Niffer: Nilianza na mtaji wa elfu 40, sasa hivi nashika hadi milioni 150

Niffer: Nilianza na mtaji wa elfu 40, sasa hivi nashika hadi milioni 150

๐Š๐š๐ฐ๐š๐œ๐ก๐š๐ง๐ ๐š๐ง๐ฒ๐š ๐ฐ๐š๐ฅ๐ž ๐ฐ๐š๐ฅ๐ข๐จ๐ฌ๐ž๐ฆ๐š ๐“๐‘๐€ ๐ง๐๐ข๐จ ๐ณ๐ž๐ง๐ ๐ฐ๐ž

๐ง๐š ๐ข๐ฅ๐ž ๐ฉ๐จ๐ฌ๐ญ ๐ค๐š๐Ÿ๐ฎ๐ง๐ ๐š ๐œ๐จ๐ฆ๐ฆ๐ž๐ง๐ญ๐ฌ, ๐ฆ๐›๐ข๐ฏ๐ฎ ๐ง๐š ๐ฆ๐›๐ข๐œ๐ก๐ข ๐š๐ง๐š๐ณ๐ข๐จ๐ง๐š

๐Š๐ข๐ค๐ฎ๐ฅ๐š๐œ๐ก๐จ ๐ค๐ข ๐ง๐ ๐ฎ๐จ๐ง๐ข ๐ฆ๐ฐ๐š๐ค๐จ

๐€๐ฆ๐ž๐ฉ๐ข๐ ๐š ๐š๐ฆ๐›๐ฎ๐ฌ๐ก ๐ซ๐š๐ข๐š ๐ฐ๐ž๐ง๐ ๐ข ๐ฌ๐š๐ง๐š ๐ฆ๐ญ๐š๐ง๐๐š๐จ๐ง๐ข ๐ข๐ฅ๐ข ๐š๐ฃ๐ฎ๐ž ๐ฐ๐š๐ค๐ฐ๐ž๐ฅ๐ข ๐ง๐š ๐ฐ๐š๐จ๐ง๐ ๐จ
Kashajionea wanaombea anguko lake
 
Kumbe ni nguvu ya Kipochi manyoya...

Ila amejua kulenga penye hela, maana wenzao akina Wema hawana hata Duka la kuzugia hapo Sinza [emoji119]
Mimi bado nampongeza Niffer hata kama anadanga lkn ana akili. Wangapi wanadanga hawana lolote yeye kajua kujiongeza, hizo pesa angewea kutumia kweye starehe na mambo yasiyo na maana lkn kaamua kufanya kitu na hata anaemuhonga mwenyewe anaona hapa sijaokota kichwa tupu.
 
Mimi bado nampongeza Niffer hata kama anadanga lkn ana akili. Wangapi wanadanga hawana lolote yeye kajua kujiongeza, hizo pesa angewea kutumia kweye starehe na mambo yasiyo na maana lkn kaamua kufanya kitu na hata anaemuhonga mwenyewe anaona hapa sijaokotota kichwa tupu.
Umesema sahihi Mkuu

Hata katika maisha ya kawaida ni nadra sana kukuta video vixen wanaojitambua.

I once dated miss Mkoa fulani for almost 2 yrs, yule binti alikuwa ni empty set

Unaweza kumpa hela nzuri tu, lakini baada ya Siku mbili anakwambia hela hana, yote ameenda kununulia Kucha/mawigi na other accessories kuhusiana na urembo ๐Ÿ™Œ

Ni kama wanaishi bila malengo kwenye hii Dunia.

Unamwambia, sasa hebu tusaidiane kubuni biashara uweze kufanya kwaajili ya maendeleo yako binafsi, she doesn't care

Role mode wake eti Kajala, anasema mbona yupo kwenye 40+ lakini still anaonekana hajazeeka

Nikamtania, unajua Mtaani Kuna mabinti wa Mwaka 2003, warembo hao balaa ๐Ÿ˜œ

Akaninunia
 
Umesema sahihi Mkuu

Hata katika maisha ya kawaida ni nadra sana kukuta video vixen wanaojitambua.

I once dated miss Mkoa fulani for almost 2 yrs, yule binti alikuwa ni empty set

Unaweza kumpa hela nzuri tu, lakini baada ya Siku mbili anakwambia hela hana, yote ameenda kununulia Kucha/mawigi na other accessories kuhusiana na urembo [emoji119]

Ni kama wanaishi bila malengo kwenye hii Dunia.

Unamwambia, sasa hebu tusaidiane kubuni biashara uweze kufanya kwaajili ya maendeleo yako binafsi, she doesn't care

Role mode wake eti Kajala, anasema mbona yupo kwenye 40+ lakini still anaonekana hajazeeka

Nikamtania, unajua Mtaani Kuna mabinti wa Mwaka 2003, warembo hao balaa [emoji12]

Akaninunia
Unaona sasa, yaani Niffer apewe tu hongera zake ana akili ya kujiongeza.
 
Unaona sasa, yaani Niffer apewe tu hongera zake ana akili ya kujiongeza.
Of course apewe Maua yake

Yeye pamoja na Shilole wameweza kujitambua haraka

Maana umri huwa haurudi nyuma, na warembo Kila Siku Wanazaliwa wapya

Imagine binti wa Mwaka 2005 saivi ni halali Kwa mujibu wa Sheria kuweza kuolewa
 
Hamna kitu inakera kama kumuhonga mwanamke empty set,hongera nifa hata kama unadanga,basi unadanga kwa akili maana siku hazirudi nyuma.
Limwanamke linakudanga linakwenda kuzurura mahotelini,mara mawigi ya laki sita mara mikucha,kama mwanaume inakata stimu.inapendeza mtu anakwambia baby biashara yangu nimekwama kiasi cha pesa
 

Mlimbwende kunako kiwanda cha Utangazaji, Mjasiriamali na mwanamitandao maarufu Bongo, Niffer Jovin, maarufu kama "Niffer" amefunguka namna alivyohaha kujitafuta hadi kufikia mafanikio makubwa akiwa na umri mdogo.

Niffer ambaye ametimiza miaka 24 mwaka huu, amesema safari yake ya kuutwaa utajiri haikuwa rahisi kama watu wanavyodhani, amesema yeye ni miongoni mwa watu waliotokea katika familia za kimasikini ambazo asubuhi unalazimika kula maembe badala ya kunywa chai, mrembo huyo amesema amewahi kwenda shule bila viatu, amewahi kupigwa kisa tu kukosa sabuni ya kufulia sare zake za shule, lakini pia alikuwa akimuona mama yake namna alivyokuwa anawahangaikia ili wapate chochote kitu na wakati mwingine alikosa kabisa, amesema hiyo ndiyo ilimpa chachu ya kuyasaka mafanikio kwa udi na uvumba ili asipite walimopita familia yake.

Kama ulikuwa unadhani mtaji wa duka kubwa la Niffer "Niffer Outfitstore" lilianza na mtaji wa mamilioni kadhaa unajidanganya, mpambaji huyo amesema hakuanza na mtaji wa milioni, laki moja wala elfu 50, amesema alianza na elfu 40 pekee na haijamchukua muda mrefu tayari amekuwa tajiri kwa mtaji huo mdogo wa nyanya chungu na vitunguu.

Siri kubwa ya mafanikio ya Mwanaharakati huyo wa maisha amesema ni kuwa na nidhamu na pesa, kuwa na marafiki wa kukujenga, kumuomba Mungu huku ukifanya kazi, kwani yeye wakati anajitafuta alikuwa anafanya biashara hadi saa nane, saa tisa za usiku wa manane. Muhaya huyo wa Bukoba amesema watu wanamshangaa kwa kuwa na duka kubwa akiwa na miaka 24 kwasababu hawajui namna alivyopambana kwa bidii kuyasaka mafanikio.

Amemalizia kwa kuwashauri wasichana wenye umri mdogo na wanawake ambao umri umeenda na bado wanahaha kutafuta maisha kwamba wafanye kazi kwa bidii, waache kubwabwaja mitandaoni kufatilia maisha ya watu na badala yake wautumie huo muda wauze hata pilipiii mbuzi watafika alipofika yeye.
Hata mimi nilianza na mtaji wa elfu 50 nikawa nanunua majeneza used ya wizi nayapaka rangi nauza upya lakini sasa hivi mradi umekuwa mkubwa kiasi kwamba nimekuwa msambazaji mkubwa wa majeneza ndani na nje ya nchi!
Pamoja na kwamba sikumaliza hata shule ya msingi niliishia darasa la nne nikafeli (sikuwa na akili)
Lakini leo hii kampuni yangu imeajiri wasomi
 
Hata mimi nilianza na mtaji wa elfu 50 nikawa nanunua majeneza used ya wizi nayapaka rangi nauza upya lakini sasa hivi mradi umekuwa mkubwa kiasi kwamba nimekuwa msambazaji mkubwa wa majeneza ndani na nje ya nchi!
Pamoja na kwamba sikumaliza hata shule ya msingi niliishia darasa la nne nikafeli (sikuwa na akili)
Lakini leo hii kampuni yangu imeajiri wasomi
Hongera mkuu ๐Ÿ˜„

Ova
 
Ww uliongea ni kama jambo limetokea tayari, hapa ushageuka kuwa mtabiri

Huu ndio uchawi, hapo ukipewa ungo na usinga tu unaanza kupaa

Hutakiwi kuwaonea wivu wanawake wenzio, na sijui kwa nn wanawake huwa hampendani.
Acha umaku wewe. Nipe hicho kinyeo ili ujue kama mimi ni mwanamke au la.
 
Sijaona sababu ya kupanic na kutukana. Relax
Unaitwa "mama samia*", Kuna mama ni mwanaume?
Btw mm sina kosa lolote, uwe ke au me but point yako ilikua hapo mwanzo
Acha upumbavu. MamaSamia2025 ni tofauti kabisa na Mama Samia. Siku nyingine punguza shobo.
 
Huyu demu kajua kuwachanganya, alafu uliandika hivi ukiwa na uhakika kabisa. Kumbe dada kataka kuwa-surprise

Bongo kila mtu mjuaji, dawa ni kuwachanganya tu kama huyu alivyofanya

Niffer Mall .

Nilichoona amehamia sehemu nyingine pakubwa zaidi.

Yeye mwenyewe ndio alisema kwamba TRA wamemzingua hivyo anafunga kwa muda.

Ndio maana wasanii wakiwa na shida wakiongea watu hawatochukulia serious kwasababui issue nyingi wanazoongea ni kutafuta trending/kiki.

All in all ,nachoona hapo watu wakubwa wamejoin naye nyuma ya pazia na kumtanguliza Niffer(wamepata share) hivyo kumuongezea msingi kama walivyofanya kwa Dayamondi aka Zombie.
 
Back
Top Bottom