Niffer: Nilianza na mtaji wa elfu 40, sasa hivi nashika hadi milioni 150

Mbona wenzake wenye sura mbaya, ambao walianza na mtaji wa milion 1, mpaka leo wako vilevile na wengine walifirisika, kuna nini hapo
 
Mbona matajiri huwa hawana maneno ya shombo hivi
 
Kabila lake mhaya, mtoto wa kike huyo, sawasawa kwa mtaji wake, tumeelewa mno, bandiko zuri, kwani mtoto wa kajala kaanzia ngapi mtaji?
Paula kaanzia elfu 10, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee ndo umemalizaa, useme alihongwa na akahongeka na akajiongezaa baas.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…