Niffer uvumilivu umemshinda kaacha kuvaa ushungi

Busu la Kenge

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2025
Posts
2,583
Reaction score
4,776
Mwanadada mfanyabiashara na mjasiriamali maarufu tajiri nchini Jenifer Jovin maarufu Niffer kaacha rasmi kuvaa hijab.

Kwaanzia alipowekwa rumande hadi akaachiliwa alishika dini sana kwa kujitanda kichwa kwa ushungi na kupelekea hadi baadhi ya members jamvini kina Malaria 2 kumsifia kwa huo uamuz.

Ila ghafla bin vuu hivi karibuni kaamua kulitupa hilo tambara na kujiweka wazi.

Source: Jopo na mitambo ya umbea mitandaoni.

Al-mukheef min -me secretarybird

adriz de mbusii
 
View attachment 3631106

Dah ila ni mtotomzuri. Kuna watu wanakojolea pazuri sana.
 
1784301104525.png

1784301222647.png

OGOPA MATAPELI NYUMBA HII HAIUZWI.
 
Mwanadada mfanyabiashara na mjasiriamali maarufu tajiri nchini Jenifer Jovin maarufu Niffer kaacha rasmi kuvaa hijab.

Kwaanzia alipowekwa rumande hadi akaachiliwa alishika dini sana kwa kujitanda kichwa kwa ushungi na kupelekea hadi baadhi ya members jamvini kina Malaria 2 kumsifia kwa huo uamuz.

Ila ghafla bin vuu hivi karibuni kaamua kulitupa hilo tambara na kujiweka wazi.

View attachment 3631106

Source: Jopo na mitambo ya umbea mitandaoni.

Al-mukheef min -me secretarybird

adriz de mbusii
Huu uzi ni hicho hicho tu cha kutokuvaa hijab au mleta uzi ulikuwa unamaanisha kuonyesha tako la Niffer?
 
Mwanadada mfanyabiashara na mjasiriamali maarufu tajiri nchini Jenifer Jovin maarufu Niffer kaacha rasmi kuvaa hijab.

Kwaanzia alipowekwa rumande hadi akaachiliwa alishika dini sana kwa kujitanda kichwa kwa ushungi na kupelekea hadi baadhi ya members jamvini kina Malaria 2 kumsifia kwa huo uamuz.

Ila ghafla bin vuu hivi karibuni kaamua kulitupa hilo tambara na kujiweka wazi.

Source: Jopo na mitambo ya umbea mitandaoni.

Al-mukheef min -me secretarybird

adriz de mbusii
Nikajua ni Vale nafaka
 
Kwa alichokifanya asitegemee kuwa miongoni mwa wale mabikra tutakaowakuta kule peponi.
 
Mwanadada mfanyabiashara na mjasiriamali maarufu tajiri nchini Jenifer Jovin maarufu Niffer kaacha rasmi kuvaa hijab.

Kwaanzia alipowekwa rumande hadi akaachiliwa alishika dini sana kwa kujitanda kichwa kwa ushungi na kupelekea hadi baadhi ya members jamvini kina Malaria 2 kumsifia kwa huo uamuz.

Ila ghafla bin vuu hivi karibuni kaamua kulitupa hilo tambara na kujiweka wazi.

Source: Jopo na mitambo ya umbea mitandaoni.

Al-mukheef min -me secretarybird

adriz de mbusii
Hivi jenif ni jina la kislam kunbe
 
Nimemshauri aachane na hilo tambara tule tu good time, kwasababu mashehe wake wenyewe are useless mazafakas who condone state-sponsored terrorism against the state’s own people!
 
Mwanadada mfanyabiashara na mjasiriamali maarufu tajiri nchini Jenifer Jovin maarufu Niffer kaacha rasmi kuvaa hijab.

Kwaanzia alipowekwa rumande hadi akaachiliwa alishika dini sana kwa kujitanda kichwa kwa ushungi na kupelekea hadi baadhi ya members jamvini kina Malaria 2 kumsifia kwa huo uamuz.

Ila ghafla bin vuu hivi karibuni kaamua kulitupa hilo tambara na kujiweka wazi.

Source: Jopo na mitambo ya umbea mitandaoni.

Al-mukheef min -me secretarybird

adriz de mbusii
Dume Zima hovyo kazi kufuatilia Mambo ya Wanawake
 
ona mtoto yuko free dunia yote ni yake, wanaoharibu nchi yetu ni muslims wa zanzibar, muslims wetu wa bara hawana shida na mtu ni watu poa sana, kwanza wengi hata ni liberal na wanapenda tu nchi yetu iende vizuri bila kujali nani ni raisi, tunaishi nao mitaani hamna shida, hivyo ukiondoa irani, arabs, pakis na wapemba wa zanzibar nchi yetu ingekuwa ni kama peponi.

na sababu kubwa kwa nini hawa irani, arabs, pakis wanatuchonganisha ni ili watutawale divide and rule, kama tukigombana sisi kwa sisi ambao ni ndugu wao kama minority wanatawala ndiyo maana wamewashika watawala, lkn kama tukiungana na kuwa kitu kimoja kama black people no chance kwa hawa dirtbags ...
 
Back
Top Bottom