Foundation ziko globally hivyo hatakuwa wa kwanza kuzianzisha, hata Red Cross wana makandokando mengi sana kama huwa unawafuatilia.ndio nimemshangaa Jen anavyosema kuchangisha kimemfanya awaze kuanzisha Niffer foundation
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Foundation ziko globally hivyo hatakuwa wa kwanza kuzianzisha, hata Red Cross wana makandokando mengi sana kama huwa unawafuatilia.ndio nimemshangaa Jen anavyosema kuchangisha kimemfanya awaze kuanzisha Niffer foundation
Sasa hivi jamaa ni mwanasiasa mkubwa kupitia chama pendwa. 😄😄Tako sio kitu muhimu kwa sasa Wachina walishafanya yao ?
Waziri mkuu zoba huyo hana meno, ngoma isambe hiyo tulia uone maajabu.Umaarufu wa mitandaoni unamuelemea anashindwa kujicontrol hakukua na haja ya yeye kupost ligazeti lirefu kujibu. Namuombea avuke salama na ajifunze kwenye hili.
Na lengo lake lingine ni umaarufu yaani awe mtu wa kuzungumzwa midomoni mwa watu kama umemuelewa alichokisema hapoDada mjanja sana huyu. Atafika mbali
Hizo hela alikuwa anaenda kuwasaidia wahanga.. huku na yeye anafaidika
CV kubwa za watu wa Caliber yake ni makalio na sura ya kuwavuta followers. Aje mtu abishe.Kwani huyo nifa ana wadhifa gani maana wengi naamini hatumfahamu mwenye CV yake Tafadhali.
Wenye D mbili tu wataelewa hii statementusikute usikute usikute na usikute inapepewa kwa AC ya cherikali!
Bongo wajinga huwa hawaishi kila siku wanapigwa lakini hawajifunzi kama lengo ni kuchangia wahanga kwa nini wasizipeleke wenyewe kulekule kariakoo hadi zipitie kwa Niffer kwamba yeye ndio ana huruma kuliko Watanzania wote?Tapeli huyo hapo walikuwa wanaenda kupigwa wengi sana
Na kwaninj asubiri hadi matukio yatokee ndiyo achangishe? Alikuwa wapi siku zote?
kwa hiyo hilo ndio linalompa confidence kwamba hata pm akienda atatulizwa au sioMtoto ana akili za kujiongeza sana, hapo kapangua kwa kujifanya alikuwa na idea ya kutengeneza foundation😄! Sema kwa kuwa ana tako hilo linazungumzika.
Hakuna kitu kama hicho mkuu usicheze na wenye mamlaka.Waziri mkuu zoba huyo hana meno, ngoma isambe hiyo tulia uone maajabu.
Bongo iko kisongombingo yaani chawa ana nguvu zaidi ya TZ3.
🤣 😂 .
Kwahiyo yeye ni nani? Ila mshanduaji!Mtu maarufu sio kuwa na followers IG, umaarufu ni hadi wasio na simu au wa vijijini wakujue.
Atafanyaje unadhani😁kwa hiyo hilo ndio linalompa confidence kwamba hata pm akienda atatulizwa au sio
Hizo Tsh 30 Millioni ziko wapi kwa sasaMtandaoni
Wakiongozwa na Mdada mmoja Jina nimesahau, walitaka asichangishe yeye achangishe mwingine na ndio ikawa hivi kumshitaki alipoona chini sijui ya saa moja(kama sijakosea ila muda mfupi sana) amepokea 30m jana. Nao watesi hawajui biashara tangu zamani wanataka kumshusha Niffer binti mdogo mchapa kazi. Sio wa pauda kama wao.
Mamlaka bila meno, kibongobongo 'timu' ni muhimu kuliko mamlaka. Wale wote ambao ni timu Bi Urojo kwa sasa ni untouchables, just wait and see. Kama ushasikia maajabu ya sikio kuvuka kichwa, that's what's happening.Hakuna kitu kama hicho mkuu usicheze na wenye mamlaka.
Hizo Tsh 30 Millioni ziko wapi kwa sasa
Bokwa hiyo hilo ndio linalompa confidence kwamba hata pm akienda atatulizwa au sio