pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 5,248
- 3,663
Labda huwa wanaomba vibaliUmeona, kwahiyo kumbe ni double standard. Hili jambo la watu kuchangisha linafanyika mda mrefu tu. Hata kina Malisa wanachangisha. Je, wana vibali vya IGP? Au sheria imeainisha aina ya majanga????