Niffer: Nilianza na mtaji wa elfu 40, sasa hivi nashika hadi milioni 150

Niffer: Nilianza na mtaji wa elfu 40, sasa hivi nashika hadi milioni 150

Hawa mademu wa Instagram sijui wanamaduka mara sijui nni trends, outfit, etc asilimia 90 ni p*p*c*i kwenda mbele ndio biashara yao...hao ukiona wanaendesha biashara zao ujue nyuma kuna madanga kibao...yaani mzigo ukikwama utasikia baby airport wanataka $300...sasa huwezi kulinganisha hao wadada na mtu mwenye struggle zake kwenye biashara..
 
Mtu anakwambia nilianza na juice ya 5000 saa hii Niko na three star hotel[emoji1]siyo restaurant ni hotel[emoji13][emoji13]what's behind the scene Ile dark side hutakaa uisikie....[emoji1745]
 
Back
Top Bottom