Brother James
JF-Expert Member
- Feb 21, 2012
- 233
- 172
Doh.. hebu kwanza nisubirie maoni ya wadau, maana na mimi nna interest ya kuijua hio biashara. Risk to reward ratio yake itakuwa tamu sana🛫Salaam Alleykhum,
Wadau kwa kutumia uzoefu wenu, nishaurini nifungue project/biashara gani kwa mtaji wa million 12 nilionao ili kila mwisho wa mwezi at least nipate Net profit ya milioni mbili.
Nipo tayari kufanya biashara ktk mkoa wowote Tanzania au hata kama ni importation business kama mtaji unatosha nipo tayari.
Nipeni ushauri ili nami nitoboe.
Wow, asante Pablo1Tafuta sehemu ambayo ni upcoming fungua day care & nursery ya kisasa haswa, itangaze vizuri then anza kupokea mil 2 kila mwezi kama faida [emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Mkuu, mpaka muda huu sina biashara yoyote wala project yoyote ndo maana nimekuja hapa kuomba ushauri. Project gani hapo itafaa mkuu ili kila mwezi angalau nipate 2 mil kama faida.Njoo kilombero,, Morogoro ufanye utafiti mdogo alafu uangalie biashara gani inakufaa maana uko kuna fursa nyingi Sana,,
But najua adi unapat m12 ushapanga la kufanya all in all njoo kilombero kuna fursa
Nipe taarifa za ziada kwenye kukopesha na pia ktk ununuzi wa hisa ktk kampuni gani au taasisi ipi ambayo ninaweza pata angalau sh. 2 mil. kwa mweziMkuu kopesha kwa riba nafuu. Au nunua hisa saivi ipo poa
Sawa, nitakushirikisha. Kwa sasa wacha wadau wanioneshe fursaMilioni 12, halafu upate faida ya milioni 2 kwa mwezi!! Ukifanikiwa kupata hiyo biashara unishirikishe na mimi niifanye aisee!!
Hiyo faida siyo ya mchezo hata kidogo!!
Kambaku, wapo wanaoingiza zaidi ya hiyo, bado tu hujaziona fursa, kila project ina expectations zake. Tuwasubiri wadau watupe mawazo. Usisahau pia kuwa mtaji wa mil. 12 sio kidogoNakushauri omba mawazo ya biashara lakini usianze kupanga hadi kiasi cha faida cha mil 2 kwa mwezi kama faida ghafi. Utakwama kabla hujaanza
Hakuna biashara ya hivyo labda ukajumue cocaine
Ukipata idea basi nishtue mkuu nami niingie huko. Nitaingia na mil 24 ili nilaze mil 4 net profit kila mweziKambaku, wapo wanao ingiza zaidi ya hiyo, bado tu hunaziona fursa, kila project ina expectations zake. Tuwasubiri wadau watupe mawazo. Usisahau pia kuwa mtaji wa mil. 12 sio kidogo
ha ha ha ha... kwahiyo umeamua ku-double sio?? We jamaa utakuwa mchaga. Nitakujuza rafikiUkipata idea basi nishtue mkuu nami niingie huko. Nitaingia na mil 24 ili nilaze mil 4 net profit kila mwezi
KanisaSalaam Alleykhum,
Wadau kwa kutumia uzoefu wenu, nishaurini nifungue project/biashara gani kwa mtaji wa million 12 nilionao ili kila mwisho wa mwezi at least nipate Net profit ya milioni mbili.
Nipo tayari kufanya biashara ktk mkoa wowote Tanzania au hata kama ni importation business kama mtaji unatosha nipo tayari.
Nipeni ushauri ili nami nitoboe.