LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 5,012
- 13,830
Kawaida sana, elewa tu hivyoWakawaida dhidi ya nani na kwa nani? Weka tako lako tukuone hapa ili tukulinganishe naye.
Kawaida sana, elewa tu hivyoWakawaida dhidi ya nani na kwa nani? Weka tako lako tukuone hapa ili tukulinganishe naye.
Ni manufaa ya vijana mkuuMjadala huu hauna tija wala manufaa kwa Taifa letu![]()
HIVI ZILE HARAKATI ZA KUTOKWENDA KU SUPPORT MIZIKI NA SHOW ZA WASANII WALIOIMBA KWENYE KAMPENI ZA CCM MWAKA 2025 ZILIFIA WAPI AU ILIKUWA NI MIKWARA TU ?Hataki kuonekana mzee
Binadamu wameumbwa kusamehe ila sio kusahau.HIVI ZILE HARAKATI ZA KUTOKWENDA KU SUPPORT MIZIKI NA SHOW ZA WASANII WALIOIMBA KWENYE KAMPENI ZA CCM MWAKA 2025 ZILIFIA WAPI AU ILIKUWA NI MIKWARA TU ?
Ndivyo maisha ya duniani yalivyo.HIVI ZILE HARAKATI ZA KUTOKWENDA KU SUPPORT MIZIKI NA SHOW ZA WASANII WALIOIMBA KWENYE KAMPENI ZA CCM MWAKA 2025 ZILIFIA WAPI AU ILIKUWA NI MIKWARA TU ?
wameshindwa kushikilia bomba hadi mwisho.Ndivyo maisha ya duniani yalivyo.
Katika dunia hii usimuamini mtu, jiamini wewe mwenyewe.wameshindwa kushikilia bomba hadi mwisho.
hata mwenyewe kuna muda najigeuka, hakuna kuamini kiumbe chochote kinachopumua.Katika dunia hii usimuamini mtu, jiamini wewe mwenyewe.
Nitolee harufu ya mavi. Situmiagi Mafi mimi.Ndio ujifunze sasa siri ya mtungi sitaki kukuambia mengi
Yeah ni polygon sema Filter za KUSHATO.Mbona wa kawaida sana
Anakojolea Mabox fala huyu.loose Nut ndiyo anakojolea hapo
Msg yako imenifanya nijioneDume Zima hovyo kazi kufuatilia Mambo ya Wanawake
Shikamoo afisaHapana mi afsa wa tbs kuthibitisja kama mali yafaa kutumiwa na watumiaji
AlianZa na mtaji wa nyumba n chooDah mtoto ana kishundu! Ndo alianza na mtaji wa elf 40 eee
Mwanadada mfanyabiashara na mjasiriamali maarufu tajiri nchini Jenifer Jovin maarufu Niffer kaacha rasmi kuvaa hijab.
Kwaanzia alipowekwa rumande hadi akaachiliwa alishika dini sana kwa kujitanda kichwa kwa ushungi na kupelekea hadi baadhi ya members jamvini kina Malaria 2 kumsifia kwa huo uamuz.
Ila ghafla bin vuu hivi karibuni kaamua kulitupa hilo tambara na kujiweka wazi.
Source: Jopo na mitambo ya umbea mitandaoni.
Al-mukheef min -me secretarybird
adriz de mbusii
Hapana mi afsa wa tbs kuthibitisja kama mali yafaa kutumiwa na watumiaji
Marhaba kijana hujamboMsg yako imenifanya nijione
Shikamoo afisa
Mxiuuuu, hela kitu gani nyau wewe? Sio chadema wala sio chochote ila nimekuona hujakua, yaan kuwa au kutokuwa na hela ndio hoja ya kuweka mezani mwanaume mzima hufikirii hoja ya msingi, mxiuuChadema hamna hela acheni usumbufu.