Niffer uvumilivu umemshinda kaacha kuvaa ushungi

Niffer uvumilivu umemshinda kaacha kuvaa ushungi

Kwani lini aikuwa muislamu zaidi ya kufunga ndoa , yule Mwijaku hana uislamu ni kufanya vile kuwa karibu na wale matajiri , Barnaba hana uislamu ,huyu ambye connection yake ilivuja hana uislamu naye ni vile alitaka ndoa , wapo wengi tu hata ukiwa msanii ni mnafiki tu hauna uislamu .

Kuonyesha nywele haijakatwa ila ni nyumbani kwao sio hadharani.
 
Dah mtoto ana kishundu! Ndo alianza na mtaji wa elf 40 eee
AlianZa na mtaji wa nyumba n choo

Huo mtaji wadada wengi ndio tegemeo lao

Ajabu sasa had wanaume hasa pale CHINA PLAZA KARIAKOO vijana wengi wameanzia.na mtaji huo
 
Mwanadada mfanyabiashara na mjasiriamali maarufu tajiri nchini Jenifer Jovin maarufu Niffer kaacha rasmi kuvaa hijab.

Kwaanzia alipowekwa rumande hadi akaachiliwa alishika dini sana kwa kujitanda kichwa kwa ushungi na kupelekea hadi baadhi ya members jamvini kina Malaria 2 kumsifia kwa huo uamuz.

Ila ghafla bin vuu hivi karibuni kaamua kulitupa hilo tambara na kujiweka wazi.



Source: Jopo na mitambo ya umbea mitandaoni.

Al-mukheef min -me secretarybird

adriz de mbusii
 
Chadema hamna hela acheni usumbufu.
Mxiuuuu, hela kitu gani nyau wewe? Sio chadema wala sio chochote ila nimekuona hujakua, yaan kuwa au kutokuwa na hela ndio hoja ya kuweka mezani mwanaume mzima hufikirii hoja ya msingi, mxiuu
 
Back
Top Bottom