MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Niliona kapost juzi.Wamemuubukia lini ๐
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliona kapost juzi.Wamemuubukia lini ๐
Ova
YametimiaMwisho WA haka kadem watu watalizwa
Mpaka ukoma
Mwana katikati hapa ulipotea nkasema mwana hiphop mzee wa ngumu vp tena,nmefurahi kuona upo mwakeNiliona kapost juzi.
DuhKuna jamaa linaishi south Africa nilifanya biashara lilimhonga gari likamfungulia na duka la nguo likamzibua mtaro mkapa basi awadanganye wasiomjua
Oohh hapo kayatimba.Niliona kapost juzi.
Hahaaa TRA wameruka nae ๐ ๐ ,ameyatimba ,showoff zimemponza ,yaani mtoto mdogo unamiliki Discovery 4 ,unajenga majumba ya maana,unatoa zawadi za magari kwenye birthday na suprise.Tayari wazee wa TRA wameshamuibukia.
Nizamu ya fedha inahitajika!Kutoka 40k hadi 150M chap! Duh...
Nilipigwa ban ya wiki 2 baada ya kumtukana popoma.Mwana katikati hapa ulipotea nkasema mwana hiphop mzee wa ngumu vp tena,nmefurahi kuona upo mwake
Ova
huoni utajiri alio nao kiunoni๐ na sehem za nyuma?Niffer ni tajiri???
mzee baba unamwaga spana๐Tunaita njiti
Hivyo huwa vinafichwa na hii sentensi "bidii na kumuomba Mungu tu"Kuna vitu vingi kwenye mafanikio huwa havisemwi:-
- Kwenda kwa karumanzila kutafuta bahati
- Kutumia mahusiano ili kupata mitaji
- Mbinu zilizojificha za kibiashara n.k
Huyu demu kajua kuwachanganya, alafu uliandika hivi ukiwa na uhakika kabisa. Kumbe dada kataka kuwa-surpriseTayari wazee wa TRA wameshamuibukia.
Anaweza kupigwa ambush akiwa katikati ya mipango yake vilevile.Huyu demu kajua kuwachanganya, alafu uliandika hivi ukiwa na uhakika kabisa. Kumbe dada kataka kuwa-surprise
Bongo kila mtu mjuaji, dawa ni kuwachanganya tu kama huyu alivyofanya
Aaaah oky ๐๐๐huoni utajiri alio nao kiunoni๐ na sehem za nyuma?
๐๐๐ฐ๐๐๐ก๐๐ง๐ ๐๐ง๐ฒ๐ ๐ฐ๐๐ฅ๐ ๐ฐ๐๐ฅ๐ข๐จ๐ฌ๐๐ฆ๐ ๐๐๐ ๐ง๐๐ข๐จ ๐ณ๐๐ง๐ ๐ฐ๐