Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tiba ya mtu mjinga ni UKIMYA ,,nyamaza kimyaaaaaaJaman wakuu naona upole wangu unaniponza ni takribani mwez tangu niachane na girlfriend wangu ila cha ajabu had leo kila nikifungulia simu lazma nikute matusi na mabango kutoka kwake had naogopa kumuazma mtu sim maana ninaweza kumwazima mtu mara mabango yaanze nichekwe bure... sasa leo nimeona niwaombe wataalam wa kuchamba humu wanisaidie mabango nikamfowardie ili anikome na mimi.