Hata hivyo anamalizia kuizika ndoa ya Alikiba bila aibuHuyu ataponzwa na umbo lake, hata akomae vp kuwaaminisha watu kwamba amefanikiwa kwa hustles zake mwenyewe bado watu watakataa na kudai anauza kanyau
Ni kweli yani, mi nilianza na vocha ya jero tu ila sasa nina maduka matatu ya iphone mjini[emoji3]! Biashara ni imani tu jamani tusikate tamaa.
ndio maana anamganda Kiba.[emoji419][emoji375]Wajasiria miili wasitudanganye, ndio maana anamganda Kiba.
Mbona hangandi Aslay?
πToleo jipya la wanawake kunenepa mapaja, mguu njiti linazidi...samahani, akili za asubuhi hizi
Ndio maana ninetanguliza msamaha kwa wadauπ
Biashara ni matangazo, kuna masuala ya demand and supply kwenye soko. Inawezekana soko linahitaji products za aina hiyo.
Mbona hangandi Aslay?
Ni mapema sana 150m kuitwa mafanikio hadi apige tarumbetaAkafe na njaa za temeke wakati kwenye bata tabata kuko wazi
Umetisha sana aisee hahahahaaaaaaaaaaaaaaNa sisi tulioanza Kuuza Mafuta katika Chupa ya Lita 1 baada ya miezi miwili tuna Petrostation 55 je?
Mimi nitasubiri gigy money aongee na hanaga mwanasheria
Kaka kumbe na wewe ilo chimbo la east
Kumbe gigy alisema zamani kuwa hawa wadada maarufu ni wadangaji π. Wasije kuwapa presha wadada wapambanaji original maana biashara sio rahisi kama wanavyosema. Kumbe wao wana backup ya tako kubwa.
SawasawaBiashara ni kuamua tu na kusema 'nataka kufanikiwa', ukitamka hayo maneno kila siku asubuhi lazima ufanikiwe haijalishi una mtaji au hauna.
Nimegugo tu mkuu ikaja hiyo video, nikaileta hapa. Ngoja wenye mafaili ya kutosha waje kuyamwaga ππKaka kumbe na wewe ilo chimbo la east
Mimi sisemi sana mbungeNimegugo tu mkuu ikaja hiyo video, nikaileta hapa. Ngoja wenye mafaili ya kutosha waje kuyamwaga ππ
Utajiri ??? is she serious ?amesema safari yake ya kuutwaa utajiri haikuwa rahisi kama watu wanavyodhani
Naomba uniajiri katika moja ya biashara yako mkuu.Biashara ukiwa na juhudi lazima ufanikiwe, wanaolalamika biashara ngumu hao wazembe.
Me nilikua tu na wazo la biashara, sikua hata na mia lakini nikaweka juhudi hatimaye namiliki biashara kadhaa za mamilioni hapa mjini.