YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,155
- 36,337
Umenidindisha. Watu wa mikazo tupo.
Acha uzinzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenidindisha. Watu wa mikazo tupo.
niite mbwaa😂😂
Tatizo siku hizi watu wanapenda sifa zaidiMa Shaa Allah, piga kazi mama, bado ni mtaji mdogo sana huo.
mtaji mzuri ni kuanzia 1.5 billion.
Tena Niffer, usijitangazie mafanikio yako, wacha watu wayaone na wahadithiane tu.
Mahasidi wengi.
Mbwaaaniite mbwaa😂😂
DAah dunia simama nimesahau chenji🤣🤣🤣Acha uzinzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🤣🤣🤣🤣farbasebelakisetietieaa🤣🤣🤣Mbwaaa
asanteMbwaaa
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Nimekumiss zaidi dada, nimefurahi kukuona tena sema usipotee sana jamani, nakupenda pia [emoji7][emoji7]
Aaaawwwww!!!Mdogo wangu nimekumiss nawe pia
-KANA-Anajipandisha hadhi purposely.
Hiyo ndiyo inaitwa 'kujibrand kimkakati' 😎
-Kaveli-
Umenena point mkuu wengi waliofanikiwa ukifuatilia kwa makini utagundua kuna mengi wanafichaKwenye kila mafanikio kuna uchafu Fulani hufunikwa na kaniki nyeusi tii usionekane
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema tu katabia kabaya kamakushikaAaaawwwww!!!
Nimekumiss zaidi ndugu yangu, Wa dhati kabisa...
Ubarikiwe tu..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sema tu katabia kabaya kamakushika
Nyoya mkuu?😀😀😀 khaaMim pia nilianza na nyoya la kuku saizi Nina kuku 1700 bandani ,naingiza zaidi ya million 30 Kwa mwezi...
Vijana tafuten pesa ,ajira hakuna ila kazi zipo ....
Jamani 😀😀😀😀Na sisi tulioanza Kuuza Mafuta katika Chupa ya Lita 1 baada ya miezi miwili tuna Petrostation 55 je?
Haa😀😀😀 vocha hadi duka la Iphone🙌Ni kweli yani, mi nilianza na vocha ya jero tu ila sasa nina maduka matatu ya iphone mjini😀! Biashara ni imani tu jamani tusikate tamaa.
Unatia hasira hakika[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kapi hako?
Usiniseme hapa...
Haa mimi nilianza kuendesha boda lakini sasa namiliki mabus ya mkoani 20Haa😀😀😀 vocha hadi duka la Iphone🙌