Niffer atoa majibu baada ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kutaka akamatwe kwa uchangishaji wa fedha kwa ajali ya maafa Kariakoo

Kipi kinakuuma ?
 
Kunya anye KUKU… kuna huu msemo wa waswahili… unaweza kujua fedha za wahanga wa tetemeko kipindi kile cha Mzee zilienda WAPI mpka utake kufatilia za Huyo dada?
 
Nadhangaa, yeye za kwake ni kiasi gani? Mtu mwenye biashara kubwa na ma v8 znashindwaje kutoa hata 20m akaziwakilisha kwenye mfuko wa maafa? Mpaka akapige debe kwa wafuasi wake wachange bukubuku .
 
Tundu Lissu alichanguwa hela, haikuwa nongwa, sinalo lilikuwa janga? voda na tigo watoe mikeka ya miamala inayodhaniwa ilichangwa kwa lengo ka kuwanufaisha wahanga DCI aichunguze maana jinai haizeeki
 
Nadhangaa, yeye za kwake ni kiasi gani? Mtu mwenye biashara kubwa na ma v8 znashindwaje kutoa hata 20m akaziwakilisha kwenye mfuko wa maafa? Mpaka akapige debe kwa wafuasi wake wachange bukubuku .
mbona crdb voda na tbl wanatuchangisha kwenye mabonanza yao, mbona chadema walituchangisha kumtibisha tundulissu mbina ccm walichangia 5m kukarabati gari la Lissu?
 
mbona crdb voda na tbl wanatuchangisha kwenye mabonanza yao, mbona chadema walituchangisha kumtibisha tundulissu mbina ccm walichangia 5m kukarabati gari la Lissu?
Kwenye marathon si viingilio vile? Halafu tofauti michango ya majanga na matatizo ya mtu mmoja mmoja. Pia wao walitakiwa kuomba kibali serikali za mitaa.
 
zilitumika kujenga shule ya kisasa ya serikali
fedha mabati 1000 ya alaf na mifuko ya cement 500 iliyochangwa kwa ajili ya wakazi wa mwakata kule kahama majaliwa atueleze ziko wapi? fedha za tarime faundation zile 700m majaliwa atueleze ziko wapi? hela za tetemeko la bukoba ziko wapi ile 1bn ta jaica iko wapi? halafu unaanza kuweka ndani mabinti wadogo kisa umetaimiwa
 
Kwenye marathon si viingilio vile? Halafu tofauti michango ya majanga na matatizo ya mtu mmoja mmoja. Pia wao walitakiwa kuomba kibali serikali za mitaa.
wanasema zinaenda kwa wahanga wa janga la ukimwi waziri mkuu atuambie zilichangwa ngapi na zilitumikaje, na zile za mama mwinyi kule zanziber kila mwaka anatukimbiza asubihi atuambie zile hela ziko wapi? sio kukomaa na muuza vipodozi, kwahili huyu jamaa atupishe ofisi ya umma, kapwaya
 
aanzishe foundation kwa ajili ya kuchangisha tu kwenye matukio, au sijamuelewa Jeni
Ukiwa na shirika lisilo la kiserikali, NGO ama.Community Foundation, unaweza changisha fedha lazima uwe na katiba na kusajiliwa, nilishiriki uanzishwaji wa baadhi ya community Foundation, Tanzania kupitia TASAF
 
Sidhani kwamba hazijulikani . Zitakuwa zinaingia kwenye account maalum au foundation ambazo zinakuwa audited kila mwaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…