Niffer: Nilianza na mtaji wa elfu 40, sasa hivi nashika hadi milioni 150

Kashajionea wanaombea anguko lake
 
Kumbe ni nguvu ya Kipochi manyoya...

Ila amejua kulenga penye hela, maana wenzao akina Wema hawana hata Duka la kuzugia hapo Sinza [emoji119]
Mimi bado nampongeza Niffer hata kama anadanga lkn ana akili. Wangapi wanadanga hawana lolote yeye kajua kujiongeza, hizo pesa angewea kutumia kweye starehe na mambo yasiyo na maana lkn kaamua kufanya kitu na hata anaemuhonga mwenyewe anaona hapa sijaokota kichwa tupu.
 
Umesema sahihi Mkuu

Hata katika maisha ya kawaida ni nadra sana kukuta video vixen wanaojitambua.

I once dated miss Mkoa fulani for almost 2 yrs, yule binti alikuwa ni empty set

Unaweza kumpa hela nzuri tu, lakini baada ya Siku mbili anakwambia hela hana, yote ameenda kununulia Kucha/mawigi na other accessories kuhusiana na urembo 🙌

Ni kama wanaishi bila malengo kwenye hii Dunia.

Unamwambia, sasa hebu tusaidiane kubuni biashara uweze kufanya kwaajili ya maendeleo yako binafsi, she doesn't care

Role mode wake eti Kajala, anasema mbona yupo kwenye 40+ lakini still anaonekana hajazeeka

Nikamtania, unajua Mtaani Kuna mabinti wa Mwaka 2003, warembo hao balaa 😜

Akaninunia
 
Unaona sasa, yaani Niffer apewe tu hongera zake ana akili ya kujiongeza.
 
Unaona sasa, yaani Niffer apewe tu hongera zake ana akili ya kujiongeza.
Of course apewe Maua yake

Yeye pamoja na Shilole wameweza kujitambua haraka

Maana umri huwa haurudi nyuma, na warembo Kila Siku Wanazaliwa wapya

Imagine binti wa Mwaka 2005 saivi ni halali Kwa mujibu wa Sheria kuweza kuolewa
 
Hamna kitu inakera kama kumuhonga mwanamke empty set,hongera nifa hata kama unadanga,basi unadanga kwa akili maana siku hazirudi nyuma.
Limwanamke linakudanga linakwenda kuzurura mahotelini,mara mawigi ya laki sita mara mikucha,kama mwanaume inakata stimu.inapendeza mtu anakwambia baby biashara yangu nimekwama kiasi cha pesa
 
Hata mimi nilianza na mtaji wa elfu 50 nikawa nanunua majeneza used ya wizi nayapaka rangi nauza upya lakini sasa hivi mradi umekuwa mkubwa kiasi kwamba nimekuwa msambazaji mkubwa wa majeneza ndani na nje ya nchi!
Pamoja na kwamba sikumaliza hata shule ya msingi niliishia darasa la nne nikafeli (sikuwa na akili)
Lakini leo hii kampuni yangu imeajiri wasomi
 
Hongera mkuu 😄

Ova
 
Ww uliongea ni kama jambo limetokea tayari, hapa ushageuka kuwa mtabiri

Huu ndio uchawi, hapo ukipewa ungo na usinga tu unaanza kupaa

Hutakiwi kuwaonea wivu wanawake wenzio, na sijui kwa nn wanawake huwa hampendani.
Acha umaku wewe. Nipe hicho kinyeo ili ujue kama mimi ni mwanamke au la.
 
Sijaona sababu ya kupanic na kutukana. Relax
Unaitwa "mama samia*", Kuna mama ni mwanaume?
Btw mm sina kosa lolote, uwe ke au me but point yako ilikua hapo mwanzo
Acha upumbavu. MamaSamia2025 ni tofauti kabisa na Mama Samia. Siku nyingine punguza shobo.
 
Huyu demu kajua kuwachanganya, alafu uliandika hivi ukiwa na uhakika kabisa. Kumbe dada kataka kuwa-surprise

Bongo kila mtu mjuaji, dawa ni kuwachanganya tu kama huyu alivyofanya

Niffer Mall .

Nilichoona amehamia sehemu nyingine pakubwa zaidi.

Yeye mwenyewe ndio alisema kwamba TRA wamemzingua hivyo anafunga kwa muda.

Ndio maana wasanii wakiwa na shida wakiongea watu hawatochukulia serious kwasababui issue nyingi wanazoongea ni kutafuta trending/kiki.

All in all ,nachoona hapo watu wakubwa wamejoin naye nyuma ya pazia na kumtanguliza Niffer(wamepata share) hivyo kumuongezea msingi kama walivyofanya kwa Dayamondi aka Zombie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…