Niffer atoa majibu baada ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kutaka akamatwe kwa uchangishaji wa fedha kwa ajali ya maafa Kariakoo

Mamlaka bila meno, kibongobongo 'timu' ni muhimu kuliko mamlaka. Wale wote ambao ni timu Bi Urojo kwa sasa ni untouchables, just wait and see. Kama ushasikia maajabu ya sikio kuvuka kichwa, that's what's happening.
Ngoja tuone itakuaje
 
niffer kama mfanyabiashara alikuwa anafanya CSR na kuchangishana mbona hata makampuni makubwa yanatuchangisha, juzi tulichangia zanziber marathon, GGM huchangisha wakati wanapanda mlima kilimanjaro, hela alizochangisha mama mwinyi kwenye zanziber marathon hatujui ni shs ngapi na zilienda wapi? kumweka ndani ka jizi sio haki wamkabidhi ustawi wa jamii wamfundishe namna sahihi ya kuchangia na kuchangisha fedha
 
Tapeli huyo hapo walikuwa wanaenda kupigwa wengi sana

Na kwaninj asubiri hadi matukio yatokee ndiyo achangishe? Alikuwa wapi siku zote?
mbona alipomchangia mkaanga chips hamkusema haya yote, tena azam walimuunga mkono kwa kumpatia mifuko ya ngano na kumtembeza kiwandani kwao
 
kwa taarifa yako bhakresa alishamwita ofisini kwake na kumpongeza, wewe na hela ya kukodi bajaj ya bolt unatoa watu huo uhanithi
 
Nakubaliana na wewe ila pia Niffer kujitwisha hiyo kazi kwenye account zinazosoma jina lake alitakiwa ajiulize mara mbili.
mbona crdb nbc ggm wanatuchangisha kwenye marathon zao, hela za kilimarathon zinaendaga wapi? kabla ya kudeal na niffer tuanze na crdb tbl na ggm ambao kila mwaka wanatuchangisha
 
Kama sikosea huyo askari ndiye anayeonekana kwenye Avatar ya Stuxnet
 
Umaarufu wa mitandaoni unamuelemea anashindwa kujicontrol hakukua na haja ya yeye kupost ligazeti lirefu kujibu. Namuombea avuke salama na ajifunze kwenye hili.
ni sawa kuelezea hisia zake kwani upotoshaji ungezidi ukweli, ngoja tuone, na magroup ya whatsap nayo wayafanyie kazi sawa na wanavyo deal na katoto, hivi kweli murilo anahangaika na kasichana ka miaka 25 tena kauza vipodizi kweli,
 
ni sawa kuelezea hisia zake kwani upotoshaji ungezidi ukweli, ngoja tuone, na magroup ya whatsap nayo wayafanyie kazi sawa na wanavyo deal na katoto, hivi kweli murilo anahangaika na kasichana ka miaka 25 tena kauza vipodizi kweli,
Acha sheria ichukue mkondo wake
 
Watanzania wengi ni wajinga jinga sana Kuna mtu yuko tayari ashinde njaa ili tu amchangie nifer , wajinga ndio waliwao japo mie naona hamna kesi hapo maana huyo nifer ni timu Moja ya waimba mapambio ya mama anaupiga mwingi
wakwamwaposa huwaoni? waliokuwa wanachangishwa lakitano na mkongoman wao je?
 
Umeona, kwahiyo kumbe ni double standard. Hili jambo la watu kuchangisha linafanyika mda mrefu tu. Hata kina Malisa wanachangisha. Je, wana vibali vya IGP? Au sheria imeainisha aina ya majanga????
Sheria ziko tofauti. Kuna ya majanga, NGO na ya serikali za mitaa nadhani. Zinatoa muongozo wa jinsi ya kuchangisha au kutoa msaada.
 
aanzishe foundation kwa ajili ya kuchangisha tu kwenye matukio, au sijamuelewa Jeni
Hujapata maswaibu , ccmu umefanikiwa kuharibu vichwa vyenu , wao ndo chanzo Cha yote haya ila hapa wanajifanya wapo na nyiny
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…