thanks again and have you
JF-Expert Member
- May 11, 2023
- 230
- 426
Wengi wanaaongea hawajai hata kuhonga hata laki ,wanakuja kutufokeaa tu hapa ,Watu wanapenda kusikia habari mbaya masikioni mwao labda aseme"alianza kudanga na elfu arobaini" kudanga mpaka ukawa na duka la nguo unatumia akili kubwa na haudangi na wanaume tia maji tia maji,Bora kadanga kapata mtaji kuliko wanaotoa vipochi vyao bureWatu wanadhani kudanga ni Kazi rahisi sana, like unalala, unapanua mapaja halafu basi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]