Niffer atoa majibu baada ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kutaka akamatwe kwa uchangishaji wa fedha kwa ajali ya maafa Kariakoo

Umeona, kwahiyo kumbe ni double standard. Hili jambo la watu kuchangisha linafanyika mda mrefu tu. Hata kina Malisa wanachangisha. Je, wana vibali vya IGP? Au sheria imeainisha aina ya majanga????
 
Umaarufu wa mitandaoni unamuelemea anashindwa kujicontrol hakukua na haja ya yeye kupost ligazeti lirefu kujibu. Namuombea avuke salama na ajifunze kwenye hili.
Niffer ana umaarufu gani sasa?hivi ndo anatafuta kujulikana,
aje na hiyo Foundation uchwara yake lol.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa aogope nn akati wao ndo michepoz ya watoa amri na matamko.
Hadi hili sakata lifike mwisho kuna mtu au watu kadhaa watanufaika na lile tako. Ni fursa ya wenye maamuzi kupata utelezi. Niffer anatakiwa kuelewa sio tatizo kucheza na Kasim ila ni hatari mno kucheza na Waziri Mkuu. Mungu amlaze pema hayati EL kwa kusisitiza elimu.
 
Hapo nasikia harufu ya utakatishaji fedha au mchongo wa chap chap wa kuongeza annual turnover ya akaunti isaidie kwenye mambo ya kibenki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…