Huyu wa kushoto mwenye light blue topKwani huyo nifa ana wadhifa gani maana wengi naamini hatumfahamu mwenye CV yake Tafadhali.
Kwahiyo niffer anatuaminisha hajakamatwa na kwamba polisi wamemdanganya waziri mkuu?Mfanyabiashara maarufu Jennifer Jovin, anayefahamika kama Niffer, ametoa majibu yake baada ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, kumtaja katika hotuba yake ya hadhara akitaka afuatiliwe na kueleza nani aliyempa mamlaka ya kuchangisha fedha kufuatia ajali ya kuporomoka kwa gorofa la Kariakoo.
Kupitia majibu yake yaliyojaa shukrani na kueleza nia njema, Niffer amesema:
"Kwanza kabisa, Alhamdulillah, namshukuru sana Allah kwa kunipa nafasi ya kuiona siku ya leo. Kwa kweli, ni jambo kubwa sana kwangu kuona Waziri Mkuu wa nchi yangu ametaja jina langu mbele ya hadhara ya watu mashuhuri. Hii ni ndoto kubwa iliyotimia kwa ulimwengu wa roho."
Niffer ameeleza kuwa nia yake kuu ilikuwa kusaidia wahanga wa ajali hiyo, akisisitiza kuwa hakujua sheria zinazohusiana na uchangishaji wa fedha kwa ajili ya mafaa kama hayo. Ameeleza:
"Nilikuwa tayari tangu mwanzo kutoa ushirikiano kwa Serikali na jamii kwa ujumla. Niliomba muongozo kutoka kwa Mkuu wa Mkoa kabla ya kuanza zoezi hili. Ninaamini nia yangu haikuwa mbaya, na kupitia changamoto hii, nimeona umuhimu wa kuwa na taasisi inayotambulika rasmi, Niffer Foundation."
Waziri Mkuu Majaliwa, wakati akizungumza eneo la Kariakoo, alisisitiza kuwa hakuna mtu anayepaswa kuchangisha fedha bila kibali maalum kutoka serikalini na akatoa agizo kwamba Niffer atafutwe ili aeleze ni nani aliyempa mamlaka hiyo.
Soma, Pia: Jeshi la polisi tayari limempata Niffer kwa kuchangisha michango ya wahanga wa Kariakoo
Baada ya agizo hilo, taarifa zilitolewa kuwa Niffer ameshapatikana na yuko tayari kushirikiana na mamlaka husika.
Huyu wa kushoto mwenye light blue topKwani huyo nifa ana wadhifa gani maana wengi naamini hatumfahamu mwenye CV yake Tafadhali.
Ni muislamu?Mfanyabiashara maarufu Jennifer Jovin, anayefahamika kama Niffer, ametoa majibu yake baada ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, kumtaja katika hotuba yake ya hadhara akitaka afuatiliwe na kueleza nani aliyempa mamlaka ya kuchangisha fedha kufuatia ajali ya kuporomoka kwa gorofa la Kariakoo.
Kupitia majibu yake yaliyojaa shukrani na kueleza nia njema, Niffer amesema:
"Kwanza kabisa, Alhamdulillah, namshukuru sana Allah kwa kunipa nafasi ya kuiona siku ya leo. Kwa kweli, ni jambo kubwa sana kwangu kuona Waziri Mkuu wa nchi yangu ametaja jina langu mbele ya hadhara ya watu mashuhuri. Hii ni ndoto kubwa iliyotimia kwa ulimwengu wa roho."
Niffer ameeleza kuwa nia yake kuu ilikuwa kusaidia wahanga wa ajali hiyo, akisisitiza kuwa hakujua sheria zinazohusiana na uchangishaji wa fedha kwa ajili ya mafaa kama hayo. Ameeleza:
"Nilikuwa tayari tangu mwanzo kutoa ushirikiano kwa Serikali na jamii kwa ujumla. Niliomba muongozo kutoka kwa Mkuu wa Mkoa kabla ya kuanza zoezi hili. Ninaamini nia yangu haikuwa mbaya, na kupitia changamoto hii, nimeona umuhimu wa kuwa na taasisi inayotambulika rasmi, Niffer Foundation."
Waziri Mkuu Majaliwa, wakati akizungumza eneo la Kariakoo, alisisitiza kuwa hakuna mtu anayepaswa kuchangisha fedha bila kibali maalum kutoka serikalini na akatoa agizo kwamba Niffer atafutwe ili aeleze ni nani aliyempa mamlaka hiyo.
Soma, Pia: Jeshi la polisi tayari limempata Niffer kwa kuchangisha michango ya wahanga wa Kariakoo
Baada ya agizo hilo, taarifa zilitolewa kuwa Niffer ameshapatikana na yuko tayari kushirikiana na mamlaka husika.
ndio nimemshangaa Jen anavyosema kuchangisha kimemfanya awaze kuanzisha Niffer foundationTanzania Red Cross wanafanya kazi gani?
usikute usikute usikute na usikute inapepewa kwa AC ya cherikali!Huyu dada alikwishalalamikiwa sana na wafanya biashara wa Kariakoo kwa kuwharibia biashara zao.
Ni wakati sasa TRA waruke naye kuangalia kama analipa kodi ya mapato
hebu leteni picha zake kwanza ujue wengine hatumjuiHuyu binti kiburi
Ni binti mwenye sura nzuri na bonge la tako. Ana shepu inayoweza kumfanya shetani kuwa mfuasi wa Mwamposa kwa hiari. Kajaliwa.hebu leteni picha zake kwanza ujue wengine hatumjui
Mjanja sana maji na biskutiUyu na wale wa tuma kwa namba hiii tofauti yao ni nini..😅uchangishe more than 30ml afu ununue maji kiwandani kwa bei ya jumla ya laki 3
Usipp jipanga utapangwa(S.S.H, 2022)Chizi huyo wamfundishe adabu anaaibisha kitengo cha maafa
Ndiyo amesema atatoa ushirikiano wa aina yoyote Ile...Ana tako, kwa mkwara huo, akiombwa lazima atoe
HahahaaaNdiyo amesema atatoa ushirikiano wa aina yoyote Ile...
Msifie tu! Wakati wa mapito yake umpe pia na pole.Dada mjanja sana huyu. Atafika mbali
Hizo hela alikuwa anaenda kuwasaidia wahanga.. huku na yeye anafaidika
Nasikia ana tako ni balaa.Kwani huyo nifa ana wadhifa gani maana wengi naamini hatumfahamu mwenye CV yake Tafadhali.