Niffer: Siwezi kutoa Hela kisa Mtu amechora Tattoo yangu, siendeshi Maisha yangu hivyo

Niffer: Siwezi kutoa Hela kisa Mtu amechora Tattoo yangu, siendeshi Maisha yangu hivyo

Aibu sasa imempata aliechorwa yani unaacha kumchora mama ako au baba yako au mwanao unamchora Nifa
 
Angeweka hata tattoo ya Yesu angeweza kupata baraka. Huyo kama ni demu wangu ataenda kulala kwa huyo nifa hadi afute huo uchafu
 
Back
Top Bottom