Nifundisheni jinsi ya kutongoza mdada usiyemfahamu

Nifundisheni jinsi ya kutongoza mdada usiyemfahamu

mtumie picha nzuri km ni mtandaon halafu msalimie siku tatu mfululizo kisha muombe picha nzuri zaidi akituma mwambie nimekupenda .
 
Siri kubwa ni kipato.
Ugonjwa wao ni hela, pia uwe na kali kuliko lake, mkakae sehemu ya hadhi ya nyota tano. Utasikia hata kabla hujaongea, nikipata nafasi ya kulala hapa siwezi ipoteza.
Jikite kutengeneza hela mengine huja AUTO
 
mtumie picha nzuri km ni mtandaon halafu msalimie siku tatu mfululizo kisha muombe picha nzuri zaidi akituma mwambie nimekupenda .
Mi nataka siku hiyo hiyo wewe unanambia habar za siku tatu
 
Back
Top Bottom