Nifundisheni jinsi ya kuwaingia watu wakubwa VIP!! Sina kazi sina mchongo Nashindwa Kuongea na Maboss

Friedrich Nietzsche

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
2,095
Reaction score
3,649
Wakuu hapa napoongea saizi nipo dorooooo dorooo kinoma yaani moja haikai Mbili haiendi Mpaka siyo poa.

Nachangamoto ya mawasiliano.Siwezi kuwaingia watu wakubwa namaanisha maboss.
Simu yangu hapa ina no za watu wazito lakini nawaingiaje hatujuani personal.
Gear ya kuingia sina.
Kuna mmoja hapa nilimtext akajibu nilivojitambulisha hakujibu tena yaan nilipata hasira.

Personality yangu
-Hupenda kufanya mambo yangu kazi zangu kifupi nikiwa kazin nafanya kazi sinaga habar ya kujipendekeza kwa boss
-Sinaga urafiki nje ya kazi na maboss
-Sinaga maneno maneno (kama ushakuwa makazini utajua naongelea nn)

Sasa naona hii personality yangu inaniyeyusha vile
 
Weekend moja amka sali jiweke safi hakikisha kichwani huna minywele yenu ile mnasokotaga vaa pendeza ingia zako sehemu ambayo unaona kabisa wakubwa hutulia angiza kinywaji chako simple tuu huko utakutana na watu wanaojua Maisha na connection kibao jiamini...
Ukifanya hvy mara 3 hukosi connection mzee wangu
 
IMG-20240623-WA1588.jpg
 
Kuna mmoja hapa nilimtext akajibu nilivojitambulisha hakujibu tena yaan nilipata hasira.
Ndugu, unachotaka kufanya achana nalo haraka sana.
Hii kitu ilishawahi kunitokea mpaka sasa najuta.
Bora uonekane hvy hvy kuwa hupendi kuongea, endelea kuwa kimya hvy hvy ila kama una sehemu nyingine utaweza kupata kazi bc endelea na huo mpango wako.
 
Hapo niende bar siyo! afu nasogea meza ya mtu😂😂😂
 
Weekend moja amka sali jiweke safi hakikisha kichwani huna minywele yenu ile mnasokotaga vaa pendeza ingia zako sehemu ambayo unaona kabisa wakubwa hutulia angiza kinywaji chako simple tuu huko utakutana na watu wanaojua Maisha na connection kibao jiamini...
Ukifanya hvy mara 3 hukosi connection mzee wangu
Mkuu wangu mi sisokot manywele
 
Ndugu, unachotaka kufanya achana nalo haraka sana.
Hii kitu ilishawahi kunitokea mpaka sasa najuta.
Bora uonekane hvy hvy kuwa hupendi kuongea, endelea kuwa kimya hvy hvy ila kama una sehemu nyingine utaweza kupata kazi bc endelea na huo mpango wako.
ailikuaje mkuu tena?
Ulipatwa na masaibu gan
 
Wakuu hapa napoongea saizi nipo dorooooo dorooo kinoma yaani moja haikai Mbili haiendi Mpaka siyo poa.

Nachangamoto ya mawasiliano.Siwezi kuwaingia watu wakubwa namaanisha maboss.
Simu yangu hapa ina no za watu wazito lakini nawaingiaje hatujuani personal.
Gear ya kuingia sina.
Kuna mmoja hapa nilimtext akajibu nilivojitambulisha hakujibu tena yaan nilipata hasira.

Personality yangu
-Hupenda kufanya mambo yangu kazi zangu kifupi nikiwa kazin nafanya kazi sinaga habar ya kujipendekeza kwa boss
-Sinaga urafiki nje ya kazi na maboss
-Sinaga maneno maneno (kama ushakuwa makazini utajua naongelea nn)

Sasa naona hii personality yangu inaniyeyusha vile
Shika mabata na makuku gonga mageti yao huku ukipiga kelele kuwa unauza bata na kuku.
 
Umechelewa

Connection na VIP zinaanzia shule za Chekechea mtoto asome chekechea , primary na secondary wanakosoma watoto wa ma VIP watajenga mahusiano

Mtoto wa nyoka ni nyoka mtoto wa VIP mbele ya safari ni VIP

Wewe laumu wazazi wako kukusomesha shule za Kayumba za kwenda na mfagio na kidumu

Ubahili haulipi mbele ya safari

Ukiona watu wanaishi maisha ya shida Wengine kujinyima watoto wao wasome shule nzuri unawaona mabwege na wazazi wako ona Sasa walikupeleka kayumba Ona Sasa jitu Zima umezeeka unatafuta connection na VIP too late
 
Umechelewa

Connection na VIP zinaanzia shule za Chekechea mtoto asome chekechea , primary na secondary wanakosoma watoto wa ma VIP watajenga mahusiano

Mtoto wa nyoka ni nyoka mtoto wa VIP mbele ya safari ni VIP

Wewe laumu wazazi wako kujusomesha shule za Kayumba za kwenda na mfagio na kidumu

Ubahili haulipi mbele ya safari

Ukiona watu wanaishi maisha ya shida Wengine kujinyima watoto wao wasome shule nzuri unawaona mabwege na wazazi wako ona Sasa jitu Zima umezeeka unatafuta connection na VIP too late
Mh
 
Mfano hapa nina namba za simu tu
VIP hata akikupa namba usimpigie yeye ndie akupigie kama anataka mawasiliano na wewe otherwise kauka

Na ule ulofa lofa wa kuomba namba za simu za ma VIP au wenye uwezo kuwa nipe namba achana nao wao wakiona uko vizuri Kwao wao ndio watakupa namba sio lofa unaomba ooh can you give me your number

VIP Huwa hawataki huo ujinga akitaka atakupa business card au namba mwenyewe awe mzungu au VIP mswahili usijifanye sharp sana kutafuta mahusiano
Ohhh wewe Kabila yangu ohh nimefurahi kuonana na wewe mwache mwenyewe akupe namba akipenda Bila shinikizo au kujikomba
 
VIP hata akikupa namba usimpigie yeye ndie akupigie kama anataka mawasiliano na wewe otherwise kauka

Na ule ulofa lofa wa kuomba namba za simu za na VIP au wenye uwezo kuwa nipe namba achana nao wao wakiona uko vizuri Kwao wao ndio watakupa namba sio lofa unaomba ooh can you give me your number

VIP Huwa hawataki huo ujinga akitaja atakupa business card au namba mwenyewe awe mzungu au VIP mswahiki usijufanye sharp sana kutafuta mahusiano
Ohhh wewe Kabila yangu ohh nimefurahi kuonana na wewe mwache mwenyewe akupe namba akipenda Bila shinikizo au kujikomba
Hii nayo nimeichukua
lakin sometimes naona kama tabia inanikost
 
Back
Top Bottom