Umenidindisha. Watu wa mikazo tupo.
niite mbwaaππ
Tatizo siku hizi watu wanapenda sifa zaidiMa Shaa Allah, piga kazi mama, bado ni mtaji mdogo sana huo.
mtaji mzuri ni kuanzia 1.5 billion.
Tena Niffer, usijitangazie mafanikio yako, wacha watu wayaone na wahadithiane tu.
Mahasidi wengi.
Mbwaaaniite mbwaaππ
DAah dunia simama nimesahau chenjiπ€£π€£π€£Acha uzinzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
π€£π€£π€£π€£farbasebelakisetietieaaπ€£π€£π€£Mbwaaa
asanteMbwaaa
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Nimekumiss zaidi dada, nimefurahi kukuona tena sema usipotee sana jamani, nakupenda pia [emoji7][emoji7]
Aaaawwwww!!!Mdogo wangu nimekumiss nawe pia
-KANA-Anajipandisha hadhi purposely.
Hiyo ndiyo inaitwa 'kujibrand kimkakati' π
-Kaveli-
Umenena point mkuu wengi waliofanikiwa ukifuatilia kwa makini utagundua kuna mengi wanafichaKwenye kila mafanikio kuna uchafu Fulani hufunikwa na kaniki nyeusi tii usionekane
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema tu katabia kabaya kamakushikaAaaawwwww!!!
Nimekumiss zaidi ndugu yangu, Wa dhati kabisa...
Ubarikiwe tu..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sema tu katabia kabaya kamakushika
Nyoya mkuu?πππ khaaMim pia nilianza na nyoya la kuku saizi Nina kuku 1700 bandani ,naingiza zaidi ya million 30 Kwa mwezi...
Vijana tafuten pesa ,ajira hakuna ila kazi zipo ....
Jamani ππππNa sisi tulioanza Kuuza Mafuta katika Chupa ya Lita 1 baada ya miezi miwili tuna Petrostation 55 je?
Haaπππ vocha hadi duka la IphoneπNi kweli yani, mi nilianza na vocha ya jero tu ila sasa nina maduka matatu ya iphone mjiniπ! Biashara ni imani tu jamani tusikate tamaa.
Unatia hasira hakika[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kapi hako?
Usiniseme hapa...
Haa mimi nilianza kuendesha boda lakini sasa namiliki mabus ya mkoani 20Haaπππ vocha hadi duka la Iphoneπ