Niffer uvumilivu umemshinda kaacha kuvaa ushungi

Sahihi Masta. Wazee wetu hapo ndio walipotuzidi. Walifahamu nani wa kuoa na nani wa kupunguzia haja.
Vijana wengi tunadanganywa na sura na Tako ndio shida ilipo ndio maana tunakutana na majanga kijana akishajipata tu anakimbia aina hiyo wanawake na ukute hapo ana mwanamke mwenye sifa zote nzuri lakini kwa sababu ni wa kawaida hamuheshimu
 
Si walimuiga muuwaji Samuya!
Jinga KABISA KABISA KABISA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…