Nifundishen mabango ya kumchamba ex- wangu

Nifundishen mabango ya kumchamba ex- wangu

Brock number au dharatu atachoka ukifuata akili za chizi na wewe utakuwa chizi
 
Jaman wakuu naona upole wangu unaniponza ni takribani mwez tangu niachane na girlfriend wangu ila cha ajabu had leo kila nikifungulia simu lazma nikute matusi na mabango kutoka kwake had naogopa kumuazma mtu sim maana ninaweza kumwazima mtu mara mabango yaanze nichekwe bure... sasa leo nimeona niwaombe wataalam wa kuchamba humu wanisaidie mabango nikamfowardie ili anikome na mimi.
Tiba ya mtu mjinga ni UKIMYA ,,nyamaza kimyaaaaaa
 
Wanaume hatuchambi
Kanunue GLOVES nikupe kazi ya kufanya.
Usikimbie polisi baadae
 
Back
Top Bottom