niffer anaheshimika sio kama mnavyojaribu kumchafua, dangote alisema wafanyabiashara ni kama ndege ukimpnda mmoja wote wanaruka bila kujali ulimpondea nini mwenzao, kulikuwa na haja kani ya kuropoka akamatwe siangemwita na kumwambia hivyo unavyofanya sio sawa fuata utaratibu, isitoshe mbona hao hao nao hutuchangisha kwenye mimarathoni yao
😅😅🤣🤣😂🤣🤣😂 Anaheshimika na nani??? Yeye ni nani nchi hii.... Acheni ujinga... Watanzania amkeni huo ilikua upenyo wa kupitisha hela Chafu......... Hana chochote mjinga huyo anatumika TU na wakubwa wa.mafisadi basi.....
Soma hii 👇👇
We hujui wewe. Tulia kama maji ya mtungi.
Hizo taasisi za kidini unazoongelea ndio mlango mkuu wa money laundering Tanzania na kwinginepo.
Pamoja na watu wanaofumuka kama uyoga kama huyo Binti. Binti mdogo pesa haijulikani imekuaje.
Mfano ni huu Mangi, mnatoa sadaka(Zina audit ya serikali)???? So mapapa wa mafisadi na wezi wanatoa sadaka na michango mikubwa then kesho na keshokutwa akaunti ya kanisa inatumika kununua kiwanja au mali ya aina yeyote alafu mwisho wa siku mnufaika na mmiliki anakuwa yule papa ambaye ni mafia.... Yaani hivyo...
Haya Binti kama huyu unayemtetea anaanzisha michango na inajaa kwa haraka sana mara 1m mara 5m mara 15m ,mara 30m papa mara 50m na angeendelea ingefika labda 400m... Hapo hao mafisadi na wezi na Wala rushwa wa serikali Sasa wanasafisha hela zao kwa kumtumia Fulani we tuma 2m, wewe tuma 5m, mwingine tuma 1m... Ni slow process but sure
Then huyu Binti anaenda kwenye duka la mmoja wa Hawa mapapa ananunua mahitaji hayo Then boom the money is clean and it can go to bank au ikahusika kwenye other legal transactions.....
Hivyo hivyo kwenye hayo ma mall anafungua... Ni kupitisha hela Chafu TU..
SASA UKIWA UNAWAZA KAMA WALE.... HUWEZI JUA