariLaki sita kila wiki sio mchezo.
Hata uchangiwe million 100 zitaisha tu!
Na bado huponi.
Kweli mkuu. Tunajiendekeza tu. Kaeneo kadogo unaweza kukatumia vizuri ukajizalishia vimbogamboga vyako kwa gharama nafuu sanaHii nzuri sana
Nafikiri ili apate msaada zaidi na kujulisha wengine pia, hata mimi nimefikiria kumchangia baada ya kuona hiyo postkulikua na haja gani kutangazia?