Friedrich Nietzsche
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,095
- 3,649
Ndugu, unachotaka kufanya achana nalo haraka sana.Kuna mmoja hapa nilimtext akajibu nilivojitambulisha hakujibu tena yaan nilipata hasira.
Hapo niende bar siyo! afu nasogea meza ya mtu😂😂😂Weekend moja amka sali jiweke safi hakikisha kichwani huna minywele yenu ile mnasokotaga vaa pendeza ingia zako sehemu ambayo unaona kabisa wakubwa hutulia angiza kinywaji chako simple tuu huko utakutana na watu wanaojua Maisha na connection kibao jiamini...
Ukifanya hvy mara 3 hukosi connection mzee wangu
Mkuu wangu mi sisokot manyweleWeekend moja amka sali jiweke safi hakikisha kichwani huna minywele yenu ile mnasokotaga vaa pendeza ingia zako sehemu ambayo unaona kabisa wakubwa hutulia angiza kinywaji chako simple tuu huko utakutana na watu wanaojua Maisha na connection kibao jiamini...
Ukifanya hvy mara 3 hukosi connection mzee wangu
Mfano hapa nina namba za simu tuJitahd uwe mcheshi kwa watu
Siku hz watu wanakula kwa midomo yao tuu
ailikuaje mkuu tena?Ndugu, unachotaka kufanya achana nalo haraka sana.
Hii kitu ilishawahi kunitokea mpaka sasa najuta.
Bora uonekane hvy hvy kuwa hupendi kuongea, endelea kuwa kimya hvy hvy ila kama una sehemu nyingine utaweza kupata kazi bc endelea na huo mpango wako.
Ok we unazo zao je zako wanazo?Mfano hapa nina namba za simu tu
Shika mabata na makuku gonga mageti yao huku ukipiga kelele kuwa unauza bata na kuku.Wakuu hapa napoongea saizi nipo dorooooo dorooo kinoma yaani moja haikai Mbili haiendi Mpaka siyo poa.
Nachangamoto ya mawasiliano.Siwezi kuwaingia watu wakubwa namaanisha maboss.
Simu yangu hapa ina no za watu wazito lakini nawaingiaje hatujuani personal.
Gear ya kuingia sina.
Kuna mmoja hapa nilimtext akajibu nilivojitambulisha hakujibu tena yaan nilipata hasira.
Personality yangu
-Hupenda kufanya mambo yangu kazi zangu kifupi nikiwa kazin nafanya kazi sinaga habar ya kujipendekeza kwa boss
-Sinaga urafiki nje ya kazi na maboss
-Sinaga maneno maneno (kama ushakuwa makazini utajua naongelea nn)
Sasa naona hii personality yangu inaniyeyusha vile
MhUmechelewa
Connection na VIP zinaanzia shule za Chekechea mtoto asome chekechea , primary na secondary wanakosoma watoto wa ma VIP watajenga mahusiano
Mtoto wa nyoka ni nyoka mtoto wa VIP mbele ya safari ni VIP
Wewe laumu wazazi wako kujusomesha shule za Kayumba za kwenda na mfagio na kidumu
Ubahili haulipi mbele ya safari
Ukiona watu wanaishi maisha ya shida Wengine kujinyima watoto wao wasome shule nzuri unawaona mabwege na wazazi wako ona Sasa jitu Zima umezeeka unatafuta connection na VIP too late
Mbona unaguna una swali labda au?
VIP hupenda privacy hawataki kelele Wala.mtu awazoee chap chap wasiyemjua kaa mbali hata ukiona VIP kakaa sehemu ya starehe labda akufuate mwenyewe ulipokaa sio umfuateHapo niende bar siyo! afu nasogea meza ya mtu😂😂😂
VIP hata akikupa namba usimpigie yeye ndie akupigie kama anataka mawasiliano na wewe otherwise kaukaMfano hapa nina namba za simu tu
Hii nayo nimeichukuaVIP hata akikupa namba usimpigie yeye ndie akupigie kama anataka mawasiliano na wewe otherwise kauka
Na ule ulofa lofa wa kuomba namba za simu za na VIP au wenye uwezo kuwa nipe namba achana nao wao wakiona uko vizuri Kwao wao ndio watakupa namba sio lofa unaomba ooh can you give me your number
VIP Huwa hawataki huo ujinga akitaja atakupa business card au namba mwenyewe awe mzungu au VIP mswahiki usijufanye sharp sana kutafuta mahusiano
Ohhh wewe Kabila yangu ohh nimefurahi kuonana na wewe mwache mwenyewe akupe namba akipenda Bila shinikizo au kujikomba
Sasa hapo mtajuanajeVIP hupenda privacy hawataki kelele Wala.mtu awazoee chap chap wasiyemjua kaa mbali hata ukiona VIP kakaa sehemu ya starehe labda akufuate mwenyewe ulipokaa sio umfuate
Hawaii that cheap