Niffer: Nilianza na mtaji wa elfu 40, sasa hivi nashika hadi milioni 150

Niffer: Nilianza na mtaji wa elfu 40, sasa hivi nashika hadi milioni 150

Kwahiyo wanaomiliki iphone macho ma3 wote waliacha jicho moja?! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aahah..sio wale classic kama wewe hiv....wako wale tunaokutana nao kwenye daladala za kawe na mbagala wanamiliki macho ma3 wamevaa ndala za manyoya..sasa unajiuliza huyu katoa nini kama sio jicho!?
 
ukinifafanulia kidogo nitakushukuru kaka yaani chapu sana aisee
Kuna biashara haramu nyuma ya biashara halali inayokuwa kwa haraka
Hawa mabinti wengi huwa na biashara haramu inayowaingizia pesa wanayoitakatisha kwa kuiingiza kwenye mtaji
Madawa na uchangu zikiwa ndio maarufu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom