Jibu ndio hiliDada mjanja sana huyu. Atafika mbali
Hizo hela alikuwa anaenda kuwasaidia wahanga.. huku na yeye anafaidika
sheria imeshawekwa humu kasome utueleze kosa la niffer ni nini? kama sio uhanithi wenu tuwewe ndio senge namba mmoja, niffer anakosa kama sio ufirauni wako tu
niffer hana hiyo njaa mawazo yenu yakifirauni nanyie mungu hawezi wabariki anajua mtamwibiaJi
Jibu ndio hili
Wakiambiwa watanzania hata ukiwa na PhD wana ujinga ndio kama huyu yale ni maafa ya kitaifa unapenyaoenya kulazimisha watu wakuwekeeSwali la kichovu umeona namba maalumu ya maafa imetoka, acha ufala
Labda ndo ile mkomboz bank walikuta zimewekwa tu wakanza kuhondomola ndio nifa hajui ni la kitaifa hilo janga yy anataka akalete nguo China 🇨🇳Nakubaliana na wewe ila pia Niffer kujitwisha hiyo kazi kwenye account zinazosoma jina lake alitakiwa ajiulize mara mbili.
Ujinga ni kumjibu waziri kama anamjibu restyni ujinga tu ku deal na kasichana ka miaka 25, najua huyo mkubwa hili janga nimemkwaruza
🤔🤔🤔😮😮🙄🙄😅😅 Unajaribu kusemaje????kwa taarifa yako bhakresa alishamwita ofisini kwake na kumpongeza, wewe na hela ya kukodi bajaj ya bolt unatoa watu huo uhanithi
Hv kabila gan kwanzaJinga sana Niffer!! Alidhani atatapeli watu wote wakati wote??
niffer anaheshimika sio kama mnavyojaribu kumchafua, dangote alisema wafanyabiashara ni kama ndege ukimpnda mmoja wote wanaruka bila kujali ulimpondea nini mwenzao, kulikuwa na haja kani ya kuropoka akamatwe siangemwita na kumwambia hivyo unavyofanya sio sawa fuata utaratibu, isitoshe mbona hao hao nao hutuchangisha kwenye mimarathoni yao🤔🤔🤔😮😮🙄🙄😅😅 Unajaribu kusemaje????
😅😅🤣🤣😂🤣🤣😂 Anaheshimika na nani??? Yeye ni nani nchi hii.... Acheni ujinga... Watanzania amkeni huo ilikua upenyo wa kupitisha hela Chafu......... Hana chochote mjinga huyo anatumika TU na wakubwa wa.mafisadi basi.....niffer anaheshimika sio kama mnavyojaribu kumchafua, dangote alisema wafanyabiashara ni kama ndege ukimpnda mmoja wote wanaruka bila kujali ulimpondea nini mwenzao, kulikuwa na haja kani ya kuropoka akamatwe siangemwita na kumwambia hivyo unavyofanya sio sawa fuata utaratibu, isitoshe mbona hao hao nao hutuchangisha kwenye mimarathoni yao
bado hujaeleza niffer kavunja sheria ipi? ya maafa? utakatishaji fedha? ukwepaji kodi? yaani umebwabwaja tu ka mwijaku, hebu tuondolee uhanithi wako katafute hela, eti binti mdogo katoa wapi hela! nani kakwambia hela ni kama shahawa hadi ubalehe!😅😅🤣🤣😂🤣🤣😂 Anaheshimika na nani??? Yeye ni nani nchi hii.... Acheni ujinga... Watanzania amkeni huo ilikua upenyo wa kupitisha hela Chafu......... Hana chochote mjinga huyo anatumika TU na wakubwa wa.mafisadi basi.....
Soma hii 👇👇
We hujui wewe. Tulia kama maji ya mtungi.
Hizo taasisi za kidini unazoongelea ndio mlango mkuu wa money laundering Tanzania na kwinginepo.
Pamoja na watu wanaofumuka kama uyoga kama huyo Binti. Binti mdogo pesa haijulikani imekuaje.
Mfano ni huu Mangi, mnatoa sadaka(Zina audit ya serikali)???? So mapapa wa mafisadi na wezi wanatoa sadaka na michango mikubwa then kesho na keshokutwa akaunti ya kanisa inatumika kununua kiwanja au mali ya aina yeyote alafu mwisho wa siku mnufaika na mmiliki anakuwa yule papa ambaye ni mafia.... Yaani hivyo...
Haya Binti kama huyu unayemtetea anaanzisha michango na inajaa kwa haraka sana mara 1m mara 5m mara 15m ,mara 30m papa mara 50m na angeendelea ingefika labda 400m... Hapo hao mafisadi na wezi na Wala rushwa wa serikali Sasa wanasafisha hela zao kwa kumtumia Fulani we tuma 2m, wewe tuma 5m, mwingine tuma 1m... Ni slow process but sure
Then huyu Binti anaenda kwenye duka la mmoja wa Hawa mapapa ananunua mahitaji hayo Then boom the money is clean and it can go to bank au ikahusika kwenye other legal transactions.....
Hivyo hivyo kwenye hayo ma mall anafungua... Ni kupitisha hela Chafu TU..
SASA UKIWA UNAWAZA KAMA WALE.... HUWEZI JUA
Ningekutukana ila Mimi ni mtu mzima na pengine hapa nabishana na kijana wangu.... Mangi hebu angalia hii Sheria......👇👇👇👇👇👇bado hujaeleza niffer kavunja sheria ipi? ya maafa? utakatishaji fedha? ukwepaji kodi? yaani umebwabwaja tu ka mwijaku, hebu tuondolee uhanithi wako katafute hela, eti binti mdogo katoa wapi hela! nani kakwambia hela ni kama shahawa hadi ubalehe!
Chihuhuyo wamfundishe adabu anaaibisha kitengo cha maafa
Kına Malisa wana foundation , lakini pia hawa changii maafa , wanachangia watu wenye uhitajiUmeona, kwahiyo kumbe ni double standard. Hili jambo la watu kuchangisha linafanyika mda mrefu tu. Hata kina Malisa wanachangisha. Je, wana vibali vya IGP? Au sheria imeainisha aina ya majanga????