Niffer: Nilianza na mtaji wa elfu 40, sasa hivi nashika hadi milioni 150

Kumbe ni nguvu ya Kipochi manyoya...

Ila amejua kulenga penye hela, maana wenzao akina Wema hawana hata Duka la kuzugia hapo Sinza πŸ™Œ

Wema utoto ulimsumbua ,alikuwa yupo juu kuliko hata huyo niffer ,Alifungua ofisi yake Endless Fame yenye capital zaidi ya 200m miaka hiyo(Aliwezeshwa na Boss wa ikulu)...Just imagine hadi secretary alikuwa anatumia MAC.
 
Kweli wakati ni ukuta

Saivi watu wanampiga Kwa dau Chini hata ya 500k

Ila Bongo ustaa mgumu sana, yaani una jina kubwa alafu mfukoni hauna kitu πŸ™Œ
 
@Nifah umepigaje hapo ?
 
Mi Wema labda wanilipe ndio nimle. Kachuja sana.
Isingekuwa orodha yake ndefu ya waliopiga, unaweza kujizima Siku Moja ukaenda kupiga

Kuna mdau mmoja alinambia ukihitaji yeyote niambie nikusogezee ila muhimu uwe na cash πŸ™Œ

Nikamwambia umri huu siwezi maana tumezeeka sana πŸ€—

Mtu amepigwa na Mapeshee ya tangu 2006, Kuna kupona hapo kweli πŸ™Œ
 
Kasema niffer kaoa na kamfungulia mumewe duka la simu na pia anadanganya watu kuwa ye supa wimen wakati ela ya mtaji kapewa na yahaya anaeishi south africa na adi leo yahaya akimtaka niffer anampata![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na sio yahaya tyuuh had Gre wa Zenji hapo anayefanya bizines Dubengaaa.

Kaka wa watu anajilia vya dezo, afu namuona km toleo jipyaa vilee.
 
Kina wema,uwoya walihongwa mbona hawajaendeleza Niffer ana akili

Nifah dar kaja kwa akili. Hajaja kizembe

Udsm ndio iliomleta dar. Zama hizi Ukiona mdada kasoma shule za kayumba toka msingi na bado anafaulu necta na kupata degree ya udsm. Ujue huyo mdada ana akili.

Niffer ni mmojawapo. Hao wengine wadada wa mjini kina wema na wengine wote waliojaa wameshindwa kufika udsm maana akili hawana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na sio yahaya tyuuh had Gre wa Zenji hapo anayefanya bizines Dubengaaa.

Kaka wa watu anajilia vya dezo, afu namuona km toleo jipyaa vilee.
🀣🀣🀣🀣🀣🀣 ataeaibika ni huyo mume aliefunguliwa kwa pesa za wanaume wenzio
 
Weweumesema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…