Mna roho za korosho watu weusiHuyu mhaya ana masifa sana ona na domo lake saivi anaenda kupigwa shoti za chuchu,angeacha limpite angekua yuko zake uko anauza midosho yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mna roho za korosho watu weusiHuyu mhaya ana masifa sana ona na domo lake saivi anaenda kupigwa shoti za chuchu,angeacha limpite angekua yuko zake uko anauza midosho yake.
Kuna mtu amewahi omba kuchangiwa ? Watz Hawa ccmu ndo wamefanya vifo vyote hv ila bado wanazika msichangianeHuyu wa kushoto mwenye light blue top
View attachment 3155332
Kipi kinakuuma ?Kumbe mpumbavu tu. Unatafuta sifa kwenye matatizo?. Mimi nilijua anachangisha ni utaratibu wa eneo lake pale kariakoo?. Kumbe yeye kakimbilia tu kisifa?. Halafu eti anafurahi kutajwa na waziri mkuu. Ndio ndoto yake. Kuna mijitu mipumbavu duniani. Halafu mbona kakimbilia haraka sana kuanza kuchangisha?. Hamna mtu hapo
Kunya anye KUKU… kuna huu msemo wa waswahili… unaweza kujua fedha za wahanga wa tetemeko kipindi kile cha Mzee zilienda WAPI mpka utake kufatilia za Huyo dada?Niffer ni mjanja sana kwenye mambo ya pesa ndio maana anatajirika haraka haraka
Hela za michango ya wahanga. Zinatumwa kwenye Lipa namba zenye jina lake.
Halafu idadi ya waliotuma pesa haijulikani. Majina yao na kiasi walichotuma hakiwekwi wazi. Yaani Hakuna Auditor
Kwa jinsi wa Tanzania walivyo wajinga. Huyu dada angepata mtaji mkubwa sana wa biashara zake kupitia hiyo michango.
Kwenye page yake ana wafuasi milioni moja na nusu. Imagine wafuasi Laki 5 tu. Wakituma shilingi elfu moja moja kila mmoja.. Niffer anakusanya milioni 500 fasta fasta.
Hapo anapeleka kwa wahanga milioni 200 kisha 300 anazibana.
Hakuna atakaye gundua
KichwaKipi kinakuuma ?
Nadhangaa, yeye za kwake ni kiasi gani? Mtu mwenye biashara kubwa na ma v8 znashindwaje kutoa hata 20m akaziwakilisha kwenye mfuko wa maafa? Mpaka akapige debe kwa wafuasi wake wachange bukubuku .Ingetumika akaunti ya serikali husika na hayo masuala ya maafa.
Then yeye aweke kibunda cha maana kama kweli amewiwa halafu kwa wengine atumike kuhamasisha kwamba jamani twendeni kwa akaunti mniunge mkono tuwasaidie waathirika.
Mbali na hapo ni hana utofauti na MATAPELI
Kunya anye KUKU… kuna huu msemo wa waswahili… unaweza kujua fedha za wahanga wa tetemeko kipindi kile cha Mzee zilienda WAPI mpka utake kufatilia za Huyo dada?
Waliotoa michango walitoa kwa ajili ya kujenga shule?zilitumika kujenga shule ya kisasa ya serikali
mbona crdb voda na tbl wanatuchangisha kwenye mabonanza yao, mbona chadema walituchangisha kumtibisha tundulissu mbina ccm walichangia 5m kukarabati gari la Lissu?Nadhangaa, yeye za kwake ni kiasi gani? Mtu mwenye biashara kubwa na ma v8 znashindwaje kutoa hata 20m akaziwakilisha kwenye mfuko wa maafa? Mpaka akapige debe kwa wafuasi wake wachange bukubuku .
SaanaHuyu binti kiburi
Kwenye marathon si viingilio vile? Halafu tofauti michango ya majanga na matatizo ya mtu mmoja mmoja. Pia wao walitakiwa kuomba kibali serikali za mitaa.mbona crdb voda na tbl wanatuchangisha kwenye mabonanza yao, mbona chadema walituchangisha kumtibisha tundulissu mbina ccm walichangia 5m kukarabati gari la Lissu?
fedha mabati 1000 ya alaf na mifuko ya cement 500 iliyochangwa kwa ajili ya wakazi wa mwakata kule kahama majaliwa atueleze ziko wapi? fedha za tarime faundation zile 700m majaliwa atueleze ziko wapi? hela za tetemeko la bukoba ziko wapi ile 1bn ta jaica iko wapi? halafu unaanza kuweka ndani mabinti wadogo kisa umetaimiwazilitumika kujenga shule ya kisasa ya serikali
wanasema zinaenda kwa wahanga wa janga la ukimwi waziri mkuu atuambie zilichangwa ngapi na zilitumikaje, na zile za mama mwinyi kule zanziber kila mwaka anatukimbiza asubihi atuambie zile hela ziko wapi? sio kukomaa na muuza vipodozi, kwahili huyu jamaa atupishe ofisi ya umma, kapwayaKwenye marathon si viingilio vile? Halafu tofauti michango ya majanga na matatizo ya mtu mmoja mmoja. Pia wao walitakiwa kuomba kibali serikali za mitaa.
Ukiwa na shirika lisilo la kiserikali, NGO ama.Community Foundation, unaweza changisha fedha lazima uwe na katiba na kusajiliwa, nilishiriki uanzishwaji wa baadhi ya community Foundation, Tanzania kupitia TASAFaanzishe foundation kwa ajili ya kuchangisha tu kwenye matukio, au sijamuelewa Jeni
Sidhani kwamba hazijulikani . Zitakuwa zinaingia kwenye account maalum au foundation ambazo zinakuwa audited kila mwaka.wanasema zinaenda kwa wahanga wa janga la ukimwi waziri mkuu atuambie zilichangwa ngapi na zilitumikaje, na zile za mama mwinyi kule zanziber kila mwaka anatukimbiza asubihi atuambie zile hela ziko wapi? sio kukomaa na muuza vipodozi, kwahili huyu jamaa atupishe ofisi ya umma, kapwaya
Na ukisajiliwa ni lazima uwe na board, na uwasimishe taarifa za kila mwaka, uwe audited, ufile tax returns etc . Sio kuendesha kienyeji.Ukiwa na shirika lisilo la kiserikali, NGO ama.Community Foundation, unaweza changisha fedha lazima uwe na katiba na kusajiliwa
wewe ndio senge namba mmoja, niffer anakosa kama sio ufirauni wako tuwewe ndio senge namba mmoja, niffer anakosa gani kama siobufirauni wako tu
Uko sahihi lazima uwe na board ya watu wanaojielewa wasiopungua 10Na ukisajiliwa ni lazima uwe na board, na uwasimishe taarifa za kila mwaka, uwe audited, ufile tax returns etc . Sio kuendesha kienyeji.