Niffer: Nilianza na mtaji wa elfu 40, sasa hivi nashika hadi milioni 150

Niffer: Nilianza na mtaji wa elfu 40, sasa hivi nashika hadi milioni 150

Kama.mnahisi kuhongwa ni rahisi tafuteni nyie madanga wawahonge tuache husda na wivu mwenzetu kashatoboa kama unaona njia rahisi na wewe unaweza fuata nyayo.
Kama kuuza uchi ni kua tajiri wale wa Kimboka na Wahaya wenye vijumba vyao si wangekua matilionea kabisa.... Kuhongwa kupo je akili ya kutumia kile unachohongwa unayo??? Hapo ndipo mabinti wengi wanapofeli.
 
Kwanza kupata mwanaume wa kukuhonga hyo 150 unadhani ni rahisi? Hata kama alihongwa au anahongwa ana akili pia ya kutumia pesa anayopata ,alafu yeye tunamuhukumu kwa sababu tunamfahamu ni star ,anafahamika lakini kuna watu ambao hatuwajui wanauza vipochi manyoya lakini bado ni maskini sembuse huyu ambaye hata kama anadanga anadanga kistarabu sana!
 
Namjua kwao walikua na dhiki sana.
Na kuna kale kengine ka chotara ka kiarabu Sajna sijui kama sijakosea jina anacheza bongo movie pia vixen, nimekabeba sana Kigamboni miaka ya 2000 mwanzoni. Mjomba wake alikua mvuvi. Tuwaache tu hawa madogo wamesota sana. Hakuna apendaye dhiki.

Halafu kuna siku nimeona mdada mzuriiiii kama chotara hivi anauza ice cream za Bakhresa zile wanazobeba mgongoni. Aisee I wish ningemuona tena huyo mrembo.
Sanaaa, napenda sana watu wanaojua walipotoka na kuhustle wasibaki hapo hapo, mengi yatasemwa ila Niffer muuza Icecream sio Niffer huyu wa Sasa aliyealikwa hadi Ikulu kupata Dinner akiwa na timu ya Yanga,

Pia naona Wadada wengi wanamchukia huyu binti ila spirit yake ni kubwa na atafika mbali hata Jokate alisemwa sana na sasa ni Muheshimiwa.
 
Mimi naogopa sana watanzania wanaojichapisha mitandaoni kuhusu mafanikio yao. They are proving us, too weak enough to handle the secrets.
 
Mashangazi tunashinda gym siku hiz, tumegoma kuzeeka. Hao chipukizi watatukuta tu bado tuko hot [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna shangazi mmoja Gym imemuharibu badala ya kua sexy lady amekua baunsa hadi anawatisha sponsors [emoji23][emoji23] sema 'sajari' ipo mashangazi tutaenda kila pembe ya dunia kubadili muonekano ili mradi tusipitwe na soko
 
Acha tu ni mwendo wa kuforce mambo yaende [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom