Mbwa dume
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 5,934
- 10,206
Nasikia eti Walimnanihii..!ailikuaje mkuu tena?
Ulipatwa na masaibu gan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia eti Walimnanihii..!ailikuaje mkuu tena?
Ulipatwa na masaibu gan
Heeeeh ww😳😳Sasa hapo mtajuanaje
ha ha haKila la kheri mkuu
Hii nakukatalia mkuu angalau Tz masikini...wa masikini kutoka familia duni anaweza kupanda mpaka kufikia CEO,na mtu mkubwa sana....hii ikoTz fatilia history za kina Mwana Fa,wengi ni Wa hivyo.....mtt kusoma medium siyo guarantee ya kuwa na maisha mazuri....Ingawa kama una pesa mpeleke.Umechelewa
Connection na VIP zinaanzia shule za Chekechea mtoto asome chekechea , primary na secondary wanakosoma watoto wa ma VIP watajenga mahusiano
Mtoto wa nyoka ni nyoka mtoto wa VIP mbele ya safari ni VIP
Wewe laumu wazazi wako kukusomesha shule za Kayumba za kwenda na mfagio na kidumu
Ubahili haulipi mbele ya safari
Ukiona watu wanaishi maisha ya shida Wengine kujinyima watoto wao wasome shule nzuri unawaona mabwege na wazazi wako ona Sasa jitu Zima umezeeka unatafuta connection na VIP too late
Ingia Facebook Mtafute Jamaa anaitwa Respicius F Mtakyawa atakusaidia connection ya kukutana na wakubwa.Wakuu hapa napoongea saizi nipo dorooooo dorooo kinoma yaani moja haikai Mbili haiendi Mpaka siyo poa.
Nachangamoto ya mawasiliano.Siwezi kuwaingia watu wakubwa namaanisha maboss.
Simu yangu hapa ina no za watu wazito lakini nawaingiaje hatujuani personal.
Gear ya kuingia sina.
Kuna mmoja hapa nilimtext akajibu nilivojitambulisha hakujibu tena yaan nilipata hasira.
Personality yangu
-Hupenda kufanya mambo yangu kazi zangu kifupi nikiwa kazin nafanya kazi sinaga habar ya kujipendekeza kwa boss
-Sinaga urafiki nje ya kazi na maboss
-Sinaga maneno maneno (kama ushakuwa makazini utajua naongelea nn)
Sasa naona hii personality yangu inaniyeyusha vile
Nimeipenda hiiHii nakukatalia mkuu angalau Tz masikini...wa masikini kutoka familia duni anaweza kupanda mpaka kufikia CEO,na mtu mkubwa sana....hii ikoTz fatilia history za kina Mwana Fa,wengi ni Wa hivyo.....mtt kusoma medium siyo guarantee ya kuwa na maisha mazuri....Ingawa kama una pesa mpeleke.
Wakubwa nishakutana nao wengi tu lakin sina ukaribu nao nataka kufundishwa Dos and DontIngia Facebook Mtafute Jamaa anaitwa Respicius F Mtakyawa atakusaidia connection ya kukutana na wakubwa.
nzuriNimeipenda hii
umbea😂😂Kila la heri ila unapokuwa na Maboss epuka sana kuzungumzia mambo ya watu.
Taarifa zangu unazo ww, 😂 wanawake wa uswahili bhana 😂 mna mambo sanaNasikia eti Walimnanihii..!
Aisee nimeshtuka nammTaarifa zangu unazo ww, 😂 wanawake wa uswahili bhana 😂 mna mambo sana
VIP ndiye aanzishe maongezi ya kujuana na wewe sio wewe na ulofa wako unaanza kuongea ohh wewe naona lafudhi au umbo lako kama wa Kabila letu Tujuane naomba namba wewe wa kwetu kabisaSasa hapo mtajuanaje
sawq meseji delivered mkuuVIP ndiye aanzishe maongezi ya kujuana na wewe sio wewe na ulofa wako unaanza kuongea ohh wewe naona lafudhi au umbo lako kama wa Kabila letu Tujuane naomba namba wewe wa kwetu kabisa
Lofa hawezi omba namba ya VIP
VIP ndie humpa namba lofa akijisikia
Maskini marufuku kuomba namba ya Tajiri labda akupe mwenyewe
Uhusiano wa maskini na Tajiri ,Tajiri au VIP ndie mwamuzi kuwa huo uhusiano anauhitaji au la na lofa usililazimishe akisema Hapana au akiwa haulkujibu hata meseji kaa mbali naye pambana na Hali yako hakutaki kuwa karibu naye
Usjaribu kuwaingia mpja kwa moja. Anzia mbali sana na uwe na subira.Wakuu hapa napoongea saizi nipo dorooooo dorooo kinoma yaani moja haikai Mbili haiendi Mpaka siyo poa.
Nachangamoto ya mawasiliano.Siwezi kuwaingia watu wakubwa namaanisha maboss.
Simu yangu hapa ina no za watu wazito lakini nawaingiaje hatujuani personal.
Gear ya kuingia sina.
Kuna mmoja hapa nilimtext akajibu nilivojitambulisha hakujibu tena yaan nilipata hasira.
Personality yangu
-Hupenda kufanya mambo yangu kazi zangu kifupi nikiwa kazin nafanya kazi sinaga habar ya kujipendekeza kwa boss
-Sinaga urafiki nje ya kazi na maboss
-Sinaga maneno maneno (kama ushakuwa makazini utajua naongelea nn)
Sasa naona hii personality yangu inaniyeyusha vile
Kuna jamaa aliomba namba kwa mwenzake ambaye amemzidi kimaisha akaambiwa hii namba usipige wala kutuma text ya kawaida ila utume text kwa njia ya wasap tuu 😂 nikabaki kuchekaVIP ndiye aanzishe maongezi ya kujuana na wewe sio wewe na ulofa wako unaanza kuongea ohh wewe naona lafudhi au umbo lako kama wa Kabila letu Tujuane naomba namba wewe wa kwetu kabisa
Lofa hawezi omba namba ya VIP
VIP ndie humpa namba lofa akijisikia
Maskini marufuku kuomba namba ya Tajiri labda akupe mwenyewe
Uhusiano wa maskini na Tajiri ,Tajiri au VIP ndie mwamuzi kuwa huo uhusiano anauhitaji au la na lofa usililazimishe akisema Hapana au akiwa haulkujibu hata meseji kaa mbali naye pambana na Hali yako hakutaki kuwa karibu naye
Wakuu hapa napoongea saizi nipo dorooooo dorooo kinoma yaani moja haikai Mbili haiendi Mpaka siyo poa.
Nachangamoto ya mawasiliano.Siwezi kuwaingia watu wakubwa namaanisha maboss.
Simu yangu hapa ina no za watu wazito lakini nawaingiaje hatujuani personal.
Gear ya kuingia sina.
Kuna mmoja hapa nilimtext akajibu nilivojitambulisha hakujibu tena yaan nilipata hasira.
Personality yangu
-Hupenda kufanya mambo yangu kazi zangu kifupi nikiwa kazin nafanya kazi sinaga habar ya kujipendekeza kwa boss
-Sinaga urafiki nje ya kazi na maboss
-Sinaga maneno maneno (kama ushakuwa makazini utajua naongelea nn)
Sasa naona hii personality yangu inaniyeyusha vile
[/QUOTEWakuu hapa napoongea saizi nipo dorooooo dorooo kinoma yaani moja haikai Mbili haiendi Mpaka siyo poa.
Nachangamoto ya mawasiliano.Siwezi kuwaingia watu wakubwa namaanisha maboss.
Simu yangu hapa ina no za watu wazito lakini nawaingiaje hatujuani personal.
Gear ya kuingia sina.
Kuna mmoja hapa nilimtext akajibu nilivojitambulisha hakujibu tena yaan nilipata hasira.
Personality yangu
-Hupenda kufanya mambo yangu kazi zangu kifupi nikiwa kazin nafanya kazi sinaga habar ya kujipendekeza kwa boss
-Sinaga urafiki nje ya kazi na maboss
-Sinaga maneno maneno (kama ushakuwa makazini utajua naongelea nn)
Sasa naona hii personality yangu inanOgopa kujipendekeza MUNGU amekataza.......Wakuu hapa napoongea saizi nipo dorooooo dorooo kinoma yaani moja haikai Mbili haiendi Mpaka siyo poa.
Nachangamoto ya mawasiliano.Siwezi kuwaingia watu wakubwa namaanisha maboss.
Simu yangu hapa ina no za watu wazito lakini nawaingiaje hatujuani personal.
Gear ya kuingia sina.
Kuna mmoja hapa nilimtext akajibu nilivojitambulisha hakujibu tena yaan nilipata hasira.
Personality yangu
-Hupenda kufanya mambo yangu kazi zangu kifupi nikiwa kazin nafanya kazi sinaga habar ya kujipendekeza kwa boss
-Sinaga urafiki nje ya kazi na maboss
-Sinaga maneno maneno (kama ushakuwa makazini utajua naongelea nn)
Sasa naona hii personality yangu inaniyeyusha vile
Atakupa ABCs zote ,alishakutana na Late Mengi na kupewa hadi Milioni 5,Pia alikjenga urafiki na aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa Scout TZ,achilia mbali urafiki na wabunge na madiwani na wafanyabiashara wakubwa na pia international figures kutoka nchi mbali mbali including US,UK etcWakubwa nishakutana nao wengi tu lakin sina ukaribu nao nataka kufundishwa Dos and Dont