Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Mkuu kopesha kwa riba nafuu.
Naona jinsi humtakii mema mleta mada.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kopesha kwa riba nafuu.
Nadhani atakuwa na ushuhuda wa mafanikio kupitia hii business, nitamtafuta inboxNaona jinsi humtakii mema mleta mada.
Hamna nina madogo zangu wanapiga inalipa balaa, hukosi 80000 kwa siku ikiwa yako huoni ni cash ndefu.Mkuu wewe ni uber... Nije PM tuongee kidogo?
Dah Wabongo KWA kukatisha watu tamaa hamjambo Mimi nilianza na nusu yake baada ya kudunduliza na nikawa naingiza mil 2.5 KWA mwezi kwenye biashara nafaka one kuwa yeye ambaye ana 12 Yani hapo akitulia anatoboa mapema sana.Milioni 12, halafu upate faida ya milioni 2 kwa mwezi!! Ukifanikiwa kupata hiyo biashara unishirikishe na mimi niifanye aisee!!
Hiyo faida siyo ya mchezo hata kidogo!!
Pamona sana bro. Vipi huko kwenye nafaka mambo bado ni mazuri? Nishawishi tafadhaliDah Wabongo KWA kukatisha watu tamaa hamjambo Mimi nilianza na nusu yake baada ya kudunduliza na nikawa naingiza mil 2.5 KWA mwezi kwenye biashala nafaka one kuwa yeye ambaye ana 12 Yani hapo akitulia anatoboa mapema sana
The best advice, asante sana mkuuTembelea wilaya mpya au zinazoanza kukua unaweza fanya randomly selection ata 5 ukafanyia kazi mbili. Nenda kaangalie wanakosa nini au huduma gani hapo anzisha utawala wako wa bidhaa au huduma.
Faida, huko na mtaji wa kati so itakupunguzia ushindani, utapunguza cost za kuendesha biashara, utapunguza matumizi kulingana na starehe nyingi.
Mimi sijamkatisha tamaa! Nimetamani tu na kufanya biashara ya aina hiyo. Yenye faida kubwa ndani ya muda mfupi!Dah Wabongo KWA kukatisha watu tamaa hamjambo Mimi nilianza na nusu yake baada ya kudunduliza na nikawa naingiza mil 2.5 KWA mwezi kwenye biashala nafaka one kuwa yeye ambaye ana 12 Yani hapo akitulia anatoboa mapema sana
Kwa faida ya wengineNjoo kilombero,, Morogoro ufanye utafiti mdogo alafu uangalie biashara gani inakufaa maana uko kuna fursa nyingi Sana,,
But najua adi unapat m12 ushapanga la kufanya all in all njoo kilombero kuna fursa
Ok, nipe mchanganuo mkuuBiashara ya chakula, bites na vinywaji
Mtaji mzuri wa kukuwezesha kwenda Dubai kununua mzigo ni kiasi gani kwa uzoefu wakoAlafu faida ta spare haiozi kaka yanii spare used inalipa sanaa yaniii wengi tunafer kuanzisha biashara ya spare kwa kukopa mitaji ila spare asahv unabilishwa jina baada ya kuitwa muddy unaitwa MO ingia kwenye spare pesa ipo kaka