Niffer atoa majibu baada ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kutaka akamatwe kwa uchangishaji wa fedha kwa ajali ya maafa Kariakoo

Kuna mahali nimeona ' Nifer achambana na Wazuri Mkuu'. Huyu binti angekuwa sio muimba mapambio ya kusifu SASA hivi wangesha mdeo Bonge WA Kiluvya🤣🤣🤣
 
Tapeli huyo hapo walikuwa wanaenda kupigwa wengi sana

Na kwaninj asubiri hadi matukio yatokee ndiyo achangishe? Alikuwa wapi siku zote?
Bongo wajinga huwa hawaishi kila siku wanapigwa lakini hawajifunzi kama lengo ni kuchangia wahanga kwa nini wasizipeleke wenyewe kulekule kariakoo hadi zipitie kwa Niffer kwamba yeye ndio ana huruma kuliko Watanzania wote?
 
Ingetumika akaunti ya serikali husika na hayo masuala ya maafa.

Then yeye aweke kibunda cha maana kama kweli amewiwa halafu kwa wengine atumike kuhamasisha kwamba jamani twendeni kwa akaunti mniunge mkono tuwasaidie waathirika.

Mbali na hapo ni hana utofauti na MATAPELI
 
Huyu demu ni mwizi na alikuwa anaenda kuwapiga watu kinoma. Yani watz wengi ni wajinga na ni mandezi kinoma. Kwann asingetoa mchango wake yy km yy.
 
Hizo Tsh 30 Millioni ziko wapi kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…