Niffer: Nilianza na mtaji wa elfu 40, sasa hivi nashika hadi milioni 150

Niffer: Nilianza na mtaji wa elfu 40, sasa hivi nashika hadi milioni 150

cocastic naomba uje kuleta mafaili yake. Je ni kweli ni biashara tu au tako kubwa? Je tra anatoa kodi kiasi gani?

Je mange anasemaje?
Je gigy anasemaje?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] atuachee bhanaa, ashukuruu alikua na akili za kujiongezaa baada ya kuhongwaa,

Menginee abaki nayo mwenyewee, wala asitudanganyee hapaa, tunamjua vizurii kabisaa.
 
Niffer alikua anauza icecream za Bakharesa wale vijana wanaotembeza wamebeba mgongoni labda ndiko alipatia huo mtaji wa elfu 40 akaenda kuuza wali kariakoo na sasa anamiliki duka kubwa la nguo.

Hata hivyo binti ni mpambanaji apewe maua yake, hayo mengine ni kufikishwa tu kwenye mafanikio tunasema alibebwa akabebeka sio kama wakina fulani ishakua mishangazi lakini inamiliki Macho Matatu na K tu.
##sio kama ile mishangazi inamiliki macho matatu na k tu###
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Biashara ukiwa na juhudi lazima ufanikiwe, wanaolalamika biashara ngumu hao wazembe.

Me nilikua tu na wazo la biashara, sikua hata na mia lakini nikaweka juhudi hatimaye namiliki biashara kadhaa za mamilioni hapa mjini.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sawa sawa
 
Mafanikio ni mafanikio.

Maisha yako ndio yataamua kufanikiwa kwako ni halali au haramu.

Mwisho wa siku mafanikio yana raha,kutusua kiuchumi ni raha, sababu umaskini unaumiza sana.

Lakini pia BAHATI inasehemu kubwa sana kwenye harakati zetu.

Omba BAHATI iwe upande wako mara nyingi iwezekanavyo.
Umeongea kitu kikubwa sana, wenye akili pekee wataelewa hii.
 
Niffer alikua anauza icecream za Bakharesa wale vijana wanaotembeza wamebeba mgongoni labda ndiko alipatia huo mtaji wa elfu 40 akaenda kuuza wali kariakoo na sasa anamiliki duka kubwa la nguo.

Hata hivyo binti ni mpambanaji apewe maua yake, hayo mengine ni kufikishwa tu kwenye mafanikio tunasema alibebwa akabebeka sio kama wakina fulani ishakua mishangazi lakini inamiliki Macho Matatu na K tu.

Mishangazi inamiliki nini? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mlimbwende kunako kiwanda cha Utangazaji, Mjasiriamali na mwanamitandao maarufu Bongo, Niffer Jovin, maarufu kama "Niffer" amefunguka namna alivyohaha kujitafuta hadi kufikia mafanikio makubwa akiwa na umri mdogo.

Niffer ambaye ametimiza miaka 24 mwaka huu, amesema safari yake ya kuutwaa utajiri haikuwa rahisi kama watu wanavyodhani, amesema yeye ni miongoni mwa watu waliotokea katika familia za kimasikini ambazo asubuhi unalazimika kula maembe badala ya kunywa chai, mrembo huyo amesema amewahi kwenda shule bila viatu, amewahi kupigwa kisa tu kukosa sabuni ya kufulia sare zake za shule, lakini pia alikuwa akimuona mama yake namna alivyokuwa anawahangaikia ili wapate chochote kitu na wakati mwingine alikosa kabisa, amesema hiyo ndiyo ilimpa chachu ya kuyasaka mafanikio kwa udi na uvumba ili asipite walimopita familia yake.

Kama ulikuwa unadhani mtaji wa duka kubwa la Niffer "Niffer Outfitstore" lilianza na mtaji wa mamilioni kadhaa unajidanganya, mpambaji huyo amesema hakuanza na mtaji wa milioni, laki moja wala elfu 50, amesema alianza na elfu 40 pekee na haijamchukua muda mrefu tayari amekuwa tajiri kwa mtaji huo mdogo wa nyanya chungu na vitunguu.

Siri kubwa ya mafanikio ya Mwanaharakati huyo wa maisha amesema ni kuwa na nidhamu na pesa, kuwa na marafiki wa kukujenga, kumuomba Mungu huku ukifanya kazi, kwani yeye wakati anajitafuta alikuwa anafanya biashara hadi saa nane, saa tisa za usiku wa manane. Muhaya huyo wa Bukoba amesema watu wanamshangaa kwa kuwa na duka kubwa akiwa na miaka 24 kwasababu hawajui namna alivyopambana kwa bidii kuyasaka mafanikio.

Amemalizia kwa kuwashauri wasichana wenye umri mdogo na wanawake ambao umri umeenda na bado wanahaha kutafuta maisha kwamba wafanye kazi kwa bidii, waache kubwabwaja mitandaoni kufatilia maisha ya watu na badala yake wautumie huo muda wauze hata pilipiii mbuzi watafika alipofika yeye.
Mafanikio katika umri mdogo mara nyingi huwa kuna "dark side of it" ambayo hawezi kuizungumza!! Atakuambia ule upande mwingine ulio mweupe japo mchango mkubwa hutokea kwenye dark part of personal life!! Matajiri wengine waone hivi hivi!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee ndo umemalizaa, useme alihongwa na akahongeka na akajiongezaa baas.
Kuhongwa lazima, mzuri pia ana akili na njaa ya mafanikio, namuona mbali sana yule binti ila kama kawekeza Moyo wake kwa King Kiba ajiandae kwa tukio takatifu hadi atachukua likizo ya miezi sita.
 
Mafanikio ni mafanikio.

Maisha yako ndio yataamua kufanikiwa kwako ni halali au haramu.

Mwisho wa siku mafanikio yana raha,kutusua kiuchumi ni raha, sababu umaskini unaumiza sana.

Lakini pia BAHATI inasehemu kubwa sana kwenye harakati zetu.

Omba BAHATI iwe upande wako mara nyingi iwezekanavyo.
Ah kabisa,kama kapiga hatua hongera
Zake

Ova
 
Back
Top Bottom